Israel minister Silvan Shalom resigns over harassment allegations

Status
Not open for further replies.

kahtaan

JF-Expert Member
Jul 11, 2009
18,758
11,337
Israel's Interior Minister Silvan Shalom has resigned after a series of sexual harassment allegations.

Mr Shalom, who is also stepping down from his position as deputy prime minister, said he was doing so to spare his family any more suffering.

The attorney-general has ordered a probe into claims made against Mr Shalom by several women. Mr Shalom has denied any wrongdoing.

Israel has seen several similar high-profile cases in recent years.

The police anti-fraud chief is under investigation for sexual misconduct and last month another MP in the governing coalition, Yinon Magal, resigned amid sexual harassment allegations.

In 2011 the former President Moshe Katsav began a seven-year jail sentence for rape.

Some media reports suggest that Mr Shalom's replacement in the Israeli parliament could be Amir Ohana, who would become the first openly gay MP from the right-wing Likud party.

Israel minister Silvan Shalom resigns over harassment allegations - BBC News
 
Hata muwapake matope namna gani kwa kuchukua isolated events ku-generalise haiwezi kufuta ahadi ya Mungu kamwe! Israel litaendelea kuwa taifa teule tu whether mnataka au hamtaki.
Watenda dhambi walikuwepo tangu enzi na enzi na wataendelea kuwepo hata taifa likiwekwa wakfu wa utakatifu na Mungu.
Watu kukengeuka hawawezi kuacha maana mwenyezi Mungu hakupi shurti ya Kumtii bali anakufundisha kupitia manabii wake kisha anakuacha huru uchague mwenyewe.
 
...akili fupi utawajua tu; eti unachukua tukio moja unalileta huku mbio mbio ili kuonesha watu wa eneo fulani ni wabaya. Mbona unajidharaulisha sana, hivi hujawahi kusikia mashekhe wamelawiti watoto?
Hebu wakati mwingine jaribu kuficha upumbavu wako kijana/mzee.
Halafu sijawahi kukuona umeanzisha thread yoyote yenye mtazamo tofauti,kama siasa au michezo,inaonekana una very low IQ..!!
 
Hayo ndiyo mambo yenu wazee wa mabusha.
Teh teh teh.
We hujajua tu mpk leo mzee Kyenju alikuhifadhi wewe kwenye hilo Busha kabla ya kukuhamishia upande wa pili? au we ulitokea pande za kaskazini mashariki mwa mwili!

Teh teh teh teh
 
Last edited by a moderator:

Nyie ndio wale wayahudi wa pale kigoma eti?
Yaani we Muha lkn bado unajiita Myahudi.?
Acheni bange wakuu.

Hawa mnaowaita taifa teule ni Waliberali waliomuua kiongozi wa Ukristo.
Hivi kwanini bado mnawakumbatia? Au mmeshalishwa limbwata?
 
Kwa akili kuambiwa km wewe muisraeli hata akikunyea kichwani we utasema alikuwa anakubariki.

Nyie watu sijui mmelishwa nini na hawa watu.
 
Teh teh teh.
We hujajua tu mpk leo mzee Kyenju alikuhifadhi wewe kwenye hilo Busha kabla ya kukuhamishia upande wa pili? au we ulitokea pande za kaskazini mashariki mwa mwili!

Teh teh teh teh
Nimetokea upande wa Mashariki, Magharibi, Kaskazini, kusini.

Teh teh teh..... wazee wa mabusha bana!!!!!.
 
Last edited by a moderator:
...akili fupi utawajua tu; eti unachukua tukio moja unalileta huku mbio mbio ili kuonesha watu wa eneo fulani ni wabaya. Mbona unajidharaulisha sana, hivi hujawahi kusikia mashekhe wamelawiti watoto?
Hebu wakati mwingine jaribu kuficha upumbavu wako kijana/mzee.
Halafu sijawahi kukuona umeanzisha thread yoyote yenye mtazamo tofauti,kama siasa au michezo,inaonekana una very low IQ..!!
Tukio Moja?

Teh teh teh.
Sasa we mwenye super dupper IQ kaa nikupe food for thought.

http://www.texemarrs.com/062015/homos_in_israels_armed_forces.htm

http://m.jpost.com/Israel-News/Poli...sh-for-taking-part-in-Gay-Pride-Parade-405893

http://m.huffpost.com/us/news/presbyterian-church-gay-ministers

Kuna Waisraeli zadi ya nusu milion ambao ni mashoga Officially.
Kuanzia Wanajeshi, mawaziri, waalimu, wachungaji mpk Wanafunzi.

Halafu wewe mwenye akili nyingi Unaita "tukio moja"!
Au mpk mtu akuletee posa ndio ujue hawa Viumbe ni Laana.
Chunga sana we mtoto mwenye mashavu dodo.
 
why Israel doesnt engage with their neighbours interms of politics, economic and other social affairs and then opt to collaborate with Europe?????@kahtaan.
 
Nyie ndio wale wayahudi wa pale kigoma eti?
Yaani we Muha lkn bado unajiita Myahudi.?
Acheni bange wakuu.

Hawa mnaowaita taifa teule ni Waliberali waliomuua kiongozi wa Ukristo.
Hivi kwanini bado mnawakumbatia? Au mmeshalishwa limbwata?

Kama Walimuua Kristo Sema basi kuwa Walimuua Mwamedi kwa urafi wake wa Nyama akawekewa Sumu na Allah akashindwa Kumuepusha sababu alikuwa kalaaniwa kwa Makosa yake....!

Kuwa Nchi kunakuwa na watu wenye tabia Tofauti tofauti ndio maana waziri Mkuu anakuwa mmoja mwanasheria mkuu anakuwa mmoja n.k n.k Sasa washangaa nini kama Mbunge atakaye mreplace anatabia za ki gay! inatokea tu kawa muwazi ila Waarabu na waislam wengi sana mabwabwa wao kutunza siri ndio sifa... ila ndio ulipoanzia
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom