Israel yanunua ugomvi wa Marekani - yaionya Iran

Ummayed

JF-Expert Member
May 21, 2019
6,170
2,000
These are the most powerful militaries in the world:
1 United States
2 Russia
3 China
4 India
5 France
6 United Kingdom
7 South Korea
8 Japan
9 Turkey
10 Germany
11 Italy
12 Iran
13 Egypt
14 Brazil
15 Indonesia
16 Israel
17 Pakistan
18 North Korea
19 Spain
20 Vietnam
21 Australia
22 Poland
23 Algeria
24 Taiwan
25 Canada
26 Saudi Arabia
27 Thailand
28 Greece
29 Ukraine
30 Czech Republic
NA HAPO HIYO LIST SIO TU KAMA INAELEZEA FULL DETAILS.
MAANA KUNA MATAIFA YANA SECRET WEAPON HATA USA ANATETEMEKA MFANO CHINA ANAUNDA NEW BALLISTIC MILES AMBAZO NI NUCLEAR BALLISTIC MILES MKUU NA KASHATEST.
HAPO PIA KUNA IRAN NAE ANA SECRET TUNNEL YENYE VINU HIVYO SIO POA.
 
Waterloo

JF-Expert Member
Nov 30, 2010
19,013
2,000
Na mashambulizi ya wayahudi dhidi ya iran pale syria vp na kila sku iran anahidi kulipa kisasi vp nayo unayazungumziaje babaa
Hakuna mashambulizi ya msingi yanayofanyika Syria. Mrusi yupo pale na hivi sasa Assad ana fight the last battle in idlib kuwaondoa waasi. In general hii vita ya Syria marekani na ndugu yake muisrael wameshindwa.
 
Masamila07

JF-Expert Member
Jun 22, 2014
4,948
2,000
@yamakagashi,yeah israel ana matanker yanaweza kufanya air refueling,lakini sasa tatizo menyewe sio stealth,kwahiyo yatavuruga element of suprise,kwa maana iran watajua kuwa wanakuja kushambuliwa kabla ndege za israel hazijaliacha anga la syria,jordan au saudi arabia,
isitoshe iran ako na Over The Horizon na Early warning long range rada ambazo wataweza kuona group kubwa la ndege zinapoondoka israel kuja kupiga iran,
kama element of suprice haitakuwepo maanake ni kuwa iran watakutwa wameandaa interceptor mapema mno na hata wanaweza kufyatua makombora yakatua israel kabla ndege za israel hazijaliacha anga za iraq kuingia kupiga iran
Single fill ya modern jet fighters ina range ya kilometa elfu nne. So kama refuelling watafanyia Saudia tu hapo. Kutoka Saudia mpaka Iran ni less than hundred kilometres then do your calculations kama Refuelling ni issue
 
Ummayed

JF-Expert Member
May 21, 2019
6,170
2,000
Single fill ya modern jet fighters ina range ya kilometa elfu nne. So kama refuelling watafanyia Saudia tu hapo. Kutoka Saudia mpaka Iran ni less than hundred kilometres then do your calculations kama Refuelling ni issue
Tatizo ni kuwafanya watu wawe aware.
Sio umbali wa refuelling.
 
kimsboy

JF-Expert Member
Oct 17, 2016
5,202
2,000
Netanyahu warns Iran it is within range of Israeli air strikes, citing Iranian threats
Reuters Tue, Jul 9 4:56 PM GMT+3FILE PHOTO: Israeli Prime Minister Benjamin Netanyahu gestures during the weekly cabinet meeting at his office in Jerusalem
JERUSALEM (Reuters) - Prime Minister Benjamin Netanyahu cautioned Iran on Tuesday that it is within range of Israeli air strikes, citing what he described as Iranian threats to destroy Israel.
"Iran recently has been threatening Israel's destruction," Netanyahu said at an Israeli air force base, where he viewed a squadron of advanced U.S.-built F-35 warplanes.
"It should remember that these planes can reach anywhere in the Middle East, including Iran, and certainly Syria,"
he said in a YouTube video clip filmed at the base, with an F-35 in the background.
Last week, a senior Iranian parliamentarian was quoted by the semi-official Mehr news agency as saying that if the United States attacked Iran, Israel would be destroyed in half an hour.
Israel has long said that every option is on the table in ensuring that Iran does not develop a nuclear weapon, and has backed pledges to prevent Iranian military entrenchment in Syria by carrying out air strikes there.
Tehran denies seeking nuclear arms.
(Writing by Jeffrey Heller; Editing by Mark Heinrich)
Tushachoka na vijeneno ya bibi tia mguu uone....
 
Elungata

JF-Expert Member
Jan 28, 2011
35,565
2,000
22 May 2018 · The F-35C's advertised
range is 1,200 nautical miles (roughly
2,200 kilometers), roughly 10 percent
longer than that of the F/A-18. But for
most strikes, that would require the
carriers launching F-35C sorties to be
much closer to the coast than falls
within the comfort zone.
 
Nguruvi3

Platinum Member
Jun 21, 2010
13,775
2,000
22 May 2018 · The F-35C's advertised
range is 1,200 nautical miles (roughly
2,200 kilometers), roughly 10 percent
longer than that of the F/A-18. But for
most strikes, that would require the
carriers launching F-35C sorties to be
much closer to the coast than falls
within the comfort zone.
Mkuu naona unaongelea umbali zaidi na kusahau teknolojia

Wakati wa Bill Clinton, Marekani ilituma kombora kutoka meli zake zilizoko Mediterranean kuelekea Sudan. Kombora lilifanyiwa hesabu baada ya ujajusi wa kujua kiwanda cha Dawa kinacholengwa kinafunguliwa saa ngapi na kinafungwa saa ngapi

Kombora lilitua katika kiwanda hicho muda mchache baada ya kiwanda kufungwa

Kiwanda kikawa flat bila kuumiza raia. Ni kiwanda ilichohisiwa ni cha Osama

Kombora hilo lilitumwa kwa kuzingatia umbali, mzunguko wa dunia, muda n.k. na lilifika sehemu tarajiwa katika muda muafaka na kusababisha madhara tarajiwa.

Hoja hapa ni kuwa Marekani ina base Qatar, ina Base Saudia na UAE.

Meli zake zipo karibu sana na Iran na kwamba kombora linaweza kufika bila shaka.
Hata ndege za kivita zina uwezo wa kufika kutoka katika meli nzito za nchi hiyo

Tatizo si kupiga Iran, bali matokeo ya kupiga huko ni yapi. Kurusha makombora au kufumua eneo kama Israel ilivyofanya kwa kiwanda cha Saddam Hussein hakutoi matoke yanayotarajiwa

Kinyume chake kuna chagiza vita isiyo na uelekeo inayoweza kuwa mbaya sana hasa kwa Marekani. Ubaya wake unatokana na nchi hiyo kuwa na military base eneo la mashariki ya kati

Hivyo jeshi la Marekani litalazimika ku 'stretch' ili kulinda masilahi yake.

Hilo litafngua mianya maeneo mengine ''hot'' kama Iraq na Afhganistan na itawagharimu sana

Kinachomfanya Israel ajifiche nyuma ya US ni kuhofia vita hiyo kuchukua mkondo wa Dini

Kumbuka tofauti ya ''sect' za kiislam kama Shia na Sunni ni ndogo sana.

Iran itakaposema ''Wayahudi au Wazayuni' wanashambulia Uislam hilo tu litawaunganisha Waislam wa eneo hilo na vita itakuwa si nuclear weapon tena bali mashambulizi dhidi ya dini

Ni kama vile Mkristo atakaposema Ukristo unashambuliwa.
Bila kujali ni Mkatoliki au protestant n.k wote wataunganishwa na kitu kimoja ''Ukristo''

Vikwazo anavyowekewa Iran ni kumdhoofisha kwanza kabla ya kumshambulia.

Israel intelligence ni kali sana kiasi kwamba imeweza kuwafarakanisha Saudi Arabia na Qatar, UAE na ndugu zao wa Iran.

Kwasasa US inauza silaha Saudia zinazofungwa na Israel kwa uswahiba wa MBS na BB Nyahu

Lakini pia usisahu kuwa Mrusi ana interest zake pale Iran. Mchina ana interest zake pia

Kwanini US na Israel zinataka kumshambulia Iran kwa sasa? Jibu ni kuwa vikwazo havionekani kuleta mtafaruku. Jaribio la Israel kuchochea Uasi kwa raia lilizimwa mapema sana

Wakati huo huo nchi za EU zilizobaki katika nuclear deal zilitaka kuwa na mbadala wa ''Currency and transaction'' bila kupitia US wakifikiria Pound sterling au Euro ili waweze kufanya biashara na Iran na nchi hiyo ibaki katika nuclear deal.

US na Israel wanaona hilo litawaharibia mpango wao wa kuidhoofisha Iran, wanatafuta kila sababu waweze kumpiga

BB Nyahu alikwenda WH kuonana na Obama kuhusu US kuishambulia Iran siku za nyuma

Obama alimwambia hakuna askari wa Marekani atakayeingia katika vita hiyo kama Israel inaweza basi iende yenyewe. Israel haikuweza wala kuthubutu kwa kujua US haipo nyuma yao

Ukitaka kujua nguvu ya Iran, ni kwamba, nuclear enrichment wanaifanya kwa utaalam wao
Tofauti na Pakistan iliyowatumia wataalam wa nuclear baada ya Soviet kuanguka

Kosa hilo lilifanywa na Marekani kwa kuangusha dola kubwa bila kuwa na mkakati wa kuhakikisha wataalam wa mambo kama ya nuclear wanahifadhiwa vipi

Taifa la Iran limedhoofika kiuchumi kutokana na vikwazo, lakini katika utaalaam wapo vema

Marekani inataka kubadili utawala wa Iran(regime change) na si kupiga piga kama ilivyokuwa kwa Israel na Hezabollah.

Matokeo ya vita ya Hezbollah ni uharibifu tu lakini Hezbollah ipo pale pale tena ikiimarika.

Israel inataka piga piga , Marekani inaangalia short and long term effects za kushambulia Iran.

Bado US wanakumbu kumbu nzuri tu ya Taliban kule Afghanistan na wanasumbuliwa sana na akina Mortada el Sadra kule Iraq akiongoza Shia

Kwamba Israel na Marekani wanaweza kurusha makombora yakaharibu sehemu za Iran hilo halina mjadala. Wanaweza kutuma ndege hilo halina mjadala.

Lenye mjadala ni matokeo ya hayo mashambulizi.
Middle east inaweza kuwaka moto na Israel haitakuwa salama hata kidogo.

Kwahiyo suala si umbali, teknolojia au makombora. Tatizo ni moja, nini yatakuwa matokeo ya hatua hiyo na madhara yake yataenea kwa kiwango gani na yatadhibitiwa vipi?

Bila majibu ya hilo, ni ngumu kurusha makombora hovyo kama Israel ilivyofanya kwa Hezbollah bila matokeo yoyote ya maana
 
Ila mkuu kuibadilisha Shia regime wataweza kweli?!
Maana yule Ayatollah alishawapa risala raia kuwa hata Europeans they are not people to trust.
Wataweza kweli mkuu?!
 
Bwana Utam

JF-Expert Member
Feb 15, 2016
6,345
2,000
Facts 2puuu

Sio kazi rahisi jmaa wamejiimarisha mda sana maana hizi choko choko za vikwazo nvtshio vya kijeshi na n.k havijaanza leo wala juzi na jna yaani hawawez na hta kma wataweza sio ishu nyepesi kbsaaa
Ila mkuu kuibadilisha Shia regime wataweza kweli?!
Maana yule Ayatollah alishawapa risala raia kuwa hata Europeans they are not people to trust.
Wataweza kweli mkuu?!
 
BASKET

Member
Feb 10, 2019
52
125

STRONG ARGUMENT.
 
smaki

JF-Expert Member
Jan 23, 2019
1,113
2,000
Atapigwa kipigo kuliko alichopigwa na hibullah we muache tu
Hata kama Israel kweli ana makosa, lakini kulea uwepo wa taifa la Iran ni makosa zaidi, hawastahili hata kuwepo hapa Duniani.

cha msingi siungi mkono vita tukae chini tuyazungumze kiusuruhishi.
 
Ummayed

JF-Expert Member
May 21, 2019
6,170
2,000
Hata kama Israel kweli ana makosa, lakini kulea uwepo wa taifa la Iran ni makosa zaidi, hawastahili hata kuwepo hapa Duniani.

cha msingi siungi mkono vita tukae chini tuyazungumze kiusuruhishi.
Kwanini useme Iran uwepo wake ni matatizo?!
Ilhali yule jamaa hana ugomvi na mtu hao mabeberu wenu ndio wakorofi?!
Tena naaombea itokee vita America and allies wachakazwe mbaya mbovu.
 
KIN NIGGA

JF-Expert Member
Nov 30, 2016
1,071
2,000
Ni Mgonjwa wa akili pekee atadhani kwamba ni salama kwa Iran kuwa na silaha za nyukilia.

Ni sawa na ukutane na jamaa wa kisomali kati kati ya Nairobi amebeba grenade akwambie ni toy tu hii usiogope.
Aaaaaaaaaaaaj
 
Elungata

JF-Expert Member
Jan 28, 2011
35,565
2,000
1h
kipande cha hotuba ya Nasrallah

Iranians will not stand
without doing anything in front of the
detention of oil tanker by the UK
·

- Any country that will be
a partner in the war against Iran or
offer its territory to attack Iran will pay
the price
View conversation ·

- Whoever bet on the
sanctions, I say to him, ‘Iran will not
kneel, but these sanctions will push the
Iranians to strengthen their domestic
production’ Iran is now open to any
dialogue with KSA, but the problem is in
the other side, which has settled its
options
- Iran will not negotiate
with America directly and this is the
position of all officials in Iran Who will
pay the price for a war on Iran? “Israel”
an KSA Iran will readily bomb “Israel” if
war breaks out against
- The Iranians sent a
message via a third nation on the day
the drone was downed, saying they
would retaliate against US targets in the
event of a US strike The message arrived
shortly before Trump's decision, and the
latter's position was to "stop the
response"
- What prevents the US
from initiating a war on Iran is that all
it's interests in the region will be in a
real danger
- Israel is threatening
Iran, they should know that in any war
in the region Israel will not remain
untouched
- President
Bashar Al-Assad and I always meet, but
won't reveal any dates due to security
- No clashes happened
between the Iranian and Russian forces
but the relation is stronger than ever.
Russia is not a part of the axis of
resistance but we have several points in
- The Iranians did not
leave Syria and will not leave Syria in the
meantime. Hezbollah did not leave any
position in Syria it is only reducing its
forces and this is not due to sanctions
but due to battle needs
- Israelis know very well
that if any Hezbollah member get killed
by an Israeli strike in Syria Hezbollah will
respond from Lebanon
- The decision of
response to the Israeli strikes in Syria is
Syrian not by Hezbollah and Iran and the
Syrian priority is to fight terrorism not to
open a war with Israel. The only
response, for now, is firing air defense
missiles
- The recent Israeli
strikes are less valuable than it was
before, and the last series of strikes
were just a show off from Netanyahu to
the Israelis that he can strike whatever
he wants and whenever he wants in
Syria. Targets in the last strike where of
low value
- If Israel wants to start
a war on Lebanon it needs to be fast
and crucial and this is not possible
- Because of the
deterrence, I don't think Israel will do
any small strike in Lebanon because it
knows well that there will be a direct
strong response
- The coastal line from
Natanya to Ashdod contains most of the
Israeli governmental institutes, nuclear ?
factories, ports, stocks, power plants,
oil..gas.. ..etc and they are all under our
fire range
 
Elungata

JF-Expert Member
Jan 28, 2011
35,565
2,000
Sayyed Nasrollah We have all the
information about all the targets in the
northern part of Israel and all of them
are easy targets
Sayyed Nasrollah Israel threatens to take
Lebanon back to stone ages, this is an
underestimation to Lebanon, I wanted
to say that we can take Israel back to
stone ages but the reality is that Israel
did not exist 100 years ago.

Sayyed Nasrollah The development of
our rocket power and the precise
missiles deters the Israelis in addition to
our drone air force which is huge with
high capabilities and many other
weapons and capabilities we keep it as
surprise
·Sayyed Nasrollah In 2006, our offensive
capability was limited, but today we
have an offensive force at the infantry
level armed with qualitative weapons We
have game-changing offensive
capabilities and weapons, we have
Radwan Force and Al-Abbas Brigades
 
Nguruvi3

Platinum Member
Jun 21, 2010
13,775
2,000
Mkuu Elungata

Hayo maneno kutoka Iran na Hezbollah ndicho hasa kinaendelea
Iran ilifahamu ugomvi si wa Marekani, ni wa Israel aliyejificha nyuma ya mataifa ya Kiarabu

MBS wa Saudia anaonekana mtu wa maana kule US kwasababu anafanikisha mbinu zao
Uhusiano wa Jared Kushner, mkwe wa Trump na Myahudi unaeleza hivyo

Iran ilisubiri Israel iseme neno ili wajibu na Israel kwa makosa wakafanya hivyo

Unaweza kuona wigo wa vita ulivyo, kwamba, Hezbollah sasa ni sehemu ya mtafaruku
Vita itakuwa South Lebanon kwa Imam Hassan Nasrallah halafu makombora ya Iran

Iran ina makombora ya masafa ya kati wanayotengeneza wenyewe na ynayofika Israel bila tabu

Lakini pia kuna lango la bahari za middle east linalomilikiwa na Iran, gulf of Hazmat
Vita yoyote itaathiri biashara ya mafuta kutoka middle east na kuyumbisha uchumi wa dunia

Kwa kuanzia tu, Iran ilitaka kuzuia meli ya UK kulipa kisasi cha meli yake kwenda Syria iliyozuiliwa na UK. Hapa kuna mchezo fulani umechezwa na Wazungu

UK ni sehemu ya nuclear deal na Iran. Ni sehemu ya nchi za EU zinazotaka muafaka na Iran ili kuizuia istengeneze silaha za Nyuklia. UK imezuia meli ya Iran kwa madai kuwa kupeleka mafuta Syria ni kukiuka vikwazo vya EU dhidi ya Bashar el Assad

Kuizuia meli, Iran inahisi UK inaisaidia Marekani na Israel kukaza vikwazo.

Sasa hoja yetu kwamba piga piga bila kujua nini kitafuata haisadii. Hezbollah walipigwa sana lakini leo wanasimama kana kwamba hakuna kilichowatokea miaka 10 tu iliyopita

Marekani inaona njia nyepesi ni kubadili utawala na kuweka vibaraka kama aliyekuwa Shah

Kwa bahati mbaya, Imam Khomeni aliporejea Iran baada ya kuanguka kwa dola ya Shah, alitangaza mapinduzi ya kiislam. Hayakuwa yake wala ya kisiasa, bali ya kiimani

Kubadili regime ya Iran si jambo rahisi na wala halitarajiwi kutokea kwa usiku mmoja wa mabomu na mirindimo ya risasi. Hili nalo linaiweka Marekani njia panda

Eneo jingine la kuangalia ni uhusiano kati ya Qatar, Iran na Turkey. Wakati wa mtafaruku kati ya Qatar na Saudia, Falme ya Saudia iliamua kuwakatia huduma Qatar ikiwemo vyakuwa n.k.

Qatar ilipata msaada kutoka Iran na Turkey. Kwahiyo nchi hizo mbili hazitakaa kimya Iran akiadhibiwa. Kama Turkey ikitia neno tu kule Tel Aviv hapatakalika

Leo Turkey wamepata msaada wa silaha kutoka Russia jambo lililomshtua Mmarekani

Ukiangalia hiyo ' excel sheet iliyojaa formula'' ya mlolongo wa matukio, utaona ugumu wa kuanza vita anaoupata Marekani kwa niaba ya Israel.

Wakati huo huo BB Nyahu anataka piga piga, hapa ndipo walipokosana na Obama
Huenda Trump akamsaidia, lakini kimahesabu matokeo yake si mazuri kabisa
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom