Israel VS Iran kwenye sekta ya Uchumi

Israel VS Iran kwenye sekta ya Uchumi

View attachment 3123982

View attachment 3123983

Iran ina population kubwa ya watu, reserve kubwa ya mafuta, shaba, eneo kubwa lakini wamezidiwa Uchumi na Israel

Israel ni nchi ndogo Sana ki eneo na resources ndogo Sana lakini wamefanikiwa pakubwa kwenye kilimo, high tech, kijeshi.

Uchumi wao ni GDP 550 billion usd. Uchumi wa Iran ni GDP 450 usd.

Population ya Iran ni almost 90 million wakati Israel ni million 9.

Soma Pia: Rais wa Iran amuomba Ayatollah Khamenei kutokuishambulia Israel, ahofia anguko kubwa la uchumi litalopelekea kuanguka Dola hilo

Kwa takwimu hizo, Iran wana kazi kubwa. Budget Yao kubwa lazima wapeleke kuwahudumia wananchi

Israel Hana mzigo mkubwa kuwahudumia wananchi
Hakuna Mtu asiewajua Iran mkuu, historia yao ipo kila sehemu ni watu smart ambao miaka na Miaka wamekuwa mstari wa mbele kutengeneza Dunia yetu kama tunavyiijua leo.

Dunia ya leo kuna Nchi kibao zimewekewa Vikwazo na Hazitoboi angalia Zimbabwe, Venezuela, North Korea etc. Ila. Kwa Iran ni tofauti pamoja na kuwekewa Vikwazo jamaa ndio kwanza wanasonga mbele tu.

Iran ya Leo Malls kubwa kabisa Duniani zipo kwao, Wanatengeneza magari yao, wana Silaha zao karibia kila kitu wanajitegemea na wala hutoona wanaenda nchi za watu kutembeza Bakuli.

Bottom line hawa jamaa ni wasafi pengine level kama za wa Japan, ukiona unaenda sehemu mifereji ya maji machafu ni misafi to the point unaweza hata kuhesabu Michanga ujue hio ni peak of civilization na kila mwanadamu ambaye yupo civilized akifika Tehran lazima a dream kuishi sehemu kama hio.

So unaweza ukalinganisha GDP ukaona kama Israel yupo juu, ila Uchumi wa Israel ni feki na mostly unategemea misaada na mashirika ya nje. Proof kubwa Vita vidogo tu na Hamas immediately mwezi ule ule Uchumi ukashuka kwa asilimia 20, nchi yoyote kubwa yenye uchumi imara hili jambo haliwezi tokea, refer Urusi kuelewa.

Pia jambo jengine ambalo wengi hawaangalii wanapocompare nchi za wazungu/west na nchi zetu ni cost of living

Sehemu kama Iran Cost of living ni Around $300 kama laki 7 ama 8 hivi za kitanzania ukiwa nayo unaishi maisha mazuri, utakula vizuri na bata,

Ila Israel kupata same service utahitaji maelfu ya Dola, rent tu sehemu kama tel aviv inaweza fika $1600 kwa studio apartment.
 
Haya masuala watu mnaangalia numbers tu na mnafanya conclusion.

Iran ipo kwenye sanctions for almost 50 yrs. Lakini wamekomaa wamefika pale.

Kingine GDP per capita inakuwa kubwa ukiwa na population ndogo, jinsi nchi yako ina watu kidogo ndivyo uhakika wa mtu mmoja mmoja kuishi maisha bora unakuwa mkubwa.

Kuhusu budget ya kila mwaka sio issue, Russia ile pale ikizidiwa budget ya ulinzi na US mara 10 zaidi, cha ajabu inapambana na NATO countries zote.

Kwa haraka haraka Iran inaonyesha kuwa superior zaidi kuliko Israel, vikwazo walivyonavyo ingekuwa ni kwa Israel nadhani ingekuwa kama Burundi.

Vikwazo visikieni tu, unapowekea nchi vikwazo ina maana unaiua kiuchumi hadi kijeshi but Iran haijulikani wana survive vipi.

Kuwa na budget kubwa kijeshi haimaanishi utashinda wengine kivita, Iran ina natural resources nyingi kuliko Israel, wanatumia resources zao kutengeneza silaha, mitambo n.k hilo linafanya uzalishaji kiwa nafuu, huku Israel akinunua resources kutoka kwingine.

Hivyo Iran na budget yake ndogo inaweza tengeneza mitambo, silaha, vifaa n.k kwa gharama ndogo, sasa kuna haja ya kuwa na budget kubwa kijeshi?
 
Hakuna Mtu asiewajua Iran mkuu, historia yao ipo kila sehemu ni watu smart ambao miaka na Miaka wamekuwa mstari wa mbele kutengeneza Dunia yetu kama tunavyiijua leo.

Dunia ya leo kuna Nchi kibao zimewekewa Vikwazo na Hazitoboi angalia Zimbabwe, Venezuela, North Korea etc. Ila. Kwa Iran ni tofauti pamoja na kuwekewa Vikwazo jamaa ndio kwanza wanasonga mbele tu.

Iran ya Leo Malls kubwa kabisa Duniani zipo kwao, Wanatengeneza magari yao, wana Silaha zao karibia kila kitu wanajitegemea na wala hutoona wanaenda nchi za watu kutembeza Bakuli.

Bottom line hawa jamaa ni wasafi pengine level kama za wa Japan, ukiona unaenda sehemu mifereji ya maji machafu ni misafi to the point unaweza hata kuhesabu Michanga ujue hio ni peak of civilization na kila mwanadamu ambaye yupo civilized akifika Tehran lazima a dream kuishi sehemu kama hio.

So unaweza ukalinganisha GDP ukaona kama Israel yupo juu, ila Uchumi wa Israel ni feki na mostly unategemea misaada na mashirika ya nje. Proof kubwa Vita vidogo tu na Hamas immediately mwezi ule ule Uchumi ukashuka kwa asilimia 20, nchi yoyote kubwa yenye uchumi imara hili jambo haliwezi tokea, refer Urusi kuelewa.

Pia jambo jengine ambalo wengi hawaangalii wanapocompare nchi za wazungu/west na nchi zetu ni cost of living

Sehemu kama Iran Cost of living ni Around $300 kama laki 7 ama 8 hivi za kitanzania ukiwa nayo unaishi maisha mazuri, utakula vizuri na bata,

Ila Israel kupata same service utahitaji maelfu ya Dola, rent tu sehemu kama tel aviv inaweza fika $1600 kwa studio apartment.
Yeah uchumi wa stocks unachangia pakubwa Israel, ikitokea tu habari flani asubuhi asilimia za kutosha zinashuka.

Israel kuna makampuni mengi ya tech ambayo yapo tayari kwenye mambo ya stocks..

Mi huwa naona stocks ni kama uchumi bandia tu.
 
Wengi hamjui dunia inaelekea wap, ndio maana mnafikiri Israel anamtegemea malekani, unaposema marekani hiyo ndio Israel, maana Israel wanamilik 80% ya economy ya marekani.

Tunapozungumzia Deep state ambao ni mhimiri wa dunia katika uchumi na siasa including Black Rock & Vangard group owners hao n Jewish people.

Tunapozungumzia Taasisi kubwa za security duniani kama CIA etc wamejaa Jewish people wanaocontrol all over the world 🌎.

Wao huamua nani wamuweke madarakani kwa terms zao nani awe tajiri duniani kwa terms zao.

Ntakupa mfano wa eneo la uchumi tu, jiulize nchi zote duniani zinakopa pesa, ukiwa na akilii ya jografia latano B utajibu haraka wanakopa World Bank na IMF, lakini ukijiuliza nyuma ya pazia nani kaweka pesa word bank ukiwa na elimu ya urai dara la 4 B utasema nchi wanachama, lakini jiulize wote wamekopa, mean kuna mtu anaakiba humo hao ni Jewish people.

Wao huamua uchumi wa kila taifa na huburuta kwa wanavyotaka, wakiamua pesa yako wipe thamani au kuishusha hufanya hivyo, hata hao matajiri unaowaona wakubwa duniani wengi wamwekwa kama show off lakini nyuma ya pazia kuna mengi huwez kuyajua.

Report ya economy ya mwaka 2023 hawa jamaa wametengeneza zaidi ya 80% ya profit za biashara zote zilizofanyika duniani mwaka huo.

Hiyo China unayoiona inakuwa kwa kasi kwa ukuaji wa viwanda na Biashara more than 45% ya uwekesaji n people front America 🇺🇸 ambao ndio Jewish.

Nakupa hiyo codes ndogo tu.

Hawa Jamaa wanaregulate nani awe top nan awe behind Ukiisoma Black rock na vanguard group Utaoona jamaa ndio wenye hisa kubwa kwenye Vyombo vikubwa vya habari dunian so wanapromote wanachokitaka, ndio wenye hisa kubwa kwenye makampuni ya dawa kama Johnson & Johson, astrazenica, Shellys so corona was a target waue biashara zingine wamek pesa etc

Juu utaona makampuni kama Microsoft, dell, Facebook, Apple, X, Coca cola, google etc but elewa hizi kampuni mbili ndio zinamilik hisa kwenye haya makampuni yote na wako kimya nyuma na hawapigi kelele wakiamua kesho bill gate awe kwenye headline au erone musk wanaamua tu.

Hata matajiri wako unaowaona katika nchi yako wote huchukua bust huko ili wawe nguli katika biashara kwa jina la mkopo but mean while wanawafanyia kazi hao jamaa na kuchukua vipasent kama wachuruzi.
Usidanganye watu Wacha uongo wewe.
Tena hapo kwa China NDIO uongo mkubwa.
China uchumi wao Na uwekezaji wao ni state based economy.
Na hayo mambo ya deep state ni conspiracy tu.
Ingelikua hivyo USA isingekua inasitisha misaada ya silaha Israel Bali ingekuwa inapeleka misaada kila Leo.
 
Marekani iliwahi Ku exist Na kuwa superior kipindi ambacho hata Israel haijulikani kama itakua nchi.
Kwa auelewa wako Taifa la USA tena la juzi tu ni kongwe kuliko Israel 😀😀😀😀
 
Israel haikuwahi ku exist kama Taifa.
Bali kama asili ya Wana Israeli.
Kwa upeo wa akili zako unaposikia au kusoma mtu anaitwa mfalme Suleiman, au Daudi and Sauli hawa walikuwa wakiongoza nini kama sio taifa la Israel?
 
Israel imetengenezwa, hio Israel ilikuwa wapi? hizi story ni sawa na wangoni wa Tanzania waanze kudai kieneo chao kilichopo South Africa kwa kudai waliishi pale.
Kwa upeo wa akili zako unaposikia au kusoma mtu anaitwa mfalme Suleiman, au Daudi and Sauli hawa walikuwa wakiongoza nini kama sio taifa la Israel?
 
Kwa upeo wa akili zako unaposikia au kusoma mtu anaitwa mfalme Suleiman, au Daudi and Sauli hawa walikuwa wakiongoza nini kama sio taifa la Israel?
Ndio maana nakuambia hizo ni story na zibaki story za kale.
Hii mipaka mfano Tanganyika, iliwekwa na wakoloni wakiwa wananyang'anyana ulaji, huyu akasema hapa kwangu yule kasema hapa kwangu.
Na hii kutenganishwa ilileta migogoro katika jamii, kutenganisha makabila ya jamii moja na athari zingine, mfano wamasai wakatokea wa Kenya na Tanzania hali ya kuwa ni jamii moja.
Utasikia huyu mjaluo wa Kenya huyu wa Tanzania.

Kabla ya hii Tanzania kugawanywa mipaka ilikuwa na tawala huru za kijamii na kifalme.
Ni sawa leo wamasai wa Kenya waje wapambane na waTanzania kudai babu zao waliishi pale na lile ni eneo lao, au mfano mzuri wangoni wa Tanzania warudi South Africa kuanzisha vita kudai walikuwa na haki katika kupewa ardhi South Africa.

Israel inaleta upuuzi wa tawala za kifalme ambazo hata Tanzania zilikuwepo na tukisema kila mmoja aanze kuhamia alipokuwepo hapatatosha, ni sawa leo wanyamwezi waanze kupambana na kabila zingine Tabora wakidai babu yao Mirambo aliongoza eneo lile.

Ni hoja za kipuuzi na zilizopitwa na wakati.

Hata USA ilikuwa ni ya red indians, je ni sawa leo red indians, je US itakubali leo kuondoka red indians wakisema pale ni kwao?
 
H
Vikwazo sio kisingizio, kwa nini Iran naye asiwekee watu vikwazo kama yeye alivyowekewa.
apa mnabishana na shoga haelewi what goes around mtu unamwelimilisha kuhusu embargo anakwambia sio tatizo hapa hamna mtu
 
Wengi hamjui dunia inaelekea wap, ndio maana mnafikiri Israel anamtegemea malekani, unaposema marekani hiyo ndio Israel, maana Israel wanamilik 80% ya economy ya marekani.

Tunapozungumzia Deep state ambao ni mhimiri wa dunia katika uchumi na siasa including Black Rock & Vangard group owners hao n Jewish people.

Tunapozungumzia Taasisi kubwa za security duniani kama CIA etc wamejaa Jewish people wanaocontrol all over the world 🌎.

Wao huamua nani wamuweke madarakani kwa terms zao nani awe tajiri duniani kwa terms zao.

Ntakupa mfano wa eneo la uchumi tu, jiulize nchi zote duniani zinakopa pesa, ukiwa na akilii ya jografia latano B utajibu haraka wanakopa World Bank na IMF, lakini ukijiuliza nyuma ya pazia nani kaweka pesa word bank ukiwa na elimu ya urai dara la 4 B utasema nchi wanachama, lakini jiulize wote wamekopa, mean kuna mtu anaakiba humo hao ni Jewish people.

Wao huamua uchumi wa kila taifa na huburuta kwa wanavyotaka, wakiamua pesa yako wipe thamani au kuishusha hufanya hivyo, hata hao matajiri unaowaona wakubwa duniani wengi wamwekwa kama show off lakini nyuma ya pazia kuna mengi huwez kuyajua.

Report ya economy ya mwaka 2023 hawa jamaa wametengeneza zaidi ya 80% ya profit za biashara zote zilizofanyika duniani mwaka huo.

Hiyo China unayoiona inakuwa kwa kasi kwa ukuaji wa viwanda na Biashara more than 45% ya uwekesaji n people front America 🇺🇸 ambao ndio Jewish.

Nakupa hiyo codes ndogo tu.

Hawa Jamaa wanaregulate nani awe top nan awe behind Ukiisoma Black rock na vanguard group Utaoona jamaa ndio wenye hisa kubwa kwenye Vyombo vikubwa vya habari dunian so wanapromote wanachokitaka, ndio wenye hisa kubwa kwenye makampuni ya dawa kama Johnson & Johson, astrazenica, Shellys so corona was a target waue biashara zingine wamek pesa etc

Juu utaona makampuni kama Microsoft, dell, Facebook, Apple, X, Coca cola, google etc but elewa hizi kampuni mbili ndio zinamilik hisa kwenye haya makampuni yote na wako kimya nyuma na hawapigi kelele wakiamua kesho bill gate awe kwenye headline au erone musk wanaamua tu.

Hata matajiri wako unaowaona katika nchi yako wote huchukua bust huko ili wawe nguli katika biashara kwa jina la mkopo but mean while wanawafanyia kazi hao jamaa na kuchukua vipasent kama wachuruzi.
Kama kawa, mbongo amefika na taarifa nyeti za deep state na mazagazaga mengine
 
Kwa upeo wa akili zako unaposikia au kusoma mtu anaitwa mfalme Suleiman, au Daudi and Sauli hawa walikuwa wakiongoza nini kama sio taifa la Israel?
Embu kasome tena kama Kuna taifa liliwahi kuwepo likiitwa Israel.
Mie kwa Mujibu wa Qur'an nafaham Sulayman alitawala Falestine
 
Heri umekiri wazi peupee rejea yako ni Qur'an na ndiyo maana kamwe hujawahi ielewa Israel. Hamna rejea yoyote ya maana kuhusu Israel inayopatikana kwenye Qur'an zaidi ya uwongo.
 
Hizo ni fikra zako.
Tukija hata kihistoria HAKUKUWAHI KUWA NA TAIFA AMA TAWALA YA ISRAEL.
Endelea kukaza fuvu.
 
Pamoja na hayo bado pongezi kwa hao wa Ajemi. Na vikwazo vyoote wanavyopitia lakini bado wanapambana kulijenga taifa Lao.
Jaribu kufikiri nje ya vikwazo jamaa wangekuwa wapi leo
 
Hizo ni fikra zako.
Tukija hata kihistoria HAKUKUWAHI KUWA NA TAIFA AMA TAWALA YA ISRAEL.
Endelea kukaza fuvu.
Endelea kuamini Qur'an ya mudi ambaye hakuwa anajua kusoma wala kuandika na bado ana wafuasi kama wewe ambao mnaamini hizo longolongo zake.
 
Wengi hamjui dunia inaelekea wap, ndio maana mnafikiri Israel anamtegemea malekani, unaposema marekani hiyo ndio Israel, maana Israel wanamilik 80% ya economy ya marekani.

Tunapozungumzia Deep state ambao ni mhimiri wa dunia katika uchumi na siasa including Black Rock & Vangard group owners hao n Jewish people.

Tunapozungumzia Taasisi kubwa za security duniani kama CIA etc wamejaa Jewish people wanaocontrol all over the world 🌎.

Wao huamua nani wamuweke madarakani kwa terms zao nani awe tajiri duniani kwa terms zao.

Ntakupa mfano wa eneo la uchumi tu, jiulize nchi zote duniani zinakopa pesa, ukiwa na akilii ya jografia latano B utajibu haraka wanakopa World Bank na IMF, lakini ukijiuliza nyuma ya pazia nani kaweka pesa word bank ukiwa na elimu ya urai dara la 4 B utasema nchi wanachama, lakini jiulize wote wamekopa, mean kuna mtu anaakiba humo hao ni Jewish people.

Wao huamua uchumi wa kila taifa na huburuta kwa wanavyotaka, wakiamua pesa yako wipe thamani au kuishusha hufanya hivyo, hata hao matajiri unaowaona wakubwa duniani wengi wamwekwa kama show off lakini nyuma ya pazia kuna mengi huwez kuyajua.

Report ya economy ya mwaka 2023 hawa jamaa wametengeneza zaidi ya 80% ya profit za biashara zote zilizofanyika duniani mwaka huo.

Hiyo China unayoiona inakuwa kwa kasi kwa ukuaji wa viwanda na Biashara more than 45% ya uwekesaji n people front America 🇺🇸 ambao ndio Jewish.

Nakupa hiyo codes ndogo tu.

Hawa Jamaa wanaregulate nani awe top nan awe behind Ukiisoma Black rock na vanguard group Utaoona jamaa ndio wenye hisa kubwa kwenye Vyombo vikubwa vya habari dunian so wanapromote wanachokitaka, ndio wenye hisa kubwa kwenye makampuni ya dawa kama Johnson & Johson, astrazenica, Shellys so corona was a target waue biashara zingine wamek pesa etc

Juu utaona makampuni kama Microsoft, dell, Facebook, Apple, X, Coca cola, google etc but elewa hizi kampuni mbili ndio zinamilik hisa kwenye haya makampuni yote na wako kimya nyuma na hawapigi kelele wakiamua kesho bill gate awe kwenye headline au erone musk wanaamua tu.

Hata matajiri wako unaowaona katika nchi yako wote huchukua bust huko ili wawe nguli katika biashara kwa jina la mkopo but mean while wanawafanyia kazi hao jamaa na kuchukua vipasent kama wachuruzi.
Khaa mbumbu mbu wengi sana. Brainwashed
 
Back
Top Bottom