Israel yanunua ugomvi wa Marekani - yaionya Iran

Elungata

Elungata

JF-Expert Member
Joined
Jan 28, 2011
Messages
31,665
Points
2,000
Elungata

Elungata

JF-Expert Member
Joined Jan 28, 2011
31,665 2,000
@yamakagashi,yeah israel ana matanker yanaweza kufanya air refueling,lakini sasa tatizo menyewe sio stealth,kwahiyo yatavuruga element of suprise,kwa maana iran watajua kuwa wanakuja kushambuliwa kabla ndege za israel hazijaliacha anga la syria,jordan au saudi arabia,
isitoshe iran ako na Over The Horizon na Early warning long range rada ambazo wataweza kuona group kubwa la ndege zinapoondoka israel kuja kupiga iran,
kama element of suprice haitakuwepo maanake ni kuwa iran watakutwa wameandaa interceptor mapema mno na hata wanaweza kufyatua makombora yakatua israel kabla ndege za israel hazijaliacha anga za iraq kuingia kupiga iran
 
Yamakagashi

Yamakagashi

JF-Expert Member
Joined
Sep 19, 2016
Messages
8,048
Points
2,000
Yamakagashi

Yamakagashi

JF-Expert Member
Joined Sep 19, 2016
8,048 2,000
@yamakagashi,yeah israel ana matanker yanaweza kufanya air refueling,lakini sasa tatizo menyewe sio stealth,kwahiyo yatavuruga element of suprise,kwa maana iran watajua kuwa wanakuja kushambuliwa kabla ndege za israel hazijaliacha anga la syria,jordan au saudi arabia,
isitoshe iran ako na Over The Horizon na Early warning long range rada ambazo wataweza kuona group kubwa la ndege zinapoondoka israel kuja kupiga iran,
kama element of suprice haitakuwepo maanake ni kuwa iran watakutwa wameandaa interceptor mapema mno na hata wanaweza kufyatua makombora yakatua israel kabla ndege za iran hazijaliacha anga za iraq kuingia kupiga iran
Hiyo middle East unavyo ichambua utafikiri ni hapo kwa mnyamani

Asante kwa Elimu mkuu
 
Elungata

Elungata

JF-Expert Member
Joined
Jan 28, 2011
Messages
31,665
Points
2,000
Elungata

Elungata

JF-Expert Member
Joined Jan 28, 2011
31,665 2,000
Lengo la israel ni kuingia iran bila kelele au kujulikana ,ndo maana wanataka kutumia F-35 stealthfighter, sasa tatizo kubwa uwezo wa ndege kubeba mafuta ya kwenda na kurudi iran haupo,ni mpaka iongezwe external tank,na wakifanya hivyo ule ustealth wa ndege unaondoka hivyo ndege inaweza kuonekana,
option nyingine waende na escort ya air refuelling tanker,tatizo matanker yataonekana na likipigwa tanker kabla ndege hazijawa refuelled,mchezo unaishia hapo,
option ta tatu iwapo watatua kwanza saud arabia kunywesha mafuta wakati wa kwenda na kurudi,hili linawezekana,tatizo iran lazima ana mashushu sehemu kama zote saudi arabia,ishu ikileak,iran watakutwa wako ready,
pia suala la kushambulia iran sio la kwenda unapiga dakika tano na kuondoka,most target ziko deep underground,hata ambazo ziko above ground sio suala la kuja unatupa vikombora viwili vitatu halafu huyooo unachomoka mbio kurudi,
ni suala la kutumia walau saa nzima unazunguka na kuhit targets,iran ni kubwa sana sio kama gaza,
wakati ndege ya israel inahit targets ndani ya iran,makombora ya iran nayo yatakuwa yanahit targets ndani ya israel,
sasa ni suala la kutegemea air defence za nchi hizo zitapangua makombora mangapi na mangapi yatahit targets
 
B

BASKET

Member
Joined
Feb 10, 2019
Messages
35
Points
125
B

BASKET

Member
Joined Feb 10, 2019
35 125
NAONA WATU WENGI HUMU WANATAMANI KUONA MCHUABO, EITHER US/ISRAEL VRS URUSI/IRAN. VITA SIO MCHEZO WA NGUMI AU MIELEKA, NI MCHEZO UNAOHUSU MAISHA NA UCHUMI. LAZMA KABLA YA KUINGIA KWENYE VITA UANZE NA DIPLOMASIA, THEN BITI, UNASHTUKIZA KDOGO NDO INAKUWA VITA. HATA MAREKANI IKIGOMBANA NA TANZANIA BADO WATAFUATA NJIA HIZO, SIO KUSHAMBULIA TU. KUMBUKA TRUMP KAANZA NA DIPLOMASIA (MOM), IKAJA BITI. ILIPOANGUSHWA DRONE AKASITISHA MASHAMBULIZI KWA KILE ALICHOKIITA WATAKUFA WATU 300, NAAMIN HATA UCHUMI ULIKUWA NI FACTOR JAPO HAKUSEMA. KUPIGA KOMBORA MOJA TU NI MILLIONS OF DOLLARS.
 
M

Moro¹One¹

JF-Expert Member
Joined
Jan 17, 2016
Messages
345
Points
500
M

Moro¹One¹

JF-Expert Member
Joined Jan 17, 2016
345 500
israel hana uwezo wa kuproject power kwa umbali huo na ikaleta matokeo mazuri,mindege itaishiwa mafuta katikati ya mpambano na haiwezi kurudi israel bila fuel,njia pekee anaweza fanya ni kutumia makombora na kuyafyatua kwa kutumia submarine ikiwa arab sea au kutokea israel uwezo ambao hata iran anaweza kufyatua makombora yakatua dimona nuclear facilities. Bila kuteamup na marekani israel hawezi iffanya lolote iran
Upo mbali sana bro, ili aende Iran Israel atatumia nchi 5, rafiki zake kweli kweli 1. Azebaijan, imepakana na Iran kwenye Caspian sea, (Israel ameshapeleka ndege huku mara nyingi sana kwa mazoezi), 2. Georgia rafiki wa Israel na yupo karibu na Iran kasikazini magharibi, Georgia haiwapendi Urusi na Iran pia kuna kambi za mazoezi za USA nchini Georgia. 3. Saudi Arabia hapa mwenyewe unajua, 4. Bahrain, hii Bahrain wana urafiki na Israel sana wapo karibu kufungua barozi Israel. 5.Kwa Siri Watatumia kambi ya Jeshi ya USA uko kasikazini ya Bahari ya Hindi(Kisiwa cha Chagos Island, ambapo USA strategic Nuclear Bombers zinakaa). Iran wataisoma.
 
Ndumbayeye

Ndumbayeye

JF-Expert Member
Joined
Jan 31, 2009
Messages
6,290
Points
2,000
Ndumbayeye

Ndumbayeye

JF-Expert Member
Joined Jan 31, 2009
6,290 2,000
You are overlooking the scenerio kwamba issue ya kuokoa mateka ilikuwa ni "a one time activity and a sort of a guerilla war" kiasi kwamba Idd Amini yeye hakuwa anajua, na hivyo hakuweza kufanya maandalizi yoyote. Kwa upande wa swala la vita ni tofauti sana kwa sababu kila upande unakuwa unajua na unakuwa umejiandaa. Zaidi ni kuwa vita inaweza ikachuka hata miaka 10 wakati uokoaji mateka ulikuwa wa siku 1 au masaa tu. However, mimi naamini kuwa Isreal pamoja na udogo wake, ni Taifa ambalo huwezi ukali-predict sana kivita. Possibly hata Marekani kama asingekuwa mshirika wake na ingetokea wakaamua kuzichapa, anaweza akapigwa bila wasiwasi wowote. Kumbuka kuwa hawa watu ndiyo Mungu aliwateua kama Taifa Takatifu kuwakilisha mataifa yote hapa duniani (kwenye sayansi tukitaka kufanya utafiti, huwa tunachukua representative sample kutoka kwenye kiasi kikubwa cha kitu tunachotaka kufanyia utafiti, na hivyo sayansi ilimuiga Mungu kwa kufanya hivi, alianzisha Yeye kwa kuwachuka wa-Isreal kama representative sample), na tunaoamini maandiko matakatifu, tunaamini kuwa wako Semi Divine, kiasi kwamba ukiingia nao vitani hasa kwa kipindi hiki, unaweza ukashangaa hata Alliens nao wanakuja kutoka kusikojulikana na kushiriki vita, kuwasaida wa-Isreal. Leave Israel as Israel.
waisrael hawa sio wale wa Musa, these are devils.
 
mzee wa liver

mzee wa liver

JF-Expert Member
Joined
Dec 14, 2014
Messages
71,028
Points
2,000
mzee wa liver

mzee wa liver

JF-Expert Member
Joined Dec 14, 2014
71,028 2,000
Wako vizuri sana kwenye War Technology sipendi vita kiukweli lakini kufananisha Uwezo wa kivita wa Israel na Iran ni kuidhalilisha Myahudi katika war tech
 
Elungata

Elungata

JF-Expert Member
Joined
Jan 28, 2011
Messages
31,665
Points
2,000
Elungata

Elungata

JF-Expert Member
Joined Jan 28, 2011
31,665 2,000
moro one,azerbanjain ni rafiki wa iran pia,kwani wa Azer pia wanapatikana iran,Azerbanjain hawezi kuhatarisha usalama wa nchi yake eti kwa kuruhusu kashambulio kamoja ambako hakatakuwa na impact yeyote ile zaidi ya kukaribisha mashambulizi toka iran,Bahrain hawawezi kuthubutu,ni kinchi kidogo mno na kinatazamana na iran kinaweza potezwa ndani ya mda mfupi tu,nchi ambayo itakubali kirahisi itumiwe ni saud arabia pekee,na wao inabidi wajiangalie,wana vifaa vya kisasa kuzidi iran,tatizo saudi hawezi vita anategemea msaada wa nchi kama misri,pakistan,sudan
 
Makanyaga

Makanyaga

JF-Expert Member
Joined
Sep 28, 2007
Messages
3,533
Points
2,000
Makanyaga

Makanyaga

JF-Expert Member
Joined Sep 28, 2007
3,533 2,000
waisrael hawa sio wale wa Musa, these are devils.
Mungu akisema kitu Amesema, huwa habadiliki. Ni wa-Israel wale wale wa kipindi cha Mussa, waliomsababisha Mussa akavunja Amri Kumi za Mungu baada ya kuwakuta wanaabudu Ndama wa Dhahabu kama mungu wao, na waliomsababisha akashindwa kuingia Kaanani, baada ya kuwa wamemchnonganisha na Mungu. Mussa aliupiga mwamba ili wanywe maji, badala ya maelekezo aliyokuwa amepewa na Mungu kwamba auambie mwamba utoe maji. Wakati anaupiga mwamba, alikuwa na hasira sababu walikuwa wakimkorofisha mara kwa mara. Ni wale wale wa kipindi cha Mussa ndiyo wanaoishi Israel sasa hivi
 
busha

busha

JF-Expert Member
Joined
Jan 21, 2019
Messages
1,052
Points
2,000
busha

busha

JF-Expert Member
Joined Jan 21, 2019
1,052 2,000
maneno maneno ni umama walipize,
iran keshashusha mwewe wa us na wao walipize chochote wanachoweza,,iran ipo gado full time 7days.
 
E

Elijah moses

Member
Joined
Jun 14, 2019
Messages
5
Points
20
E

Elijah moses

Member
Joined Jun 14, 2019
5 20
Just keep on cheating yourself, Iran doesn't have capability to win a war against Israel.
Mtapigwa hadi mtajuta, ni mara ngapi Israel imekuwa ikipiga base za Iran Syria? je mmejibu? Hamtaweza kumiliki Nuclear weapons, mtapigwa kabla ya kutengeneza hilo bomu, ole wenu..
Who is Israel can be beaten remember about ruler Aswa of Egypt
 
Elungata

Elungata

JF-Expert Member
Joined
Jan 28, 2011
Messages
31,665
Points
2,000
Elungata

Elungata

JF-Expert Member
Joined Jan 28, 2011
31,665 2,000
Wako vizuri sana kwenye War Technology sipendi vita kiukweli lakini kufananisha Uwezo wa kivita wa Israel na Iran ni kuidhalilisha Myahudi katika war tech
mzee wa liver,kama technology ipi kwa mfano?,maana usikute unaongea vitu huna uhakika navyo,as kwa uwezo wa kivita,Globofirepower.com wanakuambia Hapa duniani Iran inashika nafasi ya 14 kwa mwaka 2018,wakati Israel ni ya 19.
Hata tukianza kuchambua item moja moja,israel bado hawezi kuifikia iran kwa military capability
 
mzee wa liver

mzee wa liver

JF-Expert Member
Joined
Dec 14, 2014
Messages
71,028
Points
2,000
mzee wa liver

mzee wa liver

JF-Expert Member
Joined Dec 14, 2014
71,028 2,000
mzee wa liver,kama technology ipi kwa mfano?,maana usikute unaongea vitu huna uhakika navyo,as kwa uwezo wa kivita,Globofirepower.com wanakuambia Hapa duniani Iran inashika nafasi ya 14 kwa mwaka 2018,wakati Israel ni ya 19.
Hata tukianza kuchambua item moja moja,israel bado hawezi kuifikia iran kwa military capability
.
screenshot_20190711-160142-jpeg.1151237
 
RIZIKI ALLYS MUHUNZI

RIZIKI ALLYS MUHUNZI

JF-Expert Member
Joined
Sep 5, 2016
Messages
558
Points
1,000
RIZIKI ALLYS MUHUNZI

RIZIKI ALLYS MUHUNZI

JF-Expert Member
Joined Sep 5, 2016
558 1,000
Ukweli ni huu Israel ndio marekani ukipigana na Israel unapigana na marekani nyukria ya Israel mwenyewe mmarekani huo ndio ukweli Israel ana lolote nje ya marekani pasipo marekani Israel ni sawa na changudoa asiye na matunzo
 
BINARY NO

BINARY NO

JF-Expert Member
Joined
Dec 29, 2011
Messages
2,001
Points
2,000
BINARY NO

BINARY NO

JF-Expert Member
Joined Dec 29, 2011
2,001 2,000
Upo mbali sana bro, ili aende Iran Israel atatumia nchi 5, rafiki zake kweli kweli 1. Azebaijan, imepakana na Iran kwenye Caspian sea, (Israel ameshapeleka ndege huku mara nyingi sana kwa mazoezi), 2. Georgia rafiki wa Israel na yupo karibu na Iran kasikazini magharibi, Georgia haiwapendi Urusi na Iran pia kuna kambi za mazoezi za USA nchini Georgia. 3. Saudi Arabia hapa mwenyewe unajua, 4. Bahrain, hii Bahrain wana urafiki na Israel sana wapo karibu kufungua barozi Israel. 5.Kwa Siri Watatumia kambi ya Jeshi ya USA uko kasikazini ya Bahari ya Hindi(Kisiwa cha Chagos Island, ambapo USA strategic Nuclear Bombers zinakaa). Iran wataisoma.
Duh! Hizo Nchi unazozisema ni Rafiki wa Israel na zimepakana na Iran kwani Zina Ugonvi na Iran? Na Unadhan kila nchi inataka kua Punching bag kwenye ugonvi wa wengine! Unadhan Israel ikitumia mfano Bahrain Unadhan Iran itaiacha Bahrain salama? Mataifa ayo yote yanajua uwezo wa Iran wa Makombora na endapo zikitumika uenda zenyewe ndo zikafutwa kwanza kabla ata ya Israel....
 
G

Goldzone

Senior Member
Joined
Aug 30, 2011
Messages
100
Points
225
G

Goldzone

Senior Member
Joined Aug 30, 2011
100 225
mzee wa liver,kama technology ipi kwa mfano?,maana usikute unaongea vitu huna uhakika navyo,as kwa uwezo wa kivita,Globofirepower.com wanakuambia Hapa duniani Iran inashika nafasi ya 14 kwa mwaka 2018,wakati Israel ni ya 19.
Hata tukianza kuchambua item moja moja,israel bado hawezi kuifikia iran kwa military capability
Aisee vipi inshu ya ile submarine ya Russia kuwaka moto chini ya bahari nasikia kulikuwa na firefight kati ya Russia na US pia submarine ya US ikazamishwa na ya Russia ndo ikajeruhiwa na kushika moto na ndo kisa cha Pence kuitwa ikulu fasta baada ya hio inshu.
 
Ummayed

Ummayed

JF-Expert Member
Joined
May 21, 2019
Messages
3,942
Points
2,000
Ummayed

Ummayed

JF-Expert Member
Joined May 21, 2019
3,942 2,000
Just keep on cheating yourself, Iran doesn't have capability to win a war against Israel.
Mtapigwa hadi mtajuta, ni mara ngapi Israel imekuwa ikipiga base za Iran Syria? je mmejibu? Hamtaweza kumiliki Nuclear weapons, mtapigwa kabla ya kutengeneza hilo bomu, ole wenu..
Pole sana aisee.
Nuclear weapons zinamilikiwa tayari iran na kuna secret tunnel ambayo urutubishaji wa nuclear unaendelea pole yako.
Then huyo Israel anapiga base anaharibu vifaa hapigi watu directly .
Na inaonekana anatwanga maji ktk kinu maana still hzo base zinaendelea kuwepo.
Inamaana nia yake haitimiziki.
Muulize mzayuni wako ameisahauje njia ya kule Lebanon baada ya kipigo cha Hizbollah.
Huyo mzayun wako anaongozwa mkono na USA.
Na siku USA wakikataa wanajeshi wake kuwa frontlinier wa huyo mzayun shoga.
Atakoma hapo Middle East.
Jeuri anayoleta ni ufadhili wa America.
Nikukumbushe kauli moja.
Mwaka juzi waarabu baadhi walichachamaa kuona udhalimu wanaofanyiwa Palestines.
Wakaandika barua kuelekea UN headquarters.
Netanyahu wako akatokwa na povu kusema alidhani ukorofi wa waarabu atakuwa ana kaz kubwa ya kupambana kutokana na kuhamaki kwao na alitarajia matatizo makubwa,ila walipoandika barua kuelekea un headquarters pale New York walimshusha presha kuwa hakuna kitakachotendeka.
Inamaana America inamtetea huyo mzayun wako.
Na siku maslahi ya America yakiisha pale middle east tegemea huyo mzayun kupigwa mpk kuchakaa.
 
Ummayed

Ummayed

JF-Expert Member
Joined
May 21, 2019
Messages
3,942
Points
2,000
Ummayed

Ummayed

JF-Expert Member
Joined May 21, 2019
3,942 2,000
Ila Israel na USA kumiliki ni salama?!
Ilhali USA alishatumia kuipiga japan ili kulinda maslahi yake kwa UK.
Asee mmejazwa kasumba nyie wafuasi wa Trunpet
Ni Mgonjwa wa akili pekee atadhani kwamba ni salama kwa Iran kuwa na silaha za nyukilia.

Ni sawa na ukutane na jamaa wa kisomali kati kati ya Nairobi amebeba grenade akwambie ni toy tu hii usiogope.
 
Ummayed

Ummayed

JF-Expert Member
Joined
May 21, 2019
Messages
3,942
Points
2,000
Ummayed

Ummayed

JF-Expert Member
Joined May 21, 2019
3,942 2,000
Kumbuka Entebbe sio Tehran.
Kumbuka ile stealth spy drone ilivyoshushwa mzee.
Mwaka 1976 Israel iliweza kushambulia uwanja wa Entebbe nchini Uganda kuokoa Mateka wa Kiyahudi; ambako ni mbali zaidi kuliko Iran inavyokuwa kutoka Israel. Ni kweli kwamba walitua Nairobi lakini Israel ilieleza kwamba hata wakati huo walikuwa na utaalamu wa kujaza mafuta angani: wangeweza kurusha ndege mbili moja ibebe mafuta tu ya kujazia kwenye ndege yenye askari wanaokwenda kupigana. Lakini waliogopa kufanya hivyo kwani wangeonekana wanafanya hivyo watu wangegutuka na kuanza kudadisi nini kinachoendelea. Hivyo "...we forced ourselves on his [Mzee Jomo Kenyatta's] generous hospitality". Sasa hiyo ni miaka zaidi ya 40 iliyopita.
 

Forum statistics

Threads 1,315,672
Members 505,292
Posts 31,866,345
Top