elmagnifico
JF-Expert Member
- Jul 7, 2011
- 8,260
- 9,764
Serikali ya Israel, imeamua kufunga ofisi za aljazeera na matangazo yake katika nchi hiyo kuanzia satelite mpaka cable Tv pamoja na matangazo yake kupitia internet.
Kwa kuanzia serikali itawanyanganya wafanyakazi wa aljazeera vitambulisho wanavyopewa kuwatambulisha wao kama waandishi wa habari.
Pia ofisi zao nazo zutafungwa pamoja na kuiondoa katika list ya channels zibazoweza kuqa accessed ukiwa Israel.
Aljazeera wamedai kuwa hii imetokana na wao kueleza ukweli juu ya vitendo vya kikatiri vinvyofanywa na Israel dhidi ya Palestina, pia wameenda mbali zaidi na kudai ya kwamba ni hasira ya Netanyau dhidi yao kwakuwa walirusha habari ya scandal ya ubadhirifu inayomkabiri.
Aljazeera imekuwa ikikumbana na matatizo nchi mbalimbali kama egypt, saudi arabia na nchi nyingine za mashariki ya kati wakitaka ifunge kurusha matangazo yake.
Wao Aljazeera wanazidi jinasibu kuwa habari zao haziegemei upande wowote ndiyo maana kila upande uwa unawatuhumu kwa mfano wanadai kuna kipindi walishatuhumiwa kuwa wako upande wa Israel na supporters wao na sasa wanatuhumiwa kuwa wako upande wa Palestina.
Source Aljazeera Tv