Israel to Help Zanzibar

MaxShimba

JF-Expert Member
Apr 11, 2008
35,772
4,054
Zanzibar - ZANZIBAR and Israel have agreed to constitute working groups to further promote agricultural cooperation.

The agreement was reached when Zanzibar Second Vice-President, Ambassador Seif Ali Iddi and Israel Minister of Agriculture and Rural Development, Ms Orit Noked held a meeting in Jerusalem.

According to a press release from Israel, where Ambassador Seif is on a three-day visit, experts in livestock keeping from Israel will be sent to Zanzibar at the end of this month (May) to train farmers on modern methods to improve productivity.

While discussing various issues with the Israeli Minister, Ambassador Seif sought modern farming and technology from Israel and asked for extended co-operation.

The Zanzibar vice-president thanked Israel for the offer to train Zanzibar livestock keepers, and invited Israel to invest in the Islands. "We are proud of our modern farming methods, and we are ready to share with developing countries," said Ms Noked, noting that her country has been leading in competitive agricultural exhibitions involving many countries.

Source: http://allafrica.com/stories/201205090062.html

Injili ndio hiyooooo

Mkuu wayahudi hawasambazi injili. Dini yao ni ya kiyahudi, muisraeli ambaye mkiristo sio myahudi kwakuwa ni dini tofauti. Ukija kwenye suala la teknolojia za kilimo jamaa wako juu sana hasahasa teknolojia ya kilimo cha umwagiliaji. Naamini kama shein atashirikiana nao vizuri na kuadopt teknolojia yao watapiga hatua sana. Kwanza hawa jamaa ni research oriented na wachapa kazi.
 
Kamatulivyo ongea jana kwenye simu kwamba kuna vitu mimi nauza, nataka kama unaweza kutafuta wateja, kwasababu mnauzoefu kwakazi hiyo.

I. Mimi nauza kamtambo kakuwoshea MADINI YA VITO, kamtambo haka kanavutw na Gari, lakini kwasasa nimetoa mataili nimaweka dani kuofia waizi, kanawosha aina yote Madini ya Vito, nimekutumia na picha zake, unaweza kuzitoa ili zikusaidia kupata wateja. Mimi nili nunua SOUTH AFRICA million 35. lakini mimi nauza million 15, nina madeni.
II. Kitu chapili nauza ni JCB, yenyewe yinatatizo kidogo yinatebea kwenda nyuma tu, jino moja yabele kwenye gear box yime meguka, mnaweza kupata DAR hukoko, mimi mwaka jana niliuliza mtu moja huko huko aliniabia LAKI 5, lakini hakuniletea PAKA LEO
PICHA ya jino hilo nimekutumia na PICHA ya JCB, NAYIUZA JCB million 18.

111. PICHA zote nimeabatisha unaweza kuzi download kama unaona zikusaidie.

Kazi njema
Edward/ 0765 183323
Shinyanga
 
Attachments

  • DSC00821.JPG
    DSC00821.JPG
    47.7 KB · Views: 33
  • DSC00827.JPG
    DSC00827.JPG
    33.6 KB · Views: 32
  • DSC00334.JPG
    DSC00334.JPG
    262.5 KB · Views: 35
  • DSC00333.JPG
    DSC00333.JPG
    289.6 KB · Views: 31
  • DSC00331.JPG
    DSC00331.JPG
    248.4 KB · Views: 35
Ogopa njaa bwana! watu wanapenda ubwabwa lakini hawawezi kuulima. Ngoja tusikie wana Uamsho katika hili, kama hawajatuambia Jews ni maswahiba wao katika imani
 
Mkuu, tatizo mnaishi dunia nyingine, mimi ni Mjew na ninasambaza Injili

Shalom Moshe Schneider mbona unatuchanganya bwana, kweli wewe ni Mjew na Yesu alikuwa Mjew mwenzako- swali ni: hivi kweli mlikuwa mnamwamini kama yeye ni mwana wa Mungu, kama ni kweli kwa nini mlimpa adhabu ya kusulubiwa msarabani na adhabu hiyo mlimpa nyinyi, Serikali ya Kirumi haikihusika na hilo. Hebu tutolee ufafanuzi.
 
We Jews don't live in the past as you want us to be. If you think it is necessary to judge we Jews by our past, don't get mad when we put you there. That is why today we are helping that islamic state of Zanzibar.

Kuhusu Yesu, Yeye ni Mungu na tunaamini hivyo. Soma Biblia utalelewa kwanini Yesu ilibidi afe, na hiyo ndio raha yetu sisi Wakristu.

sasa wale waliompigilia misumari na kumuua ni kina nani..?! je we ni mmoja wao ! au ni jew wa aina gani wewe

Wewe bado upo kule kwenye past!!! Mimi siishi in the past. Mimi ni Jew ambaye amempokea Yesu Mungu. Yesu wetu ambaye ni Mungu ndie anatoa misaada Zanzibar, upo hapo.
 
We Jews don't live in the past as you want us to be. If you think it is necessary to judge we Jews by our past, don't get mad when we put you there. That is why today we are helping that islamic state of Zanzibar.

Kuhusu Yesu, Yeye ni Mungu na tunaamini hivyo. Soma Biblia utalelewa kwanini Yesu ilibidi afe, na hiyo ndio raha yetu sisi Wakristu.

Eh, just a second! - straight queries deserves straight answers - how do you mean "putting me there?" Just be civil and answer questions raised by members - we thought a real JEW should have a plausable explanation to quench our curiosity, the question is: Has Synagogues and Judaism have anything to do with Jesus Christ, please remember these questions have no bearing of Israel and Palestine conflict kwa sababu nimeona unazungumzia mambo ya Zanzibar kwa kuwa wengi wao ni Waislaam! Sisi hatuko katika mambo hayo - kama unaona vigumu kutufahamisha vizuri basi tupe mtu ambaye yuko willing kutujuza bila kuwa na kinyongo.
 
sasa wale waliompigilia misumari na kumuua ni kina nani..?! je we ni mmoja wao ! au ni jew wa aina gani wewe

Mkuu hiyo ndio burning question ambayo naona jamaa hataki kuhijibu kikamilifu - nashindwa kuelewa tatizo ni nini!
 
Jews ni wataalamu wa kupambana na ugaidi.na iyo ndio style ya kuingia zenji.habari ndio hiyo
 
Eh, just a second! - straight queries deserves straight answers - how do you mean "putting me there?" Just be civil and answer questions raised by members - we thought a real JEW should have a plausable explanation to quench our curiosity, the question is: Has Synagogues and Judaism have anything to do with Jesus Christ, please remember these questions have no bearing of Israel and Palestine conflict kwa sababu nimeona unazungumzia mambo ya Zanzibar kwa kuwa wengi wao ni Waislaam! Sisi hatuko katika mambo hayo - kama unaona vigumu kutufahamisha vizuri basi tupe mtu ambaye yuko willing kutujuza bila kuwa na kinyongo.

Wayahudi ni taifa ambalo ni la kiimani kama lilivyo la kisiasa...historia yao inaanzia kwa Ibrahimu kupitia Isaka hadi vizazi vya leo...kupitia old testament Isaya na manabii wengine waliwatabiria kuwa Mungu atamtuma Masihi aje duniani kwa ajili ya kulikomboa taifa lao,kwa mujibu wao imani ya kiyahudi Masihi bado hajaja na bado wanamsubiri hadi sasa..kwao agano jipya kuhusu kuja kwa masihi ambaye ni Yesu Kristu hawakuamini wala kumpokea kama Mwokozi aliyetumwa hawakuamini kuwa yeye ndiye na ndio maana walishirikiana na dola ya kirumi kumuua..hadi sasa bado wanaifuata maelekezo ya agano la kale nukta kwa nukta..walioenda israeli watakubaliana nami...ni taifa la kipekee kwa kuwa ndilo taifa pekee duniani ambalo limetokana na imani ...so kuna wayahudi ambao wanaamini kuwa Yesu ndio masihi aliyetumwa kuja duniani ndio hao Christian Jews na wengine ambao hawaamini na wanamusubiri Masihi...
 
Synagogue is a Jewish or Samaritan house of prayer while Judaism is the religion and/or philosophy and way of life of Jewish people. Jesus Christ who is a Messiah and God came for Jews and their way of life, furthermore, He came for you and died for the entire man kind.

As a Jew, I now understand Isaiah's prophecy when he prophesied about Jesus Christ. I am a Jew 4 Christ.
 
Jews ni wataalamu wa kupambana na ugaidi.na iyo ndio style ya kuingia zenji.habari ndio hiyo

Hilo sipingani nalo hata kidogo, lakini siku hizi mumehanza kujisahau kidogo; mrudisheni Erud Baraka awanoe kidogo - jamaa huyu yuko cool headed sana tofauti kabisa na a hawkish Bibi (Netanyau). Bila Erud kuwa kwenye cabinet saa hizi Bibi angelikwisha ripua IRAN bila kujali dire consequences inherent there from. Mwambie Bibi hawe anatumia busara zaidi kuliko mabavu - amuhige mwenzake Erud Barak amabaye amewahi kuwa commander wa Bibi kwenye kikosi cha commando enzi za ujana WAO.
 
Synagogue is a Jewish or Samaritan house of prayer while Judaism is the religion and/or philosophy and way of life of Jewish people. Jesus Christ who is a Messiah and God came for Jews and their way of life, furthermore, He came for you and died for the entire man kind.

As a Jew, I now understand Isaiah's prophecy when he prophesied about Jesus Christ. I am a Jew 4 Christ.

Splendid indeed, now u're talking-by the way 'am a Christian my name is "Amos" - a Jewish name of course, but 'am an African not from Ethiopia of course.
 
Wayahudi ni taifa ambalo ni la kiimani kama lilivyo la kisiasa...historia yao inaanzia kwa Ibrahimu kupitia Isaka hadi vizazi vya leo...kupitia old testament Isaya na manabii wengine waliwatabiria kuwa Mungu atamtuma Masihi aje duniani kwa ajili ya kulikomboa taifa lao,kwa mujibu wao imani ya kiyahudi Masihi bado hajaja na bado wanamsubiri hadi sasa..kwao agano jipya kuhusu kuja kwa masihi ambaye ni Yesu Kristu hawakuamini wala kumpokea kama Mwokozi aliyetumwa hawakuamini kuwa yeye ndiye na ndio maana walishirikiana na dola ya kirumi kumuua..hadi sasa bado wanaifuata maelekezo ya agano la kale nukta kwa nukta..walioenda israeli watakubaliana nami...ni taifa la kipekee kwa kuwa ndilo taifa pekee duniani ambalo limetokana na imani ...so kuna wayahudi ambao wanaamini kuwa Yesu ndio masihi aliyetumwa kuja duniani ndio hao Christian Jews na wengine ambao hawaamini na wanamusubiri Masihi...

Asante sana kwa mchango wako, mimi wakati wote nilkuwa nafikili MaJEWS wote wanafuata dini yao ya kale ambayo haimtabuhi Yesu kam ndiye Masihia; sasa Schneider alipo sema ni christian Jew alinichanganya SANA. Kwa sasa hivi nimehelewa - mimi nina biblia nyumbani lakini sihisomi sana, haya mambo yako wapi - Agano la KALE?
 
Synagogue is a Jewish or Samaritan house of prayer while Judaism is the religion and/or philosophy and way of life of Jewish people. Jesus Christ who is a Messiah and God came for Jews and their way of life, furthermore, He came for you and died for the entire man kind.

As a Jew, I now understand Isaiah's prophecy when he prophesied about Jesus Christ. I am a Jew 4 Christ.

Mungu wabariki Jews
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom