Israel will not accept Iran nuclear deal, says Binyamin Netanyahu

rosemarie

JF-Expert Member
Mar 22, 2011
6,887
3,412
Israel's prime minister, Binyamin Netanyahu, emerged from a meeting with his ministers and security officials on Friday to declare that Israel would not accept a deal between world powers and Iran "which allows a country that vows to annihilate us to develop nuclear weapons".

Declaring his cabinet united in opposition to
the draft framework hammered out in Lausanne to limit the scope of Iran's nuclear programme, Netanyahu demanded that Iran recognises Israel's right to exist as a precondition to any final agreement.

But with Israel not a party to the talks, and its objections largely marginalised, it was unclear what, if any, pressure
Israel can bring to bear on a deal that international negotiators have cautiously hailed as a breakthrough.

Netanyahu's statement seemed designed for domestic consumption, as some depicted the deal as a defeat for Netanyahu's lobbying.

"This deal would pose a grave danger to the region and to the world and would threaten the very survival of the state of Israel," Netanyahu said. "The deal would not shut down a single nuclear facility in Iran, would not destroy a single centrifuge in
Iran and will not stop R&D on Iran's advanced centrifuges.

"On the contrary, the deal would legitimise Iran's illegal nuclear programme. It would leave Iran with a vast nuclear infrastructure. A vast nuclear infrastructure remains in place.

"The deal would greatly bolster Iran's economy. It would give Iran thereby tremendous means to propel its aggression and terrorism throughout the Middle East. Such a deal does not block Iran's path to the bomb. Such a deal paves Iran's path to the bomb."

The prime minister's political allies weighed in, including the intelligence and strategic affairs minister, Yuval Steinitz, who said earlier: "We will do everything to fight this and to close the breaches in the agreement. This is truly a deceitful illusion that sends a bad message to the entire region."

Advertisement

Although Steinitz has attempted to suggest in recent days that an Israeli military option remains on the table, few believe that it is a realistic possibility, not least because Netanyahu has already deferred once to objections to military action among senior military and intelligence leaders.

While Israeli rhetoric threatening military action has died down over the past year or so, the head of Israel's military planning directorate, Maj Gen Nimrod Sheffer, has also warned that it is still a possibility.

"The military option has always been on the table, as we have said all along," Sheffer told the Israel Hayom newspaper on Friday. "If it has not been mentioned much in the media recently, that does not reflect a change in policy."

Realistically, however, an Israeli military strike without US backing and directed against a keynote foreign policy of a sitting US president supported by key players on the UN security council and the EU seems highly unlikely.

The US secretary of state, John Kerry, delivered a sharp rebuff to both Israeli demands and those of Israel's Congressional supporters in the wake of the agreement.

Simply demanding that Iran capitulate makes a nice soundbite, but it is not a policy, it is not a realistic plan," he said.

While Netanyahu has continued to insist that a better deal was available, Israeli commentators were split over the draft deal, with some painting it as a defeat for Netanyahu after he had staked so much on his efforts to derail it.

Writing in Yedioth Aharonth, columnist Nahum Barnea was harsh in his assessment: "Netanyahu made the battle against the Iranian nuclear programme a top priority for his government … The truth should be told: this was a resounding failure for Israel.


Simply demanding that Iran capitulate makes a nice soundbite, but it is not a policy, it is not a realistic plan
John Kerry

As the clash between Netanyahu and Obama on the Iranian issue heightened, Israel's influence on the course of the negotiations and its outcome lessened. The Americans did not share the details with Israel."

He added: "The dilemma that Netanyahu faces today is not an easy one. He can push the leaders of the Republican majority in the two houses of Congress to try to torpedo the agreement. Congress can, ostensibly, insist on continuing the sanctions. Such a course of action would be unusual in the American political tradition, and it would entail various risks, but it is possible. It is doubtful whether doing this would achieve its purpose."

Barnea's comments reflect the assessment that Netanyahu's most likely course of action will be to attempt to rally supporters in Congress to block the agreement.

But with the draft agreement far more explicit and involving more concessions than Israel has vociferously claimed, including over the number centrifuges Iran will be allowed to retain, some believe Israel may have overplayed its hand already, not least with the more hawkish Democrats whom it will need to convince as well as Republicans.

Source: theguardian
 
Huyo Netanyahu sijui anafikiri yeye na nchi yake ndio nani humu duniani!
 
Obama anamdharau sana Netanyau...Iran chochea kuni unda bomu la nyuklia pasuapasua Israel
 
Benyamin Netanyau ana akili sana.....anajua kua mgogoro wa nuclear Iran ukiisha kwa Amani basi yafuatayo yanaweza ibuka:-
1. Mgogoro wa Palestina utakua na mashiko hivyo UN kuingilia kati
2. Nuclear Israel na Demona nuclear plant cha Israel inaweza shinikizwa na IAEA na kikawa chini ya uangalizi kitu anacho ogopa
3.Middle East itatulia hivyo kushikamana na Israel anaogopa muungano wao.
4. Israel inategemea migogoro ya mashariki ya kati ili kuisahaulisha DUNIA na hivyo kuendeleza makazi ya walowezi..HII YOTE NDO INAYOIKOSESHA AMANI ISRAEL WALA SIO NUCLEAR IRAN WAKATI YEYE ANAZO SILAHA ZA NUCLEAR
 
Kweli kabisa, anafanya kazi ya mungu wake baali, si Mungu wa upendo na haki ninayemfahamu mimi. Mind you, your god isn't necessarily mine.

Wasema wewe ni Baali, ila ukweli ni kwamba Israel ni Taifa teule la Mungu wa kweli na ile ni ardhi takatifu na ikikaliwa na hivyo vizazi vya nyoka ni chukizo la uharibifu.
 
Hakuna Dikteta mbaya na mkiukaji mbaya wa haki za binadamu kwa sasa kama Netanyahu.

Hakuna Mungu anayesapoti mauaji ya watoto wasio na hatia

Kuna siku Ehud Barack nae aliitukana Tanzania.Eti Ujerumani na Ufaransa sio muhimu kama Tanzania.Tena akaifananisha Tanzania na nchi ambayo hai-exist kabisa

Halafu anajiita ni kiongozi wa Taifa teule.
 
sijashangaa kukutana na wewe, sababu ni wengi nimeona michango yao humu JF. Haya ni matokeo ya propaganda za mataifa ya nje kuweza kutawala fikra za watu wa bara la afrika, kwa hili wamefanikiwa kwa kiwango kikubwa hususan kupitia dini. Changamoto iliyoko nchi zilizoendelea ni ubunifu wa teknolojia mpya, changamoto iliyoko Afrika ni ushabiki kwa mataifa ya nje tunaita ulimbukeni na kufia dini kuliko pitiliza. Nakubaliana na waafrika kutumikia dini lakini sikubaliana na waafrika kutumia vitabu vya dini katika kufanya maamuzi yanayohusu jamii. Siku tukijitambua, ndio itakua mwanzo wa kutatua matatizo yaliyopo.

uko sahihi kabisa 100%
 
Hakuna Dikteta mbaya na mkiukaji mbaya wa haki za binadamu kwa sasa kama Netanyahu.

Hakuna Mungu anayesapoti mauaji ya watoto wasio na hatia

Kuna siku Ehud Barack nae aliitukana Tanzania.Eti Ujerumani na Ufaransa sio muhimu kama Tanzania.Tena akaifananisha Tanzania na nchi ambayo hai-exist kabisa

Halafu anajiita ni kiongozi wa Taifa teule.

siku hizi nakuona umetulia sana,hebu gombea ubunge tukupe bana,kwani inaonekana maamuzi yako katika ishu mbalimbali yatakua focussed
 
watu ni mach*z jews are against all people regardless of religion or race lakini watu wanavyo washabikia humu duh
 
Hakika kijana umeanza kupevuka sikutarajia Kama kuna siku utatoa mawazo yenye maono Kama haya.Nimeanza kuelewa kwa sababu gani Chadema hawataki ushike uongozi
Hakuna Dikteta mbaya na mkiukaji mbaya wa haki za binadamu kwa sasa kama Netanyahu.

Hakuna Mungu anayesapoti mauaji ya watoto wasio na hatia

Kuna siku Ehud Barack nae aliitukana Tanzania.Eti Ujerumani na Ufaransa sio muhimu kama Tanzania.Tena akaifananisha Tanzania na nchi ambayo hai-exist kabisa

Halafu anajiita ni kiongozi wa Taifa teule.
 
Back
Top Bottom