Israel wamejikanyaga kwa Hezbollah

Israel wamejikanyaga kwa Hezbollah

Hizbollah ameanza kuishambulia Israel tangia Oktoba 8 hadi leo.
Na kadri anavyozidi kujibizana na Hizbollah basi hizbollah ndivyo wanavyozidi kuongeza upinzani.
Hamas na hizbollah ni vitu viwili tofauti.
Hiziball hawana blockage ya yoyote kama ilivyohamas
 
Kwenye mahandaki alifuata nini kama haogopi kufa?
Anaogopa kufa sijasema haogopi alichokiogopa yeye ni kufa kitandani amelala kwa ugonjwa wa corona,au ajali au kifo chochote useless alitamani kufia iwanja wa vita msikilize tena vizuri ndio maana nimwawekea video yake mwenyewe akizungumza
 
Back
Top Bottom