Israel yamkatalia Zelensky kwenda kutembelea Tel Aviv

Zelensky kichwa maji,
Jitu linapelekewa silaha kila simu, nguvu kazi ya kuzitumia inateketea kila uchwao,

tuendako itafikia mahali litakuja kujikuta lina silaha lakini hakuna wa kuzitumia na limebaki lenyewe pekeyake
 
Israel haitaki kuongeza maadui,maana hata wewe ukiambiwa uanzishe vita ambayo Haina faida na wewe ni ya nini, maadui WA Israel ni waarabu bhas
 
Usawa gani tena......media zilionyesha kira kitu kutoka alwa akbar mpaka free Palestine tena bila upendeleo
 
Israel hawezi kumsahau Russia jinsi alivyowasaidia dhidi ya Adolf Hitler , bila Russia Jews wangeuliwa wengi zaidi. wema huu hawata usahau kamwe.
 
Israel hajajihusisha na yanayoendelea UKRAINE, na sasa hawako tayari kumpokea ZELEMAN kipindi cha vita na HAMAS, nadhani kuna uhusiano flan kati ya ISRAEL na URUSI, ambao unalindwa hapa.
 
Israel hajajihusisha na yanayoendelea UKRAINE, na sasa hawako tayari kumpokea ZELEMAN kipindi cha vita na HAMAS, nadhani kuna uhusiano flan kati ya ISRAEL na URUSI, ambao unalindwa hapa.
Hata Russia miaka yote anamlaumu US kwa mgogoro wa Gaza. Kuwa anachonganisha.

Huwa hawakemei Israel.

Dunia kubwa sana aisee
 
ISRAEL hataki kumkwaza URUSI, hii inajulikana wazi kuwa Israeli bado anamuheshimu Urusi... Urusi kamsaidia sana Israel kwenye baadhi ya mambo... Kitendo cha kumkaribisha rais wa Ukrein kingechochea uhasama na Urusi

israel imesaidiwa na urusi nn??
hapo ambacho israel inafanya ni kuepusha russia isije iunga mkono iran hasa kwene huu mgogoro …. ukizingatia israel anambutua iran syria, iraq, lebanon na gaza
 
usichojua ni kwamba, Zelesky ana uraia wa Israel, na ndio maana Putin hamuui. angeshamtoa roho kitambo sana.
 
Mjinga ni Putin kwa kuvamia nchi ya mwenzake, hata wewe utakubali jamaa aje kwako amchukue mkeo kiulaini huku majirani wakikucheka??!!
Mjinga anaweza kuwa ni wewe kwa kutoweza kuchanganua mambo kwa sababu ile ni nchi kubwa haiwezi kukurupuka.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…