Israel yaishambulia Syria

Yusomwasha

JF-Expert Member
Joined
Dec 5, 2014
Posts
2,092
Reaction score
844
Kwa habari nilizopata kutoka radio Tehran ni kuwa Israel imeshambulia kambi ya jeshi la Syria kwa ndege za kivita.

Jee ni kwanini Israel imekuwa ikifululiza kushambulia Syria mara kwa mara?

Na ni kwanini Syria hukaa kimya?

Israel inawahami magaidi wa isis kwa mfn Isis wameteka maeneo kati ya mpaka wa Syria na Israel lakini cha ajabu hawajawahi kufyatua hata risasi.

Kuelekea Israel hii inaonyesha live kuwa isis wanasapotiwa na israel na pia juzi juzi Abubakar Albaghdad alikuwa anapata matibabu Israel.


 

Hapo Ndipo Utakapoutambua Ubora Wa Israel. Hawa Jamaa NAWAPENDA Hamna MFANO! Ukiwachukia Waisrael Utakuwa PUNGUWANI Kichwani.
 
Njoo Ofisini ntakuelewesha, Utaelewa kwanini.
 
Ungetoa taarifa bila kuchanganya na hisia zako.
Mimi naona nisataili ya uandishi aliyochagua. Kaamu kuchanganya 'my take' yake kwenye habari husika. Sioni tatizo...!
 
Taarifa ni sahii na hoja ulizochangia ni sahihi kabisa labda nikiendeleza ulipoishia kwann ASAD hajib mapigo nauku ana Silaha nzito zaid jibu ni simple huu ni mpango wa kuiangusha serikali ya Syria ambapo km Syria ikijibu basi jua apo US/NATO ndo watakua wamepata pakuingilia kwan upande wa pili na watatu yani TURKEY,JORDAN na ISRAEL zote ni nchi zilizopakana na SYRIA nauko kote ndo waasi wa SYRIA wananguvu kwan wanapata silaha na mara kwa mara Turkey na Israel wamekua wakiishambulia Syria....Na US ameposition Patriotic missile sytem Turkey,Israel na Jordan..So hii ni vita kubwa sana kwann Israel akipiga Hezbollah na hawa sio majeshi ya LEBANON nikikundi tu lakin hezbollah watajibu ....
 
Kila kukicha mnalalamika ISIS kuwakata vichwa lakini hayo mataifa ya magharibi na wayahudi ndio waasisi na wasaidizi wa hilo kundi la kigaidi
 
Kila kukicha mnalalamika ISIS kuwakata vichwa lakini hayo mataifa ya magharibi na wayahudi ndio waasisi na wasaidizi wa hilo kundi la kigaidi

Ni kweli mkuu, na huu ni mpago mahususi wa CIA, ISRAEL na Saudi Arabia nia yao hasa ni kuiangusha Serikali ya Asaad kwa kuwa Serikali yake hipo karibu na Putin, wanacho taka eventually ni ISIS isambae Mashariki ya kati ili wapate wanajeshi wengi wa infantry wa kuivamia IRAN na kuiangusha Serikali yake na kuweka ma puppet wa Merikani madarakani - katika uvamizi huo ISIS wata tegemea sana mashambulizi ya ndege za kivita za NATO, Saud Arabia, Quatar, Misri, Israel, Uturuki(NATO) na Syria(kama Asaad atakuwa amehangushwa) - Merikani inasuka mipango hii ili pasiwepo na Taifa lolote Mashariki ya kati ambalo linapingana na kwanza siasa zake za kujitanua, pili na kui-protect Israel.

Merikani ikifanikiwa katika lengo lake tajwa hapo juu, basi wataweka military bases na makombora katika Mataifa hayo, ili siku za usoni waje kutumia bases hizo kuzishambulia aidha URUSI au UCHINA - jamaa hawa wana mawazo/mipango ya ajabu sana ya kutaka kuitawala DUNIA!!!

Tukumbuke mbinu hizi hizi za kuchochea choko choko watu wasielewane zinatumiwa hivi sasa na NATO/MERIKANI huko Ulaya ya Mashariki nia yake hasa ni kutafuta visingizio vya kuizingira URUSI ili waje kuishambulia at an opportune time - Merikani bila ya kutumia busara inajigamba eti Nuclear War is winnable - ujinga ulioje!!
 
Mbona kama sio habari ya leo hii
 

I am afraid this more of a conspiracy theory. Surely, it very difficult to prove this theory.
 
Lakini Israel haijakiri wazi kuwa imefanya hayo mashambulizi.
 
Kila kukicha mnalalamika ISIS kuwakata vichwa lakini hayo mataifa ya magharibi na wayahudi ndio waasisi na wasaidizi wa hilo kundi la kigaidi

Sijawahi kusikia kitu ambacho hajawahi anzisha Myahudi.... Akiwemo Mungu.... na anaabudiwa hadi leo tokea Myahudi amuanzishe... na hamna aliyemuona...
 
Sijawahi kusikia kitu ambacho hajawahi anzisha Myahudi.... Akiwemo Mungu.... na anaabudiwa hadi leo tokea Myahudi amuanzishe... na hamna aliyemuona...

Kweli kabisa maneno yako.
Hata ndoa za jinsia moja na Ukimwi kaanzisha huyo huyo myahudi.

Wanyama wabaya sana hawa jamaa. Ndio maana leo hii 39% ya wayahudi ni waliberali.
 
YULE mkuu wa ulimwengu amekwisha HUKUMIWA nae yupo njiani barabaa akiuangamiza ulimwengu maana hanakwa kukimbilia nae ni ANTI-CHRIST (MASIH DAJAL) huyu bhana atakuja wakati si mrefu na haya ndio maandalizi yake kupitia kwa WAYAHUDI
 
Lakini Israel haijakiri wazi kuwa imefanya hayo mashambulizi.

mashambulizi yamefanywa japo hayana tija zaidi ya kufukua vichuguu vichache ndo maana hata hizb hawajishughulishi kuyaongelea
 
Kweli kabisa maneno yako.
Hata ndoa za jinsia moja na Ukimwi kaanzisha huyo huyo myahudi.

Wanyama wabaya sana hawa jamaa. Ndio maana leo hii 39% ya wayahudi ni waliberali.

Yah Na wanawakungu'ta sana Waarabu... na waislam
 
Myahudi Kuua ni kawaida yake Mlaleo.
Umesahau na yesu pia walimfanya hivyo hivyo km wanavyo wafanyia Waarabu?

Kwa mtu mwenye fikra finyu unaona Uuwaji ni ujanja. yesu wa msalabani pia hakuwakosea lolote lkn walimtesa na kumuua msalabani.
Km matendo hayo ni furaha kwako basi iko siku na wewe yatakutokea tu uone utamu wake.
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…