Israel wamejikanyaga kwa Hezbollah

Israel wamejikanyaga kwa Hezbollah

son of a teacher

JF-Expert Member
Joined
Jul 30, 2017
Posts
653
Reaction score
1,662
Karibia kila siku roketi na drones zinarushwa israel kutokea Lebanon.

Hezbollah wamekuwa na mashambulizi ya mfululizo wa kurusha drones na makombola israel.

Israel hawajawahi kupata changamoto kama vita yao na hezbollah.

Hadi sasa hivi wanajeshi 777 wamefariki na zaidi ya 200 wamejeruhiwa huku mashambulizi ya drones na makombola yakizidi siku baada ya siku israel.

Screenshot_20241102_103215_Chrome.jpg
 
Karibia kila siku roketi na drones zinarushwa israel kutokea Lebanon.

Hezbollah wamekuwa na mashambulizi ya mfululizo wa kurusha drones na makombola israel.

Israel hawajawahi kupata changamoto kama vita yao na hezbollah.

Hadi sasa hivi wanajeshi 777 wamefariki na zaidi ya 200 wamejeruhiwa huku mashambulizi ya drones na makombola yakizidi siku baada ya siku israel.

Acha propaganda kijana, Beirut inakuwa next Gaza ndani ya miezi 2 ijayo, na Hezbollaah viongozi wao na wana mgambo wanaisha
 
Vipi Iran yale masaa bado?
 
Acha propaganda kijana, Beirut inakuwa next Gaza ndani ya miezi 2 ijayo, na Hezbollaah viongozi wao na wana mgambo wanaisha
Hawajaanza kuisha leo ila bado wanapambania haqqi zao
Wewe ulitakaje? Kilicho wazi ni magaidi yanazidi kupungua duniani na kuwahi bikra huko ahera. Hiyo kazi Israel kaiweza almost kila week gaidi mmoja anawahishwa kuzimu.
Wewe usie kua gaidi utaishi milele hongera
 
Karibia kila siku roketi na drones zinarushwa israel kutokea Lebanon.

Hezbollah wamekuwa na mashambulizi ya mfululizo wa kurusha drones na makombola israel.

Israel hawajawahi kupata changamoto kama vita yao na hezbollah.

Hadi sasa hivi wanajeshi 777 wamefariki na zaidi ya 200 wamejeruhiwa huku mashambulizi ya drones na makombola yakizidi siku baada ya siku israel.

View attachment 3141234
mmmh washafika waisrael 777 waliouawa? source? maana juzi nimesoma mahali kwamba ni around 100
 
Miezi ya mwanzoni Hamas waliweza pia kurusha rocket, now hamn kitu.

Naunga mkoni Mzayuni apigwe ila wapigaji wajipange pia.

Fak zionist and their supporters
Hamas mpaka tarehe saba mwezi Jana walipiga teli avivu na viunga vyake ili kuwafanya mazayuni warejee kaskazini mwa Ghaza maana walijiondoa baadhi yao na kweli wakarejelea hatimae wamawafyeka kila leo
 
Back
Top Bottom