Watu wanataka kurudi makwao hawawezi tena.Kachanganyikiwa na vita.Ukiona Israel anaomba mazungumzo na nchi wapate muafaka wa kisiasa basi ufahami hali mbaya kwake, huo ni mkwala tu anaishambulia Lebanon na yeye miji yake itachaka kwa makombora siyo mara ya kwanza vita vya mpaka UN akaingilia kati.
Mambo ya story za six deiz war, na operation entebbe.Kama waliwaunganisha middle East yote na kuwatandika, vipi hao Lebanon
Mambo ya story za six deiz war, na operation entebbe.
Mkuu Israel haina uwezo kupambana na Hezbollah, Hezbollah ni powerful asikuambie mtu.
Ata wapalestina mlisema hivyo hivyo, ila hivi sasa tunazungumzia mji wa magofu.....Mambo ya story za six deiz war, na operation entebbe.
Mkuu Israel haina uwezo kupambana na Hezbollah, Hezbollah ni powerful asikuambie mtu.
Wanadhani Hezbollah hapigiki. Uzuri wa Lebanon kuna serikali inayotambulika kimataifa, tofauti na Gaza. Kule Gaza unaweza sema Hamas ni kundi la kigaidi hivyo ukalaumiwa kuingia. Kule Lebanon utasema ni nchi halali inayoruhusu watu wake kuivamia Israel.Israel iliyopigana na mataifa 10 ya kiarabu ndo washindwe na vikundi hivyo 3 kweli! Alizichapa nchi 10 hatimaye wakichukuliwa Jerusalem, Golan na Sinai. Hao hezibolla ndo wanawasha moto, watapigwa mpaka wachakae
Israel kwenye vita ita focus sana kwenye air force hilo kila mmoja analifahamu. Lakini kwa ground watachakazwa mno.Hezbollah inao uwezo wa kupigana na jeshi la Syria hii ya sasa iliyodhoofika?
Hezbollah ina uwezo wa kuipiga Misri?
Hezbollah ina uwezo wa kuipiga Jordan?
Hizo nchi tatu zote Hezbollah haina uwezo wa kuzipiga. Na zote hizo hakuna ya kuipiga Israel.
Tufanye hivi, Lebanon wasiiguse Hezbollah. Israel iivamie Lebanon, wewe waombe Hezbollah wasije peke yao waje na jeshi la Lebanon kwa pamoja uone kama watashinda.
Vita Hamas, objectives za IDF ni kurudisha mateka, je wamefanikiwa?Ata wapalestina mlisema hivyo hivyo, ila hivi sasa tunazungumzia mji wa magofu.....
Walisema Israel hatoingiza mguu Gaza, hatimaye akaingiza mguu Gaza na doz anatoa vizuri tu.Ata wapalestina mlisema hivyo hivyo, ila hivi sasa tunazungumzia mji wa magofu.....
Nilichojifunza kwenye migogoro ya hivi karibuni watu wanazani Hivi vikundi vya ugaidi vinanguvu kushinda Israel kisa vinarusha makombora ovyo.Wanadhani Hezbollah hapigiki. Uzuri wa Lebanon kuna serikali inayotambulika kimataifa, tofauti na Gaza. Kule Gaza unaweza sema Hamas ni kundi la kigaidi hivyo ukalaumiwa kuingia. Kule Lebanon utasema ni nchi halali inayoruhusu watu wake kuivamia Israel.
Unaingia Lebanon jeshi lao likikuzuia unapigana nalo, hakichukui muda sababu halijifichi shuleni na hospitalini. Hezbollah wakirusha makombora unarusha makombora mazito. Israel haijatumia cruise missiles wala MLRS dhidi ya Hamas sababu ni magaidi wamehodhi eneo la raia ila kwa Lebanon zinatumika vizuri.
Nguvu za Israel kama zipi? miaka ya 70?Nilichojifunza kwenye migogoro ya hivi karibuni watu wanazani Hivi vikundi vya ugaidi vinanguvu kushinda Israel kisa vinarusha makombora ovyo.
Mnakuja na mambo ya kijinga kila siku huku mnachakazwa tu pamoja na kobazi wenzenu.Mambo ya story za six deiz war, na operation entebbe.
Mkuu Israel haina uwezo kupambana na Hezbollah, Hezbollah ni powerful asikuambie mtu.