@TheOnly,umeondoka kapa kwasababu you dont think critically.connection ni kuwa naweza kuweka data za israel,canada,oman etc,lakini siwezi weka data za nchi yangu,
huyo @theOnly atakuwa hajui ndo maana anasema bora ningeweka takwimu za Tanzania,eti nilizoweka hazina impact kwake,vilevile hajui hii ni international section ya hii forum