Rumishaeli
JF-Expert Member
- Nov 1, 2010
- 227
- 73
Wacha walie tu Iran wako mbali sana, kila siku Israel kelele tu na dunia nzima imieisha jua hana kitu...Angalia Iran anavyo piga hatua.wangetest wengine ungesikia UN inatoa vikwazo vya kiuchum ,kisiasa etc
Wacha walie tu Iran wako mbali sana, kila siku Israel kelele tu na dunia nzima imieisha jua hana kitu...Angalia Iran anavyo piga hatua.
[video=youtube;b68xF1p77WA]http://www.youtube.com/watch?v=b68xF1p77WA&feature=re lated[/video
Namezipenda hizo point za kula ugali ni lale, na tutakosa sehemu ya kuwazika Iran....Hakuna anaye kataa US ni super power, lakini we kalia na hizo views zako kama Hajapitwa na china very soon.Ww huijui US .... kula ugali ulale..... some stuffs U WILL THINK MAGIC .... but science & intelligence at its best...!!
Ww shangilia tu.... utakosa a place kuwazika Iranians....
Ciao..... I am out...!!
Namezipenda hizo point za kula ugali ni lale, na tutakosa sehemu ya kuwazika Iran....Hakuna anaye kataa US ni super power, lakini we kalia na hizo views zako kama Hajapitwa na china very soon.
Hapo naona umesahau anadaiwa ngapi, mwenye nguvu hadaiwi na bado we bakia umeshikilia history, Usisahau hata Romney aliambiwa na Obama we have fewer horses and bayonets, hizo old stock hazitasaidia kitu mana kutengeneza new weapon u need money na America kisha anguka vibaya sana.Fazaa..... heee...!!!
still--- still--- u didn't know U.S. A ....
China bado saaana na HAIWEZI KUIPITA U. S. A hizii ni day dream tu.....or if is night then it's nightmare...
Angalia hii....
1:::>>> Two months ago China ndii imenunua MELI YA KIVITA.... MOJA..... YA KUTUA NDEGE FROM USA... wajua USA WANAZO NGAPI na Wanatengeneza ngapi now kwa jeshi lao..!!? Go & search i give u this homework kidogo....
2::::: THE GDP OF THREE STATES OF CALIFORNIA, TEXAS & NEW YORK ===== CHINA GDP...
Usishangae ingia KTK MTANDAO UJIONEE NA SEARCH WORLD GDP ..... this is amazing.... Just kwa states 3 tu...
Hapa nakuonyesha tu.... Usiguse SPACE.... huko ndio kuna kitu kinaitwa NASA.... U CAN'T imagine buddy..!!
I got my flying skills in US... Fazaa tulia soma...
Ciao....!!
Hey....!!!!
U must be kidding, joking or u have unknown spiritual interest toward Iran....
Just to hint u who ur blinding & lying urself for what u don't know to make u happy or just to be heard....!!
Look...!!!
1: Mosad... # 1 world killing machine & # 1 world. super intelligence killed 4 Iranian nukes Professors INSIDE TEHRAN using motor cycles, magnetic bombs to attach to cars ya walengwa na Iran wasijue cha kufanya & still Mosad operate inside Tehran wameshindwa kuwadhibiti............................
Lakini wengine wangefanya hivyo wangeitwa magaidi na sababu ya kuwawekea vikwazo na kuanza kuua watu ovyo ingepatikana.
Fazaa..... heee...!!!
still--- still--- u didn't know U.S. A ....
China bado saaana na HAIWEZI KUIPITA U. S. A hizii ni day dream tu.....or if is night then it's nightmare...
Angalia hii....
1:::>>> Two months ago China ndii imenunua MELI YA KIVITA.... MOJA..... YA KUTUA NDEGE FROM USA... wajua USA WANAZO NGAPI na Wanatengeneza ngapi now kwa jeshi lao..!!? Go & search i give u this homework kidogo....
2::::: THE GDP OF THREE STATES OF CALIFORNIA, TEXAS & NEW YORK ===== CHINA GDP...
Usishangae ingia KTK MTANDAO UJIONEE NA SEARCH WORLD GDP ..... this is amazing.... Just kwa states 3 tu...
Hapa nakuonyesha tu.... Usiguse SPACE.... huko ndio kuna kitu kinaitwa NASA.... U CAN'T imagine buddy..!!
I got my flying skills in US... Fazaa tulia soma...
Ciao....!!
Hapo naona umesahau anadaiwa ngapi, mwenye nguvu hadaiwi na bado we bakia umeshikilia history, Usisahau hata Romney aliambiwa na Obama we have fewer horses and bayonets, hizo old stock hazitasaidia kitu mana kutengeneza new weapon u need money na America kisha anguka vibaya sana.
Nasema does Israel have the balls to occupy an inch of land in South Lebanon, hebu mwache ajaribu :biggrin1:
We acha propoganda zako Israel target gani alizo select zaidi ya kupiga majumba, na ku uwa watoto wachanga na wazee ambao walikuwa kwenye majumba yao, wala hawako vitani.ni ngumu sana ku-counter crude rocket ambalo halina target, halipo computerized, linarushwa tu likatue popote, yaani akili wanayotumia kuyarusha haya ma-katyusha ni kuyataftia direction,,, ila israel nae angeamua arushe tu missiles zake popote tu anapotaka ndani ya palestine ungeskia madhara yake,,,
Ndio maana zimerushwa katyusha 1500 zimeua watano tu,,, when it comes to real haya maroketi hayawezi kumpa enemy damage kubwa...,
Kuhusu iron dome, my understanding ni kwamba ipo selective, kwanza inadetect speed ya roketi linalokuja, pili computer zinatoa location ambapo litatua, ikionekana inaenda kutua jangwani huko ambapo hamna makazi basi counter missile haiwi launched (economy of effort,one of principles of war) ila kama roketi linaenda kutua kwny populated area counter missile zinafyatuka automatically kwenda kulishusha roketi lile..., ndio maana ingawa roketi nyingi zilipita lakn hazikua na madhara
Hahaha walikimbia wengine mpaa walitoka na chupi tu, silaha na mavazi yao ya kijeshi waliyawacha lebanon.Hawa majamaa mbona waliipata pata walipikua wakijifanya wababe, saiv israel ametuliza kitenesi chake!
Hapo naona umesahau anadaiwa ngapi, mwenye nguvu hadaiwi na bado we bakia umeshikilia history, Usisahau hata Romney aliambiwa na Obama we have fewer horses and bayonets, hizo old stock hazitasaidia kitu mana kutengeneza new weapon u need money na America kisha anguka vibaya sana.
Fazaa .... i am Mr. President not by lucky, chance or by being appointed by smbody....
is by Brainy head i possess & top cream analyst of truth & let u know many ambigious cases u never had of or unknown
to others....& competent flying scientist too....
here we go ABOUT U.S.A National debt.... ili uelewe utulie..... ujifunze as well...
US National debt stands at $ 16 trillion......... $ 16,000,000,000,000.....
Fully two-thirds of US National debt is owed to US government, American Investors & future retirees, through Social Security Trust Fund....and pension plans for civil service workers & military personnel....
China holds less than 8% of US national debt borrowed over the years, hivyo kama ulizania China anadai fedha nyingi ulikuwa hujui ndio maana nakueleza know well stuffs.....
Breaking down for you.....
1. Federal Reserve & Intragovernmental Holdings......$ 6.328 trillion
2. China .... $ 1.132 trillion
3. Other Investors/ savings Bonds.....$ 1.107 trillion....i.e USA investors......
4. Japan..... $ 1.038 trillion
5. Pension Funds... $ 842.2 billion... USA sio NSSF, au PSPF au PPF au LAPF...ur too myopic Fazaa...
6. Mutual Funds....$ 653.5 billion
7. State & Local Government ...$ 484.4 billion......sio TAMISEMI ok Fazaa
8. The UK..... $ 429.4 billion
9. Depository Institutions.....$ 284.5 billion....USA
10. Insurance Companies ..... $ 250.1 billion... USA
What did u learn here Fazaa..?.....??
Hivyo basi madeni yoote say up to 85% ya US National Debt inadaiwa na USA yenyewe inaidai Serikali....
yaani ni Wamarekani na makapuni makubwa na Federal Reserve na Social Funds mbalimabali ilikopesha serikali....
mfano hapa kwetu Tz serikali huikopa NSSF, PPF LAPF kufanya shughuli mbalimbali za maendeleo na wanalipa kwa riba nzuri baadae....BUT STILL NSSF, PPF, LAPF, PSPF ni Institutions za serikali.....sasa US kuna Federal Reserve iliikopesha serikali hela hizo hapo juu so ni SERIKALI KWA SERIKALI WANADAIANA.....yaani left hand to right hand.....
i hope umeelewa kidogo, Fazaa try to know THE TRUTH of stuffs u will be the best outstanding person in this competent world....
USHABIKI ni kitu kingine, UKWELI ni kitu kingine.....
Na leo let me hint YOU THIS coz i am super guy...
UKIONA WANAVYUO AU WANAFUNZI WANAFELI.....HAWAJAJUA UKWELI WA SOMO HUSIKA....
so ww na wengine wengi sana hapa mnajua China ndio anaidai US THE MOST DEBT..... U failed...:shut-mouth::sleepy::sleepy::sleepy::sleepy:
... Have a GREAT DAY....
Ahahahaha yani wewe umenifanya nicheke sana the way unavoandika! Yani unaifagilia USA utafikiri kitu gani! Ulisahau kama urefu wa pua sio wingi wa mafua? Wanahangaishwa na Cuba tu pale ka nchi ndogo! Ndugu yangu kuna North Korea ka nchi ndogo tu! Labda nikuulize tu, let say north korea amedrop bombs new york city, nambie kiasi cha damage atakachoipa USA? Narejea tena, urefu wa pua si wingi wa mafua!!!! Ifagilie sanaaaa iyo USA! Lakini it can be defeated. With Putin in power, kashasema ataelekeza budget yake katika kukuza jeshi lake!! Teh teh teh!!!
Oh and btw mfagiliaji wa USA, history teaches us that there has been power shift, seems like this time the power is shifting to the EAST sloooowly sloooowly!!
We acha propoganda zako Israel target gani alizo select zaidi ya kupiga majumba, na ku uwa watoto wachanga na wazee ambao walikuwa kwenye majumba yao, wala hawako vitani.
Afu mimi nashangaa sana nyie wakristo wa kiafrika hivi hamjui Israel is Majorly for Judaism and Islam, If you think I am lying, prove me wrong, ni vigumu sana kuona kanisa Israel kwenye public places, mostly Masjid and Synagogues...Hata lugha inayo tumika kule ni Kiyahudi afu Kiarabu ndo kinakuja kizungu.
And BTW u should also know that, many palestinians are christians sio wa Islam, sa we unacho mshangilia myahudi ku-uwa warabu...Myahudi una uhusiana naye vipi?
Acheni kuwa wajinga Isarel ambao kwa sasa asili yao ni Marekani+Europe siku zote anawadhalilisheni nyie wafrika kama watumwa tu kwake, ndo mana akisha ona vita anaenda wazoa wahabeshi wa Ethopia sababu anajua wale ndo mayahudi orignal ili awamalize.
Si biora hata mwarabu na myahudi wanakaribiana ki damu, kuliko mwafrika na myahudi...kasomeni history sio mnavamia tu mnayo danganywa.