zitto junior
JF-Expert Member
- Oct 7, 2013
- 22,906
- 36,835
Mbona iliwahi ishiwa huko nyuma na wakachakazwa?mtasubiri sana siku ambayo israel kuishiwa nguvu
Ni suala la muda tu, Hitler taught you a lesson kuwa akitokea mbabe wa size yenu hamna lolote wala chochotekama Hamas na Iran walivyojiaminisha 7 October lakini mnaishia kichapo cha mbwa
AmeeenJuuu yaa israel usihofu, itatokea vita kuu na waisrael watapingwa saana, ndipo watakapo mtambua masia mwana wa mungu na kumrudia. Hapo ndipo unabiii utaishia na YESU atarudi mara ya pili kuwachukua na kuwaokoa walio wake. Hivyo basi tunapoona mataifa yote hayampendi israel, yanatimiza unabii ulioko katika injiri ya mathayo 24 nanyi mtakuwa wa kuchukiwa na mataifa yotee. Ndugu mwamini YESU KRISTO sasa kilichobakia ni unyakuo wa waliomwamini Yesu kuwa bwana na mwokozi wa maisha yao. Kwa kiburi hicho ninajua utaubeza huu ujumbee. Sisi tutaendelea kuwajuza msije sema hamkusikia.
Tatizo ni mafundisho ya Kishetani ndiyo yanawapotosha. Saudia wameisha anza kujidistance toka mafundisho yenu. Mumebakiwa na Muslim Brotherhood, wajinga wa Pakistan na wakomunisti wa western countriedMbona iliwahi ishiwa huko nyuma na wakachakazwa?
Ni suala la muda tu, Hitler taught you a lesson kuwa akitokea mbabe wa size yenu hamna lolote wala chochote
They did not anticipate the outcome!
Israel ndiyo wenye nchi. Ndiyo maana ilikuwa rahisi kuanzishwa kwa taifa la Israel.Acha uongo, Ardhi yote ilikua ya canaanites hao Israel walivamia tu na kuchinja kila mtu ndio wakaichukua ila hapakua kwao. Wao wanatokea huko uarabuni Iraq!!
Wezi ni hao wayahudi, nchi haikua yao wakaipora sasa wanatoa wapi hatimiliki? Na ukisoma Bible ardhi waliohaidiwa sio hapo wanapoishi, ni mpaka huko Iraq na Syria mbona hawaidai hadi kwenda kungangania Gaza pale padogo?
Wenye nchi kivipi? Wenye nchi ni Makabila 13 ya canaan kasome vizuri Biblia yako. Hao Israel walipora tu kama kawaida yao mpaka walipokuja kukutana na wababe wao ndio wakatawanyika mpaka leo.
Ka nchi kadogo Gaza. Huku upo kwenye keyboard una type. Unafikiri vita ni rahisi? Gaza wanaishi watu wala siyo rahisi kugundua matundu ya panya. Ikiamua Israel kusafisha, inashusha mvua ya mabomu Gaza yote panakuwa peupe tu.Sijui nini? Hao mateka wako wapi? Hivi Gaza si sawa na size ya Kigamboni? Mnashindwa kujua mateka wako wapi hadi leo? Aisee tena mnapigana na kakikundi tu..... sasa ingekua jeshi kabisa kama la Iran au China si mngekuwa mnatafutana!!
Siku yenu inakuja hata Bible imeshasema, hakunaga uovu unaodumu milele.
Kwani waarabu waliwahi kuacha kupora kimabavu popote walipokwenda kueneza ukoloni wao.....mfano mzuri.....kuanzia unguja mpaka tabora mpaka ujiji mpaka kasongo.....mpaka nyangwe?????Kwani ni lini hata kwenye Biblia hao waisraeli waliwahi kuwa wakazi original wa hapo? Mara zote hupora kimabavu na kuchinja raia wote ndio wanachukua wao ardhi.
Walipora nini? Kuna nchi ya waarabu hapa Tanzania? Wao walikua wakoloni kama Wazungu tu basi ila nchi zote waliziachia uhuru. Otherwise ukiachana na Morocco niambie ni nchi gani ya kiarabu inaikalia nchi ya jamii nyingine kwa mabavu. Ila ona Israel sasa, karne hii wanaleta habari za ukoloni wakati dunia imeshastarabika.Kwani waarabu waliwahi kuacha kupora kimabavu popote walipokwenda kueneza ukoloni wao.....mfano mzuri.....kuanzia unguja mpaka tabora mpaka ujiji mpaka kasongo.....mpaka nyangwe?????
Au waarabu hawatakiwi kukosolewa????
Hawatumii sasa mnawashobokea nini? Hao wenyewe hawamtambui Yesu means hawamtambui MUNGU. Ila utasikia mkristo asiyejitambua anakwambia Mungu wa Israel ndio sawa na Mungu wao?? Kivipi wakati wao washasema Yesu sio Mungu!! Au kuna Mungu wawili? Au wayahudi ni wapagani tu na kuzimu inawahusu.Waisrael hawatumii Biblia kama unavyofikiria
Ndio ni ka eneo kadogo sana kama Manzese hivi cha ajabu nchi tulioambiwa ni teule, sijui ina makomandoo hatari, sijui majasusi hatari wameshindwa kujua mateka walipo ndani ya ka manzese tu? Wamebakia kuua wamama na watoto mahospitalini. Aisee hii Israel itakutana tu na Hitler wake siku moja na watajuta kutesa watu.Huku upo kwenye keyboard una type. Unafikiri vita ni rahisi?
According to who? Hiyo nchi walikuta watu wanaishi wakaipora kimabavu.... baadae wakatandikwa ndio wakaporwa nao nchi. Sasa cha ajabu wao ndio wanajiona wana haki sana hapo wakati nchi ni ya canaanites. Kasome hata Boblia yako hapo Mwanzo 13 utaona Jerusalem ilishakua na mfalme miaka almost 1000 kabla ya wayahudi kuivamia chini ya Joshua.Israel ndiyo wenye nchi. Ndiyo maana ilikuwa rahisi kuanzishwa kwa taifa la Israel.
Sio kweli ule ni ukoloni tofauti na uvamizi na kupora. Mfano wa kinachoendelea hapo Gaza ni Afrika kusini kipindi cha Ubaguzi. Yaani ndani ya nchi yako mtu anajitangazia taifa jingine.Waarabu walizoea kuvamia nchi za watu na kuwapora watu ardhi ila leo wanakutanishwa na moto mkali sana.