Yusomwasha
JF-Expert Member
- Dec 5, 2014
- 2,092
- 844
Ni zile hadithi za Netanyahu eti bado mwezi Iran iwe na bomu mara eti tunashambulia thubutu, Kama wanajipenda waende! hawathubutu hata tone! telaviv itakua kama mchanga after 10 minutes.
Netanyahu aache kutafuta umaarufu akae na ajiulize matatizo ya umasikini wa wayahudi na nyie puppet wa israel hapa JamiiForums fikisheni ujumbe kwa +netanyahu.
Netanyahu aache kutafuta umaarufu akae na ajiulize matatizo ya umasikini wa wayahudi na nyie puppet wa israel hapa JamiiForums fikisheni ujumbe kwa +netanyahu.