Israel wamejikanyaga kwa Hezbollah

Israel wamejikanyaga kwa Hezbollah

Kama unaamini mungu kwann Israel bado ipo embu fikilia tena ingekuwa waIsrael ndio wapo kwenye nafasi ya wapalestina leo waIsrael awa tunaowaona wanavishana pete wakiwa vitani wanaume kwa wanaume je wangefikisha mwezi vitani,!!!! na wawe wamefungwa mnyololo awana chakula maji simu hospital ya uhakika awana kifaru ndege awana uhakika wakiumia wanatibiwa wapi jeee wangeweza simama kama Hamas!!! Kama mungu ananguvu je kipi kinastaajabisha kati ya uwepo Hamas adi leo mwaka + na uwepo w Israel ambaye anasapotiwa kukubwa na Dunia ya West yate + USA Awa Hamas akuna supot ata kula yao wanaokota unga barabarani muIsrael angeweza na mungu wake. Tuache unafki tuwe wakweli angeweza simama japo mwezi tu. Ikiwa upo walipo supot kibao lkn wakipata ambush kidogo kilio wanatoa ivi mshawai ona wanamgambo wa Hamas wanalia km wale wataifa teule. Aisee acha mungu aitwe mungu mazeee. Kusema Israel inalidwa na mungu uku tunaona USA akipeleka misaada kibao ikiwemo A.D tukiwaita waongo tumewatukuna kweli wazeee mliozoea uwongo tangu mnakuwa Si tunakumbuka ilikuwa malq kaga mtume yule nabiii yule vipofu wataona viwete watatembeya ilikuwa song kubwa miaka ile adi kuja kushtuka kuwa fix tu daaa sishangai leo mkiona muujiza kuwepo kwa Israel ikisaidiwa na mungu mkuuu. muIsrael anaomba kwa USA nyie mnasema anasaidiwa n mungu🤔🤔🤔🤔🤔
 
mmmh washafika waisrael 777 waliouawa? source? maana juzi nimesoma mahali kwamba ni around 100
Hapo bado wanadanganya ili kuficha aibu na kutoogopesha watu kwenda kupigana, hadi 8/10/24 walisema 778 idf soldiers ,leo imekuwaje tena 777 wakati kila siku lebanon huko wanauliwa
 
Attachments

  • Screenshot_20241102-124030_Chrome.jpg
    Screenshot_20241102-124030_Chrome.jpg
    429.6 KB · Views: 4
Hii ndio point kuliko zote tuwe na akiba Zayun mtu mbaya saanaa ana namna zake anazijua mwenyewe
Hizbollah ameanza kuishambulia Israel tangia Oktoba 8 hadi leo.
Na kadri anavyozidi kujibizana na Hizbollah basi hizbollah ndivyo wanavyozidi kuongeza upinzani.
Hamas na hizbollah ni vitu viwili tofauti.
 
Hapo bado wanadanganya ili kuficha aibu na kutoogopesha watu kwenda kupigana, hadi 8/10/24 walisema 778 idf soldiers ,leo imekuwaje tena 777 wakati kila siku lebanon huko wanauliwa
Lakini mbona heading inasomeka Gaza war na wewe uzi wako unasema Hezbollah?

Mimi nimechek vyanzo twitter mpaka sasa wanasema ni 95+ au 100 na majeruhi ndo kama 2000+

Hiyo 777 labda vita ya Gaza hapo sawa
 
Mbona hamsemi kule Lebanon hali ikoje mbona mamilioni ya watu hawako kwenye maskani yao.
 
Hawajaanza kuisha leo ila bado wanapambania haqqi zao

Wewe usie kua gaidi utaishi milele hongera
Jipe muda mkuu utaona mwisho wao utakavokuwa. Kuishi vizuri na watu hamtaki mnaleta ujeuri wakati nguvu hamna.
 
Hizbollah ameanza kuishambulia Israel tangia Oktoba 8 hadi leo.
Na kadri anavyozidi kujibizana na Hizbollah basi hizbollah ndivyo wanavyozidi kuongeza upinzani.
Hamas na hizbollah ni vitu viwili tofauti.
Mtasema yote hata Hamas mlisema hivyo hivyo Sina wali mlimsifia hivyo hivyo ila wote tuliona hapa alafu nakukumbusha hakuna mtu snitch na mjinga kama muarabu utajionea
 
Upumbavu ni nini?

Upumbavu ni kufikiri Hezbollah inawapa kipigo IDF hapo lebanon
 
Mtasema yote hata Hamas mlisema hivyo hivyo Sina wali mlimsifia hivyo hivyo ila wote tuliona hapa alafu nakukumbusha hakuna mtu snitch na mjinga kama muarabu utajionea
Shida unakaza sana fuvu.
Hizbollah anayo historia ya kumshinda vita Israel mwaka 2006.
Pia Hizbollah yupo nchi nyingine ambayo Israel hawezi akaingia kwa mapana kama anavyoingia kwa Hamas Gaza.
Kama Hizbollah ni sawa na Hamas basi ingekua imeshazimwa.
Ni mwaka sasa na mwezi mmoja hizbollah imekua inashambulia kwa nguvu ile ile Israel pasi na kupunguza kasi.
Pia Hizbollah kuna makamanda wa IRAN ndani yake wakisaidia operations.
Kama hujaelewa hapo kaka jioni njema.
 
Jipe muda mkuu utaona mwisho wao utakavokuwa. Kuishi vizuri na watu hamtaki mnaleta ujeuri wakati nguvu hamna.
Kuishi vizuri na israhell ni vita tu hao wauaji hawawezi kuishi vyema na watu ukiwapatia sawa unafyeka hata wote
 
Shida unakaza sana fuvu.
Hizbollah anayo historia ya kumshinda vita Israel mwaka 2006.
Pia Hizbollah yupo nchi nyingine ambayo Israel hawezi akaingia kwa mapana kama anavyoingia kwa Hamas Gaza.
Kama Hizbollah ni sawa na Hamas basi ingekua imeshazimwa.
Ni mwaka sasa na mwezi mmoja hizbollah imekua inashambulia kwa nguvu ile ile Israel pasi na kupunguza kasi.
Pia Hizbollah kuna makamanda wa IRAN ndani yake wakisaidia operations.
Kama hujaelewa hapo kaka jioni njema.
M😅😅😅😅😅😅
 
Back
Top Bottom