Ummayed
JF-Expert Member
- May 21, 2019
- 6,156
- 2,573
We link yako ya uongo ya vichochoroni
Hakuna mashambulizi ya msingi yanayofanyika Syria. Mrusi yupo pale na hivi sasa Assad ana fight the last battle in idlib kuwaondoa waasi. In general hii vita ya Syria marekani na ndugu yake muisrael wameshindwa.Na mashambulizi ya wayahudi dhidi ya iran pale syria vp na kila sku iran anahidi kulipa kisasi vp nayo unayazungumziaje babaa
Iran ni kama mbwa koko! Kelele nyingi tuIran wamenyweaView attachment 1150953
Single fill ya modern jet fighters ina range ya kilometa elfu nne. So kama refuelling watafanyia Saudia tu hapo. Kutoka Saudia mpaka Iran ni less than hundred kilometres then do your calculations kama Refuelling ni issue@yamakagashi,yeah israel ana matanker yanaweza kufanya air refueling,lakini sasa tatizo menyewe sio stealth,kwahiyo yatavuruga element of suprise,kwa maana iran watajua kuwa wanakuja kushambuliwa kabla ndege za israel hazijaliacha anga la syria,jordan au saudi arabia,
isitoshe iran ako na Over The Horizon na Early warning long range rada ambazo wataweza kuona group kubwa la ndege zinapoondoka israel kuja kupiga iran,
kama element of suprice haitakuwepo maanake ni kuwa iran watakutwa wameandaa interceptor mapema mno na hata wanaweza kufyatua makombora yakatua israel kabla ndege za israel hazijaliacha anga za iraq kuingia kupiga iran
Iran au USA ndio mbwa koko?!Iran ni kama mbwa koko! Kelele nyingi tu
Tatizo ni kuwafanya watu wawe aware.Single fill ya modern jet fighters ina range ya kilometa elfu nne. So kama refuelling watafanyia Saudia tu hapo. Kutoka Saudia mpaka Iran ni less than hundred kilometres then do your calculations kama Refuelling ni issue
Tushachoka na vijeneno ya bibi tia mguu uone....Netanyahu warns Iran it is within range of Israeli air strikes, citing Iranian threats
Reuters Tue, Jul 9 4:56 PM GMT+3
FILE PHOTO: Israeli Prime Minister Benjamin Netanyahu gestures during the weekly cabinet meeting at his office in Jerusalem
JERUSALEM (Reuters) - Prime Minister Benjamin Netanyahu cautioned Iran on Tuesday that it is within range of Israeli air strikes, citing what he described as Iranian threats to destroy Israel.
"Iran recently has been threatening Israel's destruction," Netanyahu said at an Israeli air force base, where he viewed a squadron of advanced U.S.-built F-35 warplanes.
"It should remember that these planes can reach anywhere in the Middle East, including Iran, and certainly Syria," he said in a YouTube video clip filmed at the base, with an F-35 in the background.
Last week, a senior Iranian parliamentarian was quoted by the semi-official Mehr news agency as saying that if the United States attacked Iran, Israel would be destroyed in half an hour.
Israel has long said that every option is on the table in ensuring that Iran does not develop a nuclear weapon, and has backed pledges to prevent Iranian military entrenchment in Syria by carrying out air strikes there.
Tehran denies seeking nuclear arms.
(Writing by Jeffrey Heller; Editing by Mark Heinrich)
Mkuu naona unaongelea umbali zaidi na kusahau teknolojia22 May 2018 · The F-35C's advertised
range is 1,200 nautical miles (roughly
2,200 kilometers), roughly 10 percent
longer than that of the F/A-18. But for
most strikes, that would require the
carriers launching F-35C sorties to be
much closer to the coast than falls
within the comfort zone.
Ila mkuu kuibadilisha Shia regime wataweza kweli?!Mkuu naona unaongelea umbali zaidi na kusahau teknolojia
Wakati wa Bill Clinton, Marekani ilituma kombora kutoka meli zake zilizoko Mediterranean kuelekea Sudan. Kombora lilifanyiwa hesabu baada ya ujajusi wa kujua kiwanda cha Dawa kinacholengwa kinafunguliwa saa ngapi na kinafungwa saa ngapi
Kombora lilitua katika kiwanda hicho muda mchache baada ya kiwanda kufungwa
Kiwanda kikawa flat bila kuumiza raia. Ni kiwanda ilichohisiwa ni cha Osama
Kombora hilo lilitumwa kwa kuzingatia umbali, mzunguko wa dunia, muda n.k. na lilifika sehemu tarajiwa katika muda muafaka na kusababisha madhara tarajiwa.
Hoja hapa ni kuwa Marekani ina base Qatar, ina Base Saudia na UAE.
Meli zake zipo karibu sana na Iran na kwamba kombora linaweza kufika bila shaka.
Hata ndege za kivita zina uwezo wa kufika kutoka katika meli nzito za nchi hiyo
Tatizo si kupiga Iran, bali matokeo ya kupiga huko ni yapi. Kurusha makombora au kufumua eneo kama Israel ilivyofanya kwa kiwanda cha Saddam Hussein hakutoi matoke yanayotarajiwa
Kinyume chake kuna chagiza vita isiyo na uelekeo inayoweza kuwa mbaya sana hasa kwa Marekani. Ubaya wake unatokana na nchi hiyo kuwa na military base eneo la mashariki ya kati
Hivyo jeshi la Marekani litalazimika ku 'stretch' ili kulinda masilahi yake.
Hilo litafngua mianya maeneo mengine ''hot'' kama Iraq na Afhganistan na itawagharimu sana
Kinachomfanya Israel ajifiche nyuma ya US ni kuhofia vita hiyo kuchukua mkondo wa Dini
Kumbuka tofauti ya ''sect' za kiislam kama Shia na Sunni ni ndogo sana.
Iran itakaposema ''Wayahudi au Wazayuni' wanashambulia Uislam hilo tu litawaunganisha Waislam wa eneo hilo na vita itakuwa si nuclear weapon tena bali mashambulizi dhidi ya dini
Ni kama vile Mkristo atakaposema Ukristo unashambuliwa.
Bila kujali ni Mkatoliki au protestant n.k wote wataunganishwa na kitu kimoja ''Ukristo''
Vikwazo anavyowekewa Iran ni kumdhoofisha kwanza kabla ya kumshambulia.
Israel intelligence ni kali sana kiasi kwamba imeweza kuwafarakanisha Saudi Arabia na Qatar, UAE na ndugu zao wa Iran.
Kwasasa US inauza silaha Saudia zinazofungwa na Israel kwa uswahiba wa MBS na BB Nyahu
Lakini pia usisahu kuwa Mrusi ana interest zake pale Iran. Mchina ana interest zake pia
Kwanini US na Israel zinataka kumshambulia Iran kwa sasa? Jibu ni kuwa vikwazo havionekani kuleta mtafaruku. Jaribio la Israel kuchochea Uasi kwa raia lilizimwa mapema sana
Wakati huo huo nchi za EU zilizobaki katika nuclear deal zilitaka kuwa na mbadala wa ''Currency and transaction'' bila kupitia US wakifikiria Pound sterling au Euro ili waweze kufanya biashara na Iran na nchi hiyo ibaki katika nuclear deal.
US na Israel wanaona hilo litawaharibia mpango wao wa kuidhoofisha Iran, wanatafuta kila sababu waweze kumpiga
BB Nyahu alikwenda WH kuonana na Obama kuhusu US kuishambulia Iran siku za nyuma
Obama alimwambia hakuna askari wa Marekani atakayeingia katika vita hiyo kama Israel inaweza basi iende yenyewe. Israel haikuweza wala kuthubutu kwa kujua US haipo nyuma yao
Ukitaka kujua nguvu ya Iran, ni kwamba, nuclear enrichment wanaifanya kwa utaalam wao
Tofauti na Pakistan iliyowatumia wataalam wa nuclear baada ya Soviet kuanguka
Kosa hilo lilifanywa na Marekani kwa kuangusha dola kubwa bila kuwa na mkakati wa kuhakikisha wataalam wa mambo kama ya nuclear wanahifadhiwa vipi
Taifa la Iran limedhoofika kiuchumi kutokana na vikwazo, lakini katika utaalaam wapo vema
Marekani inataka kubadili utawala wa Iran(regime change) na si kupiga piga kama ilivyokuwa kwa Israel na Hezabollah.
Matokeo ya vita ya Hezbollah ni uharibifu tu lakini Hezbollah ipo pale pale tena ikiimarika.
Israel inataka piga piga , Marekani inaangalia short and long term effects za kushambulia Iran.
Bado US wanakumbu kumbu nzuri tu ya Taliban kule Afghanistan na wanasumbuliwa sana na akina Mortada el Sadra kule Iraq akiongoza Shia
Kwamba Israel na Marekani wanaweza kurusha makombora yakaharibu sehemu za Iran hilo halina mjadala. Wanaweza kutuma ndege hilo halina mjadala.
Lenye mjadala ni matokeo ya hayo mashambulizi.
Middle east inaweza kuwaka moto na Israel haitakuwa salama hata kidogo.
Kwahiyo suala si umbali, teknolojia au makombora. Tatizo ni moja, nini yatakuwa matokeo ya hatua hiyo na madhara yake yataenea kwa kiwango gani na yatadhibitiwa vipi?
Bila majibu ya hilo, ni ngumu kurusha makombora hovyo kama Israel ilivyofanya kwa Hezbollah bila matokeo yoyote ya maana
Mkuu naona unaongelea umbali zaidi na kusahau teknolojia

Ila mkuu kuibadilisha Shia regime wataweza kweli?!
Maana yule Ayatollah alishawapa risala raia kuwa hata Europeans they are not people to trust.
Wataweza kweli mkuu?!
STRONG ARGUMENT.Mkuu naona unaongelea umbali zaidi na kusahau teknolojia

Hata kama Israel kweli ana makosa, lakini kulea uwepo wa taifa la Iran ni makosa zaidi, hawastahili hata kuwepo hapa Duniani.Atapigwa kipigo kuliko alichopigwa na hibullah we muache tu
Kwanini useme Iran uwepo wake ni matatizo?!Hata kama Israel kweli ana makosa, lakini kulea uwepo wa taifa la Iran ni makosa zaidi, hawastahili hata kuwepo hapa Duniani.
cha msingi siungi mkono vita tukae chini tuyazungumze kiusuruhishi.
AaaaaaaaaaaajNi Mgonjwa wa akili pekee atadhani kwamba ni salama kwa Iran kuwa na silaha za nyukilia.
Ni sawa na ukutane na jamaa wa kisomali kati kati ya Nairobi amebeba grenade akwambie ni toy tu hii usiogope.