Israel ready to help TZ in gas


Njiwa, hawa watu wa sasa wanawachukuliaje waisrael? Ungelijua????!!!
 

Hapo penye red mbona sijawasikia wakitamka juu ya kutusaidia ktk hili?
 
"Atakayekubariki nitambariki,atakayekulaani nitamlaan.'' ndivyo biblia inavyosema juu ya taifa la israel,
Nakumbuka rais wetu aliwahi kusema ''na mimi sijui kwa nini watanzania ni maskini''
Huenda hapo ndipo tulipojikwaa tulipokataa kuwa na ubalozi wa israel nchini lkn tunawaita waje kwenye maadhimisho ya yale waliyotusaidia kuyaanzisha.
Tunaweza kujitafakari,kuzingatia ushauri alioutoa balozi wa israel.
Ni israel ilitusaidia kuanzisha JKT,siyo TZ iliisaidia israel kuanzisha JKT.
Ni kawaida aliyesaidiwa kuendelea kusaidiwa,lakini aliyesaidia ikiomba msaada wa kusaidiwa
hapo ndipo tunapomjadili maana huenda anaomba kwa sababu ameishiwa.
Israel wametupa ushauri ni juu yetu kuufuata au kuacha ili tuendelee kunyonywa.
 
Kwani adui yako akikupa akili ya maendeleo utakataa? Kwamba Israel wanatesa Wapalestina hii hainisaidii kitu, haiondoi umaskini wa kwetu. Interests kwanza mambo mengine baadaye.
 
Kweli mkuu af walichoma makanisa mbagala na wakampiga risasi padri kule zanzibar.
 
Kwani adui yako akikupa akili ya maendeleo utakataa? Kwamba Israel wanatesa Wapalestina hii hainisaidii kitu, haiondoi umaskini wa kwetu. Interests kwanza mambo mengine baadaye.

Hii mambo ya Maisraeli kutesa Wapalesti na iko ki-propaganda zaidi

Haya mambo ni ya kijinga hakuna ushahidi wa haya kila mtu anaandika lake kwenye mitandao!!!!!!
 
Mkuu kwani miaka ya 400+AD Arabuni kulikuwa na slaves wa kiswahili (Blacks)? I'm just curious!!

Mheshimiwa, ni kwa kuwa historia tunayofundishwa kwetu bongo na nchi nyingi za Uarabuni vitu vingi vinafunikwa. Biashara ya utumwa huko Arabia ilianza zamani na utajiri mkubwa wa wafanyabiashara wa enzi hizo huko Arabia ulikuwa ni wa umiliki wa blacks kwa wingi kwani jua enzi hizo hiyo Suez canal haikuwepo so Africa na bara Asia, au tuseme mashariki ya kati zilikuwa zimeungana kwa ardhi ya nchi kavu, na ndo zile caravan zilikuwa zinakuja afrika hasa upande wa afrika ya Magharibi na kaskazini kuchota watumwa. Jua Wazungu kutoka Ulaya walikuwa hawana knowledge yoyote kuhusu Africa kwenye hiyo miaka ya 1000AD kurudi nyuma!
Kwa kuwa unajua kusoma, jitahidi kusoma vitabu vingi vya historia, sio vya aina moja tu, na kuwa makini na vitabu vinavyoandikwa na jamaa kutoka mashariki ya kati, huwa wanafunika sana ukweli! Kwa mfano katika tembea yangu nilikwenda kwenye museum moja iliyoko Amman, Jordan ambako nilikuta kuna kitengo kinaelezea historia ya zamani ya Mashariki ya kati (history of all ancient people of the region), ikielezea kuhusu watu wa mashariki yakati lakini utagundua kitu kimoja. Hakuna chochote kuhusu wafalme na manabii wa Israel ya zamani. Kuna sehemu tatu ambazo baadaye utapata Israel imetajwa na huko ni mabaya tu...

Halafu jua kwamba hili neno Palestine ya leo halikuwepo hapo kwenye miaka ya BC na wakati wa Kristo (CE), lilikuja kuanzishwa na Roman Empire walipoliteka eneo hilo kuwaweka mayahudi chini ya utawala wa kirumi kwenye miaka ya 300 AD kwa lengo la kuwadhalilisha Mayahudi. Wakati wa Yesu eneo hilo lilijulikana kwa jina la Judea, na hakuna mention yoyote kuhusu Palestine!

Na kwenye vitabu vya shule na vyuo vya huko Palestine vinaelezea kuja kwa Warumi na hatimaye vinaruka hadi karne za uislamu kuja eneo hilo. So ukiangalia kwa undani utakuta kuna lots of complexities katika kuelezea historia halisi.
 

There you are. You did it.
 
Hapo mwanzo walikuwa wapi? Tumeshachimba ndio wanajipendekeza? Mimi namwamini zaidi Mchina
Huyo Mchina uliyemuamini hadi leo hii hatuoni tulichopata zaidi bei kuongezeka utadhania tunaagiza Korea Kusini
 
Hii ni indirect Business proposal , kujiona wao ni muhimu hawaleti proposal wao kwanza either kwa kiburi , au mtego kwamba msije mkakataa masharti yao kwakua nyie ndio wenye shida mliowafata kuwaomba. Kwa maoni yangu hii ni dharau kwa kiasi fulani , kwamba wameshindwa kuweka wazi kuwa wanataka kufanya biashara na Tanzania, ila kutuonesha sisi ombaomba na wao ndio tunaowaomba.
 

Duh noma, do you have reference of where in quran I can find all these atrocities by Mohammed. Am so shocked, why would milions of his followers be ignorant of all these stuffs.
Women like FaizaFoxy would still die for him.
 
Jamaa wapo vizur sana kiujuzi tuwape nafas ilimradi na sisi tunanufaika
 
Duh noma, do you have reference of where in quran I can find all these atrocities by Mohammed. Am so shocked, why would milions of his followers be ignorant of all these stuffs.
Women like FaizaFoxy would still die for him.
Wait for his references but you will wait till death.
 
Serikali ikubali hawa jamaa waje kwani teklojia yao ni kubwa sana
 
Ati we dont need you!! We jamaa kiazi sana..
Basi nenda iraq kawaombe wakupe wataalamu
 
Daah, we jamaa ni mdini sana aisee, ila naamini wewe si mkristo bali utakuwa muhuni wa mtaani mwenye chuki na roho mbaya sana, umejaa uchochezi na chuki kubwa,
 
Huo ndio ukweli ndugu wa kweli ni mchina
 
Ngoja Mullahs na hayatullars waje humu
 
Naona kuna wapu
. m. B.. vu hapa wanaendeleza kuwa taifa teule. Kwa upande wangu bora wachina kuliko hiyo miyahudi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…