Labda watumie mamluk lkn izrael hawana ubavu wa kwenda front na nchi yenye mizinga inayoweza kushambulia ndan ya Haifa,TelAvivTaasisi kadhaa za kimataifa zasema Iran inakaribia kufanikisha umiliki wa bomu la nyuklia.
Israel yaapa kuishambulia, kwani haitaruhusu Iran kuwa na Nyuklia maana inatishia uhai wa Israel.
Iran imeanza mazoezi ya kujiweka tayari, hivi karibuni ilivujisha picha za mahandaki ambayo ndani yake kuna ndege vita, mifumo ya ulinzi.
Iran yaomba Urusi iipe mfumo wa ulinzi anga wa S400.
Israel inajaribu kila mbinu ili kuifanyia Iran Preemptive strike.
Dunia ijipange haswa
1.NKorea/China/Russia vs Skorea/Japan/USA + Allies
2. China vs Taiwan/USA/Japan
3. Russia + Allies/China vs Ukraine/NATO/Allies
Ukiona mtu anataka kukupiga jua kajipanga.Labda watumie mamluk lkn izrael hawana ubavu wa kwenda front na nchi yenye mizinga inayoweza kushambulia ndan ya Haifa,TelAviv
Tusubiri 2049 Wakifikisha miaka 100 .. Ila America hatokubali .Unadhani China haitakuja ivamia Taiwan?
Suala la china na Taiwan ni tofauti kabisa na suala la Iran na Israel.Unadhani China haitakuja ivamia Taiwan?
Hata walipovamia Lebanon ili kuliangamiza kundi la hizbollah walijipanga lkn kilichotokea kila mmoja wetu anajuaUkiona mtu anataka kukupiga jua kajipanga.
Ukiona mtu anauwezo wa kuja kwako akaua paka wako, maana yake hata wewe anakuweza
Muda utasema brotherSwala hili si jepesi ndio maana unaona Marekani anaanza jivuta mbali na kumtegemea China kiviwanda.
Taiwan na China lazima tu zitapigana
Athubutu akumbane na maafa.Unadhani Israel haitakuja fanya mashambulizi kama ilivyofanya Iraq?
Israel wanachofanya ni ku slow down process nzima ya RD ya bomuYajulikana hivyo ndo maana atafanyiwa Pre Emptive strike japo hii itasababisha Middle East isikalike