Israel yaishambulia Syria

2 Corinthians 5:15 And that He died for all, that they which live should not henceforth live unto themselves, but unto him which died for them, and rose again.
 
Ofisini kwako ni wapi.........?.......naomba unieleweshe............

hapa muhimbili kwenye kile chumba muhimu cha kuhifadhia............ti. ukifika niulizie. hata hivyo hoja imeishapita hamna haja ya wewe kuja tena.
 
Hii pumba umeitoa wapi mkuu hebu fafanua kidogo mkuu tukuelewe
kilwakivinje
.......... Waisrael wanamuabudu Yesu kama unavyomuabudu wewe !? ....... wanakiamini na kukisoma Kitabu unachokisoma wewe !? .... alipopelekwa Mahakamani Yesu - shitaka lake lilikuwa ni nini ? kwa nini walimpa adhabu ya kifo cha msalabani ?
Ukiweza kupata majibu ya haya maswali ndio utajua wayahudi na wakiristo ni mbali mbali ! :doh:

'Au mnasema kuwa Ibrahim na Is-haq na Yaakub na wajukuu zao walikuwa Mayahudi au Wakiristo !? Sema: e, nyinyi mnajua zaidi au Mwenyezi Mungu ? Na ni nani mwenye kudhulumu zaidi kuliko yule aliyeficha ushahidi alio nao utokao kwa Mwenyezi Mungu ? Na Mwenyezi Mungu si Mwenye kughafilika na hayo myafanyayo.
Qur'an: 2:140.
 
Last edited by a moderator:

Swadakta Maalim
Tatizo unawaelekeza Kondoo wenye maskio lkn hawasikii. Wana macho lkn hawaoni.

Utakesha hapa.
Ukitaka wakuelewe Labda uanzishe kanisa lako. Aaah hapo utawateka vibaya mno hata km utasema Uongo wao wataitikia tu.
Amen BABA Mchungaji.
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…