Israel na Marekani zaishambulia Iran. Serikali ya Israel yatangaza hali ya hatari

Israel na Marekani zaishambulia Iran. Serikali ya Israel yatangaza hali ya hatari

๐Ÿ’ฅ๐Ÿ’ฅ๐Ÿ’ฅ๐Ÿ’ฅ
Iran imeshanbulia kwa drone huko Bahrain
Screenshot_20260304-012801_1.jpg
 
Mbaraka Mwinshehe - Jogoo la Shamba

๐Ÿ”น๐Ÿ”น๐Ÿ”น๐Ÿ”น๐Ÿ”น๐Ÿ”น๐Ÿ”น๐Ÿ”น๐Ÿ”น

*Hilo oooh
Ulijidai wewe mbabe sana
Leo umepigwa na kijana mdogo
Aibu imekupata
Kiko wapi sasa
Ulichokua ukujidai nacho?
Leo ungepambana na mimi kaka
Kilema ungekipata
๐Ÿ”น๐Ÿ”น๐Ÿ”น๐Ÿ”น๐Ÿ”น๐Ÿ”น๐Ÿ”น๐Ÿ”น๐Ÿ”น*

*Utampiga nani we?
Kwanza utoto bado haujakutoka
Wewe uliona wapi jogoo la shamba
Linawika mjini?
Utampiga nani we?
Kwanza ukini bado haujakutoka
Wewe uliona wapi jogoo la shamba
Linawika mjini?
๐Ÿ”น๐Ÿ”น๐Ÿ”น๐Ÿ”น๐Ÿ”น๐Ÿ”น๐Ÿ”น๐Ÿ”น๐Ÿ”น*

Ewe ngebe na majivuno yako

*Yamekwisha sasa heshima iko wapi?
Ulipotoka shamba kuingia mjini*

*Mimi nimekuona huwezi kunitisha
Ukiingia mikogo na kudharau wenzio*

Leo umefundishwa adabu na heshima

Ewe ngebe na majivuno yako


*Yamekwisha sasa heshima iko wapi?
Ulipotoka shamba kuingia mjini*

*Mimi nimekuona huwezi kunitisha
Ukiingia mikogo na kudharau wenzio*

*Leo umefundishwa adabu na heshima
๐Ÿ”น๐Ÿ”น๐Ÿ”น๐Ÿ”น๐Ÿ”น๐Ÿ”น๐Ÿ”น๐Ÿ”น๐Ÿ”น*

Ewe ngebe na majivuno yako

Yamekwisha sasa heshima iko wapi?


Cc Echolima1
 
Mbaraka Mwinshehe - Jogoo la Shamba

๐Ÿ”น๐Ÿ”น๐Ÿ”น๐Ÿ”น๐Ÿ”น๐Ÿ”น๐Ÿ”น๐Ÿ”น๐Ÿ”น

*Hilo oooh
Ulijidai wewe mbabe sana
Leo umepigwa na kijana mdogo
Aibu imekupata
Kiko wapi sasa
Ulichokua ukujidai nacho?
Leo ungepambana na mimi kaka
Kilema ungekipata
๐Ÿ”น๐Ÿ”น๐Ÿ”น๐Ÿ”น๐Ÿ”น๐Ÿ”น๐Ÿ”น๐Ÿ”น๐Ÿ”น*

*Utampiga nani we?
Kwanza utoto bado haujakutoka
Wewe uliona wapi jogoo la shamba
Linawika mjini?
Utampiga nani we?
Kwanza ukini bado haujakutoka
Wewe uliona wapi jogoo la shamba
Linawika mjini?
๐Ÿ”น๐Ÿ”น๐Ÿ”น๐Ÿ”น๐Ÿ”น๐Ÿ”น๐Ÿ”น๐Ÿ”น๐Ÿ”น*

Ewe ngebe na majivuno yako

*Yamekwisha sasa heshima iko wapi?
Ulipotoka shamba kuingia mjini*

*Mimi nimekuona huwezi kunitisha
Ukiingia mikogo na kudharau wenzio*

Leo umefundishwa adabu na heshima

Ewe ngebe na majivuno yako


*Yamekwisha sasa heshima iko wapi?
Ulipotoka shamba kuingia mjini*

*Mimi nimekuona huwezi kunitisha
Ukiingia mikogo na kudharau wenzio*

*Leo umefundishwa adabu na heshima
๐Ÿ”น๐Ÿ”น๐Ÿ”น๐Ÿ”น๐Ÿ”น๐Ÿ”น๐Ÿ”น๐Ÿ”น๐Ÿ”น*

Ewe ngebe na majivuno yako

Yamekwisha sasa heshima iko wapi?


Cc Echolima1

Ujumbe Kwa Trump.
 
KWA USALAMA WA MASHARIKI YA KATI NA NCHI JIRANI IRAN IPIGWE NUCLEAR KAMA YA HIROSHIMA NDIO AMANI ITARUDI
 
๐Ÿ’ฅ๐Ÿ’ฅ๐Ÿ’ฅ๐Ÿ’ฅ
Marekani imeshambulia kwa makombora vituo vya kijeshi vya Iran kaa B-2 bombers
 
Ila Iranโ€ฆโ€ฆ

Ingawa sikubaliani na utawala wa Ayatollah, ila jamaa ni wajeuri.

Vita hajaanzisha yeye. Anachangiwa na nchi mbili zenye majeshi bora duaniani lakini bado anapambana tu.

Lakini pia Iran kaonyesha uzembe na upumbavu wa hali ya juu sana.

Ni kama vile Wairan hawana common sense. Sielewi kwa nini viongozi wake na makamanda wao kwa nini wanaendelea na mikusanyiko ya watu wengi na wanaishia kuuliwa kirahisi rahisi kama sisimizi!
 
Mbaraka Mwinshehe - Jogoo la Shamba

๐Ÿ”น๐Ÿ”น๐Ÿ”น๐Ÿ”น๐Ÿ”น๐Ÿ”น๐Ÿ”น๐Ÿ”น๐Ÿ”น

*Hilo oooh
Ulijidai wewe mbabe sana
Leo umepigwa na kijana mdogo
Aibu imekupata
Kiko wapi sasa
Ulichokua ukujidai nacho?
Leo ungepambana na mimi kaka
Kilema ungekipata
๐Ÿ”น๐Ÿ”น๐Ÿ”น๐Ÿ”น๐Ÿ”น๐Ÿ”น๐Ÿ”น๐Ÿ”น๐Ÿ”น*

*Utampiga nani we?
Kwanza utoto bado haujakutoka
Wewe uliona wapi jogoo la shamba
Linawika mjini?
Utampiga nani we?
Kwanza ukini bado haujakutoka
Wewe uliona wapi jogoo la shamba
Linawika mjini?
๐Ÿ”น๐Ÿ”น๐Ÿ”น๐Ÿ”น๐Ÿ”น๐Ÿ”น๐Ÿ”น๐Ÿ”น๐Ÿ”น*

Ewe ngebe na majivuno yako

*Yamekwisha sasa heshima iko wapi?
Ulipotoka shamba kuingia mjini*

*Mimi nimekuona huwezi kunitisha
Ukiingia mikogo na kudharau wenzio*

Leo umefundishwa adabu na heshima

Ewe ngebe na majivuno yako


*Yamekwisha sasa heshima iko wapi?
Ulipotoka shamba kuingia mjini*

*Mimi nimekuona huwezi kunitisha
Ukiingia mikogo na kudharau wenzio*

*Leo umefundishwa adabu na heshima
๐Ÿ”น๐Ÿ”น๐Ÿ”น๐Ÿ”น๐Ÿ”น๐Ÿ”น๐Ÿ”น๐Ÿ”น๐Ÿ”น*

Ewe ngebe na majivuno yako

Yamekwisha sasa heshima iko wapi?


Cc Echolima1
Umenikumbusha miaka ya 70 hiyo, zaidi ya nusu karne sasa(50+)!

Vocal na vyombo ukivisikiliza bado vinavutia na kufurahisha hadi leo kuliko miziki ya kisasa ya kina 'domo' iliyojaa tenzi za matusi matupu!
 
Back
Top Bottom