Israel yanunua ugomvi wa Marekani - yaionya Iran

H

hope1985

JF-Expert Member
Joined
Jan 2, 2013
Messages
866
Points
250
H

hope1985

JF-Expert Member
Joined Jan 2, 2013
866 250
Aahahaahaaa yaani we jamaa bhana sionagi cha maana unachoandika zaidi ya kuwa upande wa either iran au russia yaani iran ampige myahudi aaahahahaaahaaa hicho anachokifanya iran hivi si myahudi alishafanya miaka mingi sana.....halafu mimi na ww tunajua nn kuhusu iran au israel kama si mahaba yetu tu na ushabiki wa kidini dini hakuna kingne
israel hana uwezo wa kuproject power kwa umbali huo na ikaleta matokeo mazuri,mindege itaishiwa mafuta katikati ya mpambano na haiwezi kurudi israel bila fuel,njia pekee anaweza fanya ni kutumia makombora na kuyafyatua kwa kutumia submarine ikiwa arab sea au kutokea israel uwezo ambao hata iran anaweza kufyatua makombora yakatua dimona nuclear facilities. Bila kuteamup na marekani israel hawezi iffanya lolote iran
 
H

hope1985

JF-Expert Member
Joined
Jan 2, 2013
Messages
866
Points
250
H

hope1985

JF-Expert Member
Joined Jan 2, 2013
866 250
Uyo jamaa nilishampuuza aisee yaani ye anajua kila kitu kila siraha ya israel au marekani anaijua pia mpaka uwezo wa kijeshi wa mataifa ya magharibi anaujua kuliko wenye mataifa yao aaahahaahaaa JW si wamchukue huyu jasusi anayejua uwezo wa kijeshi wa kila taifa na siraha zao na uwezo wa siraha hzo aaahahahhaaaaaha duuh wabongo bhana
Mkuu wewe ni kiboko unabishana na Netanyahu... Muhahahahaha
 
H

hope1985

JF-Expert Member
Joined
Jan 2, 2013
Messages
866
Points
250
H

hope1985

JF-Expert Member
Joined Jan 2, 2013
866 250
Jamaa unajua siraha zoote za israel na iran na uwezo wa siraha hzo na kijeshi pia unajua israel huwa anapgana na marekani kumpga adui inaonekana we ni bonge la jasusi eeeh
Huu ni ugomvi wa Israel siyo kwamba kanunua kutoka US

Israel inamuogopa sana Iran kwasababu ya uwezo wake kiutalaamu katika middle east

Siyo Israel tu, Saudia Arabia na UAE kwa ujumla wanamhofia sana Iran

Iran ni Shia ambao kokote duniani katika ''sect' za kiislam wamepiga hatua sana hasa kielimu

Hofu ya Israel ni Iran kuwa ''mbabe' wa middle east baada ya Saddam waliyemuondoa

Ubabe wa Iran utasaidia sana akina Hezbollah ambao wapo mlangoni mwa Israel

Netanyahu alimtaka Obama ampige Iran, Obama hakutaka kwasababu ya majeshi ya US eneo hilo na usalama wake. Alijua kuipiga Iran ni kuleta tatizo Iraq , Yemen, Pakistan n.k.
Huo ndio ukawa ugomvi wa Netanyahu na Obama

Obama alipofanikisha Nuclear deal, Netanyahu hakutaka kwasababu aliona tatizo linaahirishwa

Trump akakampeni kufuta nuclear deal, na aliifuta na kuacha EU na Russia

Vikwazo vya US havionekani kuidhoofisha Iran kijeshi. Netanyahu anaona muda wa Trump una hati hati na hivyo anamchagiza ampige Iran.

Trump anajua vita na Iran ni ngumu na itamgharimu kama ilivyokuwa Iraq na Afghanistan

Kinachoendelea ni US kumtumia Israel kuleta chokochoko ili vita iwe ya Iran na Israel

Ukweli, Israel hawezi kusimama na Iran kama alivyoteswa na Hezbollah na anahofia hilo

Watu wengi hawaelewi kuwa nguvu ya Israel ina US nyuma yake.

Israel yenyewe kwa eneo lake kijiografia, population na ukubwa wa uchumi haina nguvu kama inavyoelezwa

Hata hivyo, nguvu yao ni uwezo wa teknolojia na kuwatumia wenye uwezo nje ya nchi yao. Hilo ndilo linawasaidia, lakini yenyewe kama Israel bila US haisimami

Hassan Nasral na Hezbollah walidhihirisha na Israel ilikiri kushindwa vita ile.

Kushindwa ni kutokana na usumbufu walioupata kwa Hebollah kiasi cha kuanza piga piga tu bila mpangilio. Walikiri hilo na tume iliyoundwa ilitoa taarifa

Walishindwa kwasababu hawakutaka msaada wa US wakijua Hezbollah ni wanamgambo tu.

Funzo lake ni kubwa, kwamba, kwa taifa kama Iran hali ni tofauti.
Hicho ndicho wanachotaka kuzuia kwa kumchokoza Iran kwanza ili US ampige

Israel ina silaha za nyuklia,taarifa iliyotolewa na jasusi Modechai Vanunu

Nani anatoa vibali vya umiliki wa silaha hizo?
Kwanini Pakistan na India wawe nazo, Israel iwe nayo lakini si Iran?

Huu ni ugomvi wa Israel ikijificha nyuma ya mgongo wa US.

Israel inajua vita inaweza kuchukua sura ya dini na wao watakuwa mahali pabaya sana.

Kwa kujificha sasa hivi wana ushirika na Saudia Arabia kupitia MBS.

Israel inawatisha kuwa Iran itaangusha dola, Saudi hawana uelewa, wanapelekwa pelekwa tu

Iran si tishio kwa US, ni tishio kwa Israel na nchi za EU. EU wanajua tatizo lao na Turkey

Kwamba, Trukey waliyoikataa ndani ya EU imerudi middle east na kama itaungana na Iran kiushirika maana yake ni kuwa mpaka wa Iran na EU utakuwa mpaka wa Turkey na EU
 
MWALLA

MWALLA

JF-Expert Member
Joined
Dec 12, 2006
Messages
14,049
Points
2,000
MWALLA

MWALLA

JF-Expert Member
Joined Dec 12, 2006
14,049 2,000
Netanyahu warns Iran it is within range of Israeli air strikes, citing Iranian threats
Reuters Tue, Jul 9 4:56 PM GMT+3FILE PHOTO: Israeli Prime Minister Benjamin Netanyahu gestures during the weekly cabinet meeting at his office in Jerusalem
JERUSALEM (Reuters) - Prime Minister Benjamin Netanyahu cautioned Iran on Tuesday that it is within range of Israeli air strikes, citing what he described as Iranian threats to destroy Israel.
"Iran recently has been threatening Israel's destruction," Netanyahu said at an Israeli air force base, where he viewed a squadron of advanced U.S.-built F-35 warplanes.
"It should remember that these planes can reach anywhere in the Middle East, including Iran, and certainly Syria,"
he said in a YouTube video clip filmed at the base, with an F-35 in the background.
Last week, a senior Iranian parliamentarian was quoted by the semi-official Mehr news agency as saying that if the United States attacked Iran, Israel would be destroyed in half an hour.
Israel has long said that every option is on the table in ensuring that Iran does not develop a nuclear weapon, and has backed pledges to prevent Iranian military entrenchment in Syria by carrying out air strikes there.
Tehran denies seeking nuclear arms.
(Writing by Jeffrey Heller; Editing by Mark Heinrich)
haya maonyo hivii.. ndo wameanza leo auuuu??!!!!
 
Yamakagashi

Yamakagashi

JF-Expert Member
Joined
Sep 19, 2016
Messages
8,048
Points
2,000
Yamakagashi

Yamakagashi

JF-Expert Member
Joined Sep 19, 2016
8,048 2,000
israel hana uwezo wa kuproject power kwa umbali huo na ikaleta matokeo mazuri,mindege itaishiwa mafuta katikati ya mpambano na haiwezi kurudi israel bila fuel,njia pekee anaweza fanya ni kutumia makombora na kuyafyatua kwa kutumia submarine ikiwa arab sea au kutokea israel uwezo ambao hata iran anaweza kufyatua makombora yakatua dimona nuclear facilities. Bila kuteamup na marekani israel hawezi iffanya lolote iran
Kwani hamna ndege zinazofanya refueling huko angani bila hayo ma fighter kutua ?
 
MWALLA

MWALLA

JF-Expert Member
Joined
Dec 12, 2006
Messages
14,049
Points
2,000
MWALLA

MWALLA

JF-Expert Member
Joined Dec 12, 2006
14,049 2,000
Netanyahu warns Iran it is within range of Israeli air strikes, citing Iranian threats
Reuters Tue, Jul 9 4:56 PM GMT+3FILE PHOTO: Israeli Prime Minister Benjamin Netanyahu gestures during the weekly cabinet meeting at his office in Jerusalem
JERUSALEM (Reuters) - Prime Minister Benjamin Netanyahu cautioned Iran on Tuesday that it is within range of Israeli air strikes, citing what he described as Iranian threats to destroy Israel.
"Iran recently has been threatening Israel's destruction," Netanyahu said at an Israeli air force base, where he viewed a squadron of advanced U.S.-built F-35 warplanes.
"It should remember that these planes can reach anywhere in the Middle East, including Iran, and certainly Syria,"
he said in a YouTube video clip filmed at the base, with an F-35 in the background.
Last week, a senior Iranian parliamentarian was quoted by the semi-official Mehr news agency as saying that if the United States attacked Iran, Israel would be destroyed in half an hour.
Israel has long said that every option is on the table in ensuring that Iran does not develop a nuclear weapon, and has backed pledges to prevent Iranian military entrenchment in Syria by carrying out air strikes there.
Tehran denies seeking nuclear arms.
(Writing by Jeffrey Heller; Editing by Mark Heinrich)
 
stephot

stephot

JF-Expert Member
Joined
Mar 1, 2012
Messages
8,057
Points
2,000
stephot

stephot

JF-Expert Member
Joined Mar 1, 2012
8,057 2,000
Hapo middle east watu wanatishiana misuli balaa...
 
N

Ng'wanamalundi

JF-Expert Member
Joined
Feb 4, 2008
Messages
243
Points
250
N

Ng'wanamalundi

JF-Expert Member
Joined Feb 4, 2008
243 250
israel hana uwezo wa kuproject power kwa umbali huo na ikaleta matokeo mazuri,mindege itaishiwa mafuta katikati ya mpambano na haiwezi kurudi israel bila fuel,njia pekee anaweza fanya ni kutumia makombora na kuyafyatua kwa kutumia submarine ikiwa arab sea au kutokea israel uwezo ambao hata iran anaweza kufyatua makombora yakatua dimona nuclear facilities. Bila kuteamup na marekani israel hawezi iffanya lolote iran
Mwaka 1976 Israel iliweza kushambulia uwanja wa Entebbe nchini Uganda kuokoa Mateka wa Kiyahudi; ambako ni mbali zaidi kuliko Iran inavyokuwa kutoka Israel. Ni kweli kwamba walitua Nairobi lakini Israel ilieleza kwamba hata wakati huo walikuwa na utaalamu wa kujaza mafuta angani: wangeweza kurusha ndege mbili moja ibebe mafuta tu ya kujazia kwenye ndege yenye askari wanaokwenda kupigana. Lakini waliogopa kufanya hivyo kwani wangeonekana wanafanya hivyo watu wangegutuka na kuanza kudadisi nini kinachoendelea. Hivyo "...we forced ourselves on his [Mzee Jomo Kenyatta's] generous hospitality". Sasa hiyo ni miaka zaidi ya 40 iliyopita.
 
Makanyaga

Makanyaga

JF-Expert Member
Joined
Sep 28, 2007
Messages
3,533
Points
2,000
Makanyaga

Makanyaga

JF-Expert Member
Joined Sep 28, 2007
3,533 2,000
Huu ni ugomvi wa Israel siyo kwamba kanunua kutoka US

Israel inamuogopa sana Iran kwasababu ya uwezo wake kiutalaamu katika middle east

Siyo Israel tu, Saudia Arabia na UAE kwa ujumla wanamhofia sana Iran

Iran ni Shia ambao kokote duniani katika ''sect' za kiislam wamepiga hatua sana hasa kielimu

Hofu ya Israel ni Iran kuwa ''mbabe' wa middle east baada ya Saddam waliyemuondoa

Ubabe wa Iran utasaidia sana akina Hezbollah ambao wapo mlangoni mwa Israel

Netanyahu alimtaka Obama ampige Iran, Obama hakutaka kwasababu ya majeshi ya US eneo hilo na usalama wake. Alijua kuipiga Iran ni kuleta tatizo Iraq , Yemen, Pakistan n.k.
Huo ndio ukawa ugomvi wa Netanyahu na Obama

Obama alipofanikisha Nuclear deal, Netanyahu hakutaka kwasababu aliona tatizo linaahirishwa

Trump akakampeni kufuta nuclear deal, na aliifuta na kuacha EU na Russia

Vikwazo vya US havionekani kuidhoofisha Iran kijeshi. Netanyahu anaona muda wa Trump una hati hati na hivyo anamchagiza ampige Iran.

Trump anajua vita na Iran ni ngumu na itamgharimu kama ilivyokuwa Iraq na Afghanistan

Kinachoendelea ni US kumtumia Israel kuleta chokochoko ili vita iwe ya Iran na Israel

Ukweli, Israel hawezi kusimama na Iran kama alivyoteswa na Hezbollah na anahofia hilo

Watu wengi hawaelewi kuwa nguvu ya Israel ina US nyuma yake.

Israel yenyewe kwa eneo lake kijiografia, population na ukubwa wa uchumi haina nguvu kama inavyoelezwa

Hata hivyo, nguvu yao ni uwezo wa teknolojia na kuwatumia wenye uwezo nje ya nchi yao. Hilo ndilo linawasaidia, lakini yenyewe kama Israel bila US haisimami

Hassan Nasral na Hezbollah walidhihirisha na Israel ilikiri kushindwa vita ile.

Kushindwa ni kutokana na usumbufu walioupata kwa Hebollah kiasi cha kuanza piga piga tu bila mpangilio. Walikiri hilo na tume iliyoundwa ilitoa taarifa

Walishindwa kwasababu hawakutaka msaada wa US wakijua Hezbollah ni wanamgambo tu.

Funzo lake ni kubwa, kwamba, kwa taifa kama Iran hali ni tofauti.
Hicho ndicho wanachotaka kuzuia kwa kumchokoza Iran kwanza ili US ampige

Israel ina silaha za nyuklia,taarifa iliyotolewa na jasusi Modechai Vanunu

Nani anatoa vibali vya umiliki wa silaha hizo?
Kwanini Pakistan na India wawe nazo, Israel iwe nayo lakini si Iran?

Huu ni ugomvi wa Israel ikijificha nyuma ya mgongo wa US.

Israel inajua vita inaweza kuchukua sura ya dini na wao watakuwa mahali pabaya sana.

Kwa kujificha sasa hivi wana ushirika na Saudia Arabia kupitia MBS.

Israel inawatisha kuwa Iran itaangusha dola, Saudi hawana uelewa, wanapelekwa pelekwa tu

Iran si tishio kwa US, ni tishio kwa Israel na nchi za EU. EU wanajua tatizo lao na Turkey

Kwamba, Trukey waliyoikataa ndani ya EU imerudi middle east na kama itaungana na Iran kiushirika maana yake ni kuwa mpaka wa Iran na EU utakuwa mpaka wa Turkey na EU
NNahisi kama namsikiliza Prof. Robert Boaz, mchambuzi wa maswala ya Siasa za Kimataifa BBC Swahili. Kama siko sahihi, then I just must be around. Kuna watu ambao Siasa za Kimataifa wanajua kuzichambua, na wewe ni mmojawapo. Hata kama kwenye uchambuzi wako kuna sehemu umekosea, "a mere layman kama mimi" siwezi hata kupa-detect, hata kama unge-gumble ukaniambia utanipa a million dollar nikipaona, siwezi! Ubarikiwe mtumishi
 
Makanyaga

Makanyaga

JF-Expert Member
Joined
Sep 28, 2007
Messages
3,533
Points
2,000
Makanyaga

Makanyaga

JF-Expert Member
Joined Sep 28, 2007
3,533 2,000
Mwaka 1976 Israel iliweza kushambulia uwanja wa Entebbe nchini Uganda kuokoa Mateka wa Kiyahudi; ambako ni mbali zaidi kuliko Iran inavyokuwa kutoka Israel. Ni kweli kwamba walitua Nairobi lakini Israel ilieleza kwamba hata wakati huo walikuwa na utaalamu wa kujaza mafuta angani: wangeweza kurusha ndege mbili moja ibebe mafuta tu ya kujazia kwenye ndege yenye askari wanaokwenda kupigana. Lakini waliogopa kufanya hivyo kwani wangeonekana wanafanya hivyo watu wangegutuka na kuanza kudadisi nini kinachoendelea. Hivyo "...we forced ourselves on his [Mzee Jomo Kenyatta's] generous hospitality". Sasa hiyo ni miaka zaidi ya 40 iliyopita.
You are overlooking the scenerio kwamba issue ya kuokoa mateka ilikuwa ni "a one time activity and a sort of a guerilla war" kiasi kwamba Idd Amini yeye hakuwa anajua, na hivyo hakuweza kufanya maandalizi yoyote. Kwa upande wa swala la vita ni tofauti sana kwa sababu kila upande unakuwa unajua na unakuwa umejiandaa. Zaidi ni kuwa vita inaweza ikachuka hata miaka 10 wakati uokoaji mateka ulikuwa wa siku 1 au masaa tu. However, mimi naamini kuwa Isreal pamoja na udogo wake, ni Taifa ambalo huwezi ukali-predict sana kivita. Possibly hata Marekani kama asingekuwa mshirika wake na ingetokea wakaamua kuzichapa, anaweza akapigwa bila wasiwasi wowote. Kumbuka kuwa hawa watu ndiyo Mungu aliwateua kama Taifa Takatifu kuwakilisha mataifa yote hapa duniani (kwenye sayansi tukitaka kufanya utafiti, huwa tunachukua representative sample kutoka kwenye kiasi kikubwa cha kitu tunachotaka kufanyia utafiti, na hivyo sayansi ilimuiga Mungu kwa kufanya hivi, alianzisha Yeye kwa kuwachuka wa-Isreal kama representative sample), na tunaoamini maandiko matakatifu, tunaamini kuwa wako Semi Divine, kiasi kwamba ukiingia nao vitani hasa kwa kipindi hiki, unaweza ukashangaa hata Alliens nao wanakuja kutoka kusikojulikana na kushiriki vita, kuwasaida wa-Isreal. Leave Israel as Israel.
 
Elungata

Elungata

JF-Expert Member
Joined
Jan 28, 2011
Messages
31,665
Points
2,000
Elungata

Elungata

JF-Expert Member
Joined Jan 28, 2011
31,665 2,000
ha ha ha,@Hope1985,unafurahisha sana kijana,tatizo lako ni elimu tu,soma,kila kitu kipo online,nenda majukwaa ya defence forums utakutana na material yote huko au fuatilia matukio sio unakurupuka tu out of nowhere
 
Kiby

Kiby

JF-Expert Member
Joined
Nov 16, 2009
Messages
5,836
Points
2,000
Kiby

Kiby

JF-Expert Member
Joined Nov 16, 2009
5,836 2,000
Kaa ivyo ivyo na umahaba wako, maana inavyosemekana Iran ameshatest silaha za Nuclear tokea 2002 mashariki mwa Iran, na ndio maana Tramp kala kona, wazungu wanajua wanachokifanya hawakurupuki kama ww, Izrail imaliziane na hamas na hizzbullah kwanza View attachment 1150785
Izzibullah na hamasi hayana tofauti na kundi la waasi huko Uganda la Joseph koni.
Ni ngumu sana kulifuta kundi la mgambo waviziaji.
Iran ikijichanganya tu kwa Israel, itakuwa imekaribisha maangamizi yake.
 
jogi

jogi

JF-Expert Member
Joined
Sep 25, 2010
Messages
22,962
Points
2,000
jogi

jogi

JF-Expert Member
Joined Sep 25, 2010
22,962 2,000
Naona wengi wenu mnataka iran apigwe!
Ok! vuteni subira kidogo.
 
Forum statistics

Threads 1,315,687
Members 505,292
Posts 31,867,021
Top