Jasusi huo ni uongo IRON DOME imetengenezwa ISRAEL na kampuni iitwayo RAFAEL inadeal na missile defence system.
One missile inagharimu $40000-$50000
Hii inatumika kuintercept Missiles ambazo zinarushwa kuelekea population places.
Marekani yeye ametoa hela $200 mil baada ya hii system kuanzishwa.
Imeanza tumika kuanzia mwaka jana march
Technology ya Iron dome wamepewa na Marekani. That is the Gospel truth.