Israel Knesset Wamshambulia Netanyahu

Israel Knesset Wamshambulia Netanyahu

Adiosamigo

JF-Expert Member
Joined
Oct 2, 2013
Posts
10,623
Reaction score
14,009
Israel Knesset wamemshambulia Netanyahu kwamba anajisfia kashinda vita wakati wa Israel wote wameona vipi Iran alivyo ipiga Israel kama nchi haina ulinzi. Israel wanasema tuliyo onyweshe kwenye media ni friction ya madhara makubwa ambayo Israel inayaficha.

Pia wanaulizana nani aliye toa amri ya kusimamisha vita, okay wanasema yote hayo tisa wametoka kwenye mashelter je Iran imevunjiwa Nuclear? Hapana mmepiga kweli mmerusha maboom mmeuwa macommander, scientists lakini Iran nuclear facilities bado zipo na nia zao bado zipo, pia Je Missiles zake zimevunjwa? Hapana sa Netanyahu anaongelea ushindi upi.

Kusimamisha vita kwa sasa ni hasara kwa Israel na ushindi mkubwa kwa Iran na marafiki zake kwenye dunia. Iran kwa sasa kisha amini wazi Israel hawezi kupigana vita nao, huyo Muisrael anasema siasa ya kusimamisha vita itatufanya tulipe thamani kubwa siku za mbele.

Nani aliye simamisha vita Israel au Israel imekuwa haina tena amri? Israel sio dhaifu lakini Netanyahu kaogopa kukosa support za nchi za Europe na USA mhhmm afu wanajikanyaga tena Wazira ya majeshi imepigwa, telecommunication imesambaratishwa, Airport imefungwa bila reason, tokea 1973 mara ya kwanza tunahisi Israel haina kiongozi. Aisay wamechangan'yikiwa kweli.

View: https://youtu.be/XMHTBLT5uhs?si=YZ8DMQETvl15C_1C
 
Good
 
Wakati huo hisa za kampuni inayotengeneza kiremba cha Hayatollah zimepanda.🤣

images (6).jpeg
 
JAMII FORUM IMEPWAYA KWELI, TOKA MYAHUDI KUPATA KIPIGO AMBACHO HAKIKUWAHI KUKIPATA NA WALA KUKITEGEMEA..
JAMANI WANAJF WALE WANAOWAFAGILIA MAYAHUDI, JEE WANAJUA KUWA MAYAHUDI NI MAYAHUDI SIO WAKEISTO? N A JEE WANAJUA KUWA MAYAHUDI WAPO MBALI SANA NA UKRISTO? NA JEE WANAJUA KUWA ASILIMIA YA WAKEISTO ISRAEL NI HATA ASILIMIA MBILI HAWAJAFIKA? MAANA YAKE WAKEISTO HAWATAKIWI UYAHUDINI.
MSIWE MNASHABIKIA TUU NA WALA HAMJUI MNACHOSHABIKIA.
 
Habari za Knesset zinaletwa na Taqiyya Tv, Mkuu jifunze japo kidogo kuwa mtu makini utapata faida sana kwenye tulizo la moyo wako..
 
JAMII FORUM IMEPWAYA KWELI, TOKA MYAHUDI KUPATA KIPIGO AMBACHO HAKIKUWAHI KUKIPATA NA WALA KUKITEGEMEA..
JAMANI WANAJF WALE WANAOWAFAGILIA MAYAHUDI, JEE WANAJUA KUWA MAYAHUDI NI MAYAHUDI SIO WAKEISTO? N A JEE WANAJUA KUWA MAYAHUDI WAPO MBALI SANA NA UKRISTO? NA JEE WANAJUA KUWA ASILIMIA YA WAKEISTO ISRAEL NI HATA ASILIMIA MBILI HAWAJAFIKA? MAANA YAKE WAKEISTO HAWATAKIWI UYAHUDINI.
MSIWE MNASHABIKIA TUU NA WALA HAMJUI MNACHOSHABIKIA.
Hujitambui wewe, Iran moto aliopelekewa nuclear hata itamani tena, mission accomplished
 
Kamsilize trump huko nato alivokizungumzia kichapo cha Iran hasa siku za mwisho kwenye miji ya israel,yeye mwenyewe aliogopa, itakua ndiyo vile vyuma vipya walivyosema Iran baada ya kusafisha ghala la makombora ya zamani
 
Ayatollah anajificha, myahudi anapiga anavyotaka, acha ujinga 😂 and no such thing
 
Kamsilize trump huko nato alivokizungumzia kichapo cha Iran hasa siku za mwisho kwenye miji ya israel,yeye mwenyewe aliogopa, itakua ndiyo vile vyuma vipya walivyosema Iran baada ya kusafisha ghala la makombora ya zamani
Unamsikiliza kwani wewe hujaona on Tv? the same way Hamas usu to target on civilian area ni stupidity Maeneo yaliyoguswa ya Raia kule Teheran ndio news muda wote television za Iran even now tizama Presstv wamekomalia jengo la tv ya Taifa.
Jiulize pigo la Mwisho ilikuwa ni Teheran Ndege 52 full of bombs angeziachia zote Trump akasihi please Stop

1750885680149.png
 
We kenge mimi sinimeweka video sileti kutoka kwangu
Achana na Tv news za kingese Iran wahusika wa vita Habari zao za ukweli wanazichukulia televison za Israel kwenyewe na sio news za ujingani. Huwa sielewi habari za kijinga zinasaidia nini kuzisambaza yaani sipati jibu kabisa...

1750888461359.png

1750888645924.png
 
Israel Knesset wamemshambulia Netanyahu kwamba anajisfia kashinda vita wakati wa Israel wote wameona vipi Iran alivyo ipiga Israel kama nchi haina ulinzi. Israel wanasema tuliyo onyweshe kwenye media ni friction ya madhara makubwa ambayo Israel inayaficha.

Pia wanaulizana nani aliye toa amri ya kusimamisha vita, okay wanasema yote hayo tisa wametoka kwenye mashelter je Iran imevunjiwa Nuclear? Hapana mmepiga kweli mmerusha maboom mmeuwa macommander, scientists lakini Iran nuclear facilities bado zipo na nia zao bado zipo, pia Je Missiles zake zimevunjwa? Hapana sa Netanyahu anaongelea ushindi upi.

Kusimamisha vita kwa sasa ni hasara kwa Israel na ushindi mkubwa kwa Iran na marafiki zake kwenye dunia. Iran kwa sasa kisha amini wazi Israel hawezi kupigana vita nao, huyo Muisrael anasema siasa ya kusimamisha vita itatufanya tulipe thamani kubwa siku za mbele.

Nani aliye simamisha vita Israel au Israel imekuwa haina tena amri? Israel sio dhaifu lakini Netanyahu kaogopa kukosa support za nchi za Europe na USA mhhmm afu wanajikanyaga tena Wazira ya majeshi imepigwa, telecommunication imesambaratishwa, Airport imefungwa bila reason, tokea 1973 mara ya kwanza tunahisi Israel haina kiongozi. Aisay wamechangan'yikiwa kweli.

View: https://youtu.be/XMHTBLT5uhs?si=YZ8DMQETvl15C_1C

Huyu Ndugu yako kila kifo cha Viongozi wakubwa wa Ayatollah lazima ahusike Kifo cha Mkuu wa Majeshi nae alikuwepo alafu katoka mzima bila hata kidonda

View: https://www.youtube.com/watch?v=8KKFdwaE0HU
 
JAMII FORUM IMEPWAYA KWELI, TOKA MYAHUDI KUPATA KIPIGO AMBACHO HAKIKUWAHI KUKIPATA NA WALA KUKITEGEMEA..
JAMANI WANAJF WALE WANAOWAFAGILIA MAYAHUDI, JEE WANAJUA KUWA MAYAHUDI NI MAYAHUDI SIO WAKEISTO? N A JEE WANAJUA KUWA MAYAHUDI WAPO MBALI SANA NA UKRISTO? NA JEE WANAJUA KUWA ASILIMIA YA WAKEISTO ISRAEL NI
 
Kiukweli Israel katwangwa, hata waseme nini, bw wao mkubwa kajifanya kuchombeza kidogo akachomoa! Israel mwenyewe bila support ya EU au USA hawezi kabisa kabisa kabisa.
Netapussy anashida ya kubaki madarakani, mwana kakitaka mwana kajionea mwenyewe!
Aibu tupu kwake!
 
Achana na Tv news za kingese Iran wahusika wa vita Habari zao za ukweli wanazichukulia televison za Israel kwenyewe na sio news za ujingani. Huwa sielewi habari za kijinga zinasaidia nini kuzisambaza yaani sipati jibu kabisa...

View attachment 3383722

View attachment 3383727
We kenge kipi kipya hapo kuhusu Iran? Mimi naongelea ya Knesset we unaleta story za Iran hakuna jipya hapo. Tokea mwanzo Ayatollah Ali Khomen alitoa Fatwa wasitengeneze Nuclear Boom Israel ndio aliye kuwa akizua uwongo hakuna nchi ilio sema Iran anatengeneza Nuclear Boom ni wao tu. Cha ajabu Rising Lion alishia kujitia aibu hakuna target alizo fanikiwa tena kajiandaa miaka 20 kwa kusaidiwa na mabalozi wa nchi za Europe na Ukraine na Wairan wenye asili za kiyahudi alicho fanikiwa ni kuwauwa macommander na namascientist tena wale macommader walikuwa wanajua hakuna vita ndio mjisifie vita vya wizi mnajidai mpo kwenye mazungumzo na wengine wanashambulia ya kushtukizia tu hahaha afu target ilikuwa Kuvunja Nuclear facilities na Viwanda vya Missiles na Regime change 🤣
 
Huyu Ndugu yako kila kifo cha Viongozi wakubwa wa Ayatollah lazima ahusike Kifo cha Mkuu wa Majeshi nae alikuwepo alafu katoka mzima bila hata kidonda

View: https://www.youtube.com/watch?v=8KKFdwaE0HU
Huyu mimi pia roho yangu ina amini kabisa ni spy wa Mossad , lakini Iran wanasema sio hivyo. Hapa niko na wewe najua wewe ni kenge lakini kuna wakati wanasema yes, it is possible for a fool to make a valid point, even if unintentionally or due to a fluke 🤣
 
JAMII FORUM IMEPWAYA KWELI, TOKA MYAHUDI KUPATA KIPIGO AMBACHO HAKIKUWAHI KUKIPATA NA WALA KUKITEGEMEA..
JAMANI WANAJF WALE WANAOWAFAGILIA MAYAHUDI, JEE WANAJUA KUWA MAYAHUDI NI MAYAHUDI SIO WAKEISTO? N A JEE WANAJUA KUWA MAYAHUDI WAPO MBALI SANA NA UKRISTO? NA JEE WANAJUA KUWA ASILIMIA YA WAKEISTO ISRAEL NI HATA ASILIMIA MBILI HAWAJAFIKA? MAANA YAKE WAKEISTO HAWATAKIWI UYAHUDINI.
MSIWE MNASHABIKIA TUU NA WALA HAMJUI MNACHOSHABIKIA.
Usicheze na imani ya mtu nyau mkubwa wewe
 
Back
Top Bottom