Adiosamigo
JF-Expert Member
- Oct 2, 2013
- 11,248
- 15,069
Nionyeshe hio bibilia ya Karne ya 7 ipo wapi, hizo bibilia zenu si magazeti tu yalio andikwa na waisrael Paul, Luke, Matthew na John hawa wote ni waisrael walio tunga hizo bibilia na hakuna hata mmoja alimuona Yesu.Umekuwa brainwashed na dini zaidi, tafuta historia kwenye vitabu mbalimbali, ukisoma quran huwezi ipata historia, utaipata ya uwongo angalau usome biblia kwanini waliitwa wana wa Israel. Kuanzia karne ya 7 ndipo waarabu walipokwenda ku conquer nchi yao.
Alipofika huko alikutana na mabedui ambao ni warabu na wayahudi si wa Israel, neno Israel limekuja bada ya kuja nabii Yokoub na kwa jina lingine anaitwa Israel.Ukisoma maandiko Mungu anamwambia Ibrahim atoke Iraq aende nchi atayomuonyesha ambayo ndio hiyo Jerusalem
Swali
1) Je Ibrahim alivyofika Jerusalem alikuta Mji au alikuta poli
2) Kama alikuwa Mji hao watu walikuwa kina nani?
Netanyahu kachafua hali ya hewa huku.Kuna nini?
Wajitwishe wasepe nayo la sivyo isikae kwenye ardhi ya wayahudiMwambie . Waislam wanataka Masjid Aqswa yao
Wewe myahudi au mkiristo wa mbagala?Wa
Wajitwishe wasepe nayo la sivyo isikae kwenye ardhi ya wayahudi
Naisikia tu , kwamba mbagala ipo dar ila sijawahi fika.Wewe myahudi au mkiristo wa mbagala?
Basi itakuwa mkiristo msimamo mkaliNaisikia tu , kwamba mbagala ipo dar ila sijawahi fika.
hv mkuu ule mji ambao Yesu aliulilia unaitwaje maana nimeusahau?December tu yenyewe watu watamiminika Bethlehem ambayo ipo westbank (eneo wanakoishi wapalestina) ambako Yesu aliyeishi kama Myahudi alizaliwa. halafu mtu anakuja leo anasema ile ardhi sio ya wayahudi, akili matope hayo?
watu wanaongelea karne ya saba wewe unaongea mambo ya 1947?Kasome historia vizuri ujue population ya Wayahudi ilikuwa ni kiasi gani mwaka 1947 na Waarabu walikuwa wangapi. Ondoa moshi wa propaganda akilini mwako.
Ndio maana huwa simkubali sana nyerere pesa na nguv kazi alizopoteza kuwasaidia watu wasiokuwa na shukrani kama akina nandela angezitumia kujenga nchi tungekuwa mbali sanaumeweka quotation ya mandela hapo, huyo mandela ni mojawapo ya watu wabinafsi na wapuuzi sana. anaheshimika kidunia kiunafiki tu. kwa namna Nyerere alivyompigania, kwa namna Tanzania tulivyorisk uchumi na mahusiano yetu, alitakiwa awe na shukrani ya kutosha, lakini alimtosa nyerere mwishoni huyo baada ya kutoka, na amesifia watu wengine zaidi ya nyerere na watanzania. na itoshe kusema alikoma kukaa gerezani kwa miaka 27 bila kukutana na nyapu yeyote, madume tu, na alipotoka alikoma zaidi kuona mkewe kipendi anafumuliwa na bwamdogo. to hell is him.
kwa geographical position tuliyokuwa nayo, nakuambia angewatosa hawa pimbi, tungekuwa mbali sana. tulitumia hadi pesa zetu kuwasaidia, walipopata, wametusahau, ati tunasubiria malipo kwa Mungu? angalia Angola, angalia zimbabwe,angalia Namibia, Mozambique anashirikiana na sisi kwasababu ya magaidi wanaowasumbua tu ila isingekuwa hivyo, tungeshagombana nao suala la gas. wakati tunawasaidia hao watu, kenya ilikuwa inakula good time na kuita wawekezaji, tungekuwa mbali sana kama tusingepoteza muda nao.Ndio maana huwa simkubali sana nyerere pesa na nguv kazi alizopoteza kuwasaidia watu wasiokuwa na shukrani kama akina nandela angezitumia kujenga nchi tungekuwa mbali sana
Yerusalem, ambayo wapalestina wanalilia uwe mji mkuu wao.hv mkuu ule mji ambao Yesu aliulilia unaitwaje maana nimeusahau?
hawa jamaa makapimwe akili, sio wazima kabisa.Yerusalem, ambayo wapalestina wanalilia uwe mji mkuu wao.
alikuta watu na mapori. alipigana nao na kuwashinda. kizazi chake kilizaliwa pale kupitia Isaka, then Yakobo, ndugu yake esau akaenda pande za ulaya, ndio hao wazungu, Yakobo alipozaa wale watoto 12 wakamuuza Yusuph misri, ndio alikuja kuchukuliwa familia nzima (baada ya yusufu kuwa waziri mkuu wa misri) wakahamia misri wakakaa pale miaka 400. baada ya hapo Mungu ndio akamwambia Musa awapeleke tena Caanan kwasababu miaka 400 iliyopita aliwapaga babu zake, yaani Ibrahim Isaka na Yakobo. Musa ndio akawaongoza for 40 years wanazunguka jangwani kwasababu ya dhambi, hadi wakafika pale chini ya mkono wa Joshua.Ukisoma maandiko Mungu anamwambia Ibrahim atoke Iraq aende nchi atayomuonyesha ambayo ndio hiyo Jerusalem
Swali
1) Je Ibrahim alivyofika Jerusalem alikuta Mji au alikuta poli
2) Kama alikuwa Mji hao watu walikuwa kina nani?
waarabu ndio wapalestina, na wanapelekewa moto kweli.Hao waarabu wanafaida gani kuendelea kuwepo huko?
Waondoke kama hawataki wapelekewe moto usiku na mchana.
kwahiyo unafikiri Yesu alikuwa mpalestina? aliuawa kwa sababu ilitabiriwa hivyo kwamba angeuawa kama kafara la dhambi zangu mimi na wewe.Kama yesu alikuwa myahudi ,ilikuwaje wayahudi wezie wakamua
Safi sana, wamalizwe wote tu.waarabu ndio wapalestina, na wanapelekewa moto kweli.
Yesu, mama'ke ni Mwafrika, Yesu ni Mwafrika kwa asili.kwahiyo unafikiri Yesu alikuwa mpalestina? aliuawa kwa sababu ilitabiriwa hivyo kwamba angeuawa kama kafara la dhambi zangu mimi na wewe.
hivi hii nani yako imeibiwa au ni wewe mwenyewe? naona unataka kuokoka sasa.Yesu, mama'ke ni Mwafrika, Yesu ni Mwafrika kwa asili.
Nini yangu imeibiwa?hivi hii nani yako imeibiwa au ni wewe mwenyewe? naona unataka kuokoka sasa.