Israel wamatoa ofa ya ajira 100000 kwa Malawi🇲🇼

ward41

JF-Expert Member
Apr 3, 2022
397
1,395
Serikali ya Israel imetoa offer ya Ajira 100000 kwa wananchi wa Malawi.

Waziri wa uchumi wa Israel amezungumza hayo kwa maafisa wa serikali ya Malawi

Nafasa za Ajira zipo za kumwaga mashambani na sector ya ujenzi.

Tuchangamkie fursa hiyo Israel
---

Speaking at a meeting with the Malawi delegation at the Israeli Parliament Building, Israeli Minister of the Economy Nir Barakt stressed that speed is of essence as other countries, including India are offering huge numbers as well.

The Minister said this labour is mainly needed in agriculture and construction sector.

Barakt asked how long it could take to deliver the first 10,000.

Secretary to the Treasury Betchani Tchereni responded that the workforce can be delivered within a week if Israel arranges transportation.

Tchereni speaking, just after the meeting, said this is a huge opportunity which Malawi must grab.
 
Mnanalamika nn kwani hzo nafasi huko kanisani hamtangaziwi mbona scholarship za kwenda kusoma israel mnaletewa kanisani hila ajira mnataka serikali ikawaombee kama mnavyoletewa scholarship na ajira muende hvyo hvyo mnataka serikali iwaombee kwenda israel mkirudi mashoga mlaumu serikali wenzenu huko wanaona hadi ndoa ruksa na mtakaoenda mkirudi uwanja wa ndege tunawakagua malinda ukija hauna malinda huingiii tunakurudisha huko huko kwa mume wako
 
za kwenda kujilipua bure bila kujulikana umepelekwa wapi msikiti utangazwa
 
Shamba boy na saidia fundi
 
Mnanalamika nn kwani hzo nafasi huko kanisani hamtangaziwi mbona scholarship za kwenda kusoma israel mnaletewa kanisani hila ajira mnataka serikali ikawaombee kama mnavyoletewa scholarship na ajira muende hvyo hvyo mnataka serikali iwaombee kwenda israel mkirudi mashoga mlaumu serikali wenzenu huko wanaona hadi ndoa ruksa na mtakaoenda mkirudi uwanja wa ndege tunawakagua malinda ukija hauna malinda huingiii tunakurudisha huko huko kwa mume wako
mkuu udini umekujaa , hayo mambo ya waislam wakristu hawana , mm sijawai ona wala sikia ajira za nje zinatangazwa kanisan ila nmewai kushiriki ibada msikit wa X hapa dar nliona na kusikia kwa macho yangu ajira za uarabuni zinatangazwa msikitini
 
Serikali ya Israel imetoa offer ya Ajira 100000 kwa wananchi wa Malawi.

Waziri wa uchumi wa Israel amezungumza hayo kwa maafisa wa serikali ya Malawi

Nafasa za Ajira zipo za kumwaga mashambani na sector ya ujenzi.

Tuchangamkie fursa hiyo Israel
---

Speaking at a meeting with the Malawi delegation at the Israeli Parliament Building, Israeli Minister of the Economy Nir Barakt stressed that speed is of essence as other countries, including India are offering huge numbers as well.

The Minister said this labour is mainly needed in agriculture and construction sector.

Barakt asked how long it could take to deliver the first 10,000.

Secretary to the Treasury Betchani Tchereni responded that the workforce can be delivered within a week if Israel arranges transportation.

Tchereni speaking, just after the meeting, said this is a huge opportunity which Malawi must grab.
Wanyasa wanavyopenda kazi naona kabisa ni kama mbuzi kafia kwa muuza supu.
 
Back
Top Bottom