Israel inavyosogolea mpaka wa Iran

Israel inavyosogolea mpaka wa Iran

Ha ha ha ha ha mleta uzi Ni too pro Israel+USA..
Uliwahi kusikia wap Israel wanna f 22? Kwa msaada Ni kwamba Israel ana f35 pia kutoka USA..
F22 Ni advanced weapon ambayo marekani wanetunga Sera ya kutomuuzia hata close allies wake wa NATO Kama France na UK.

Pia anajaribu kutuaminisha kwamba Irani wanna Russian Su 57 ..Ni uongo mkubwa coz su 57 iko katika majaribio na haijawahi tumika kokote duniani vitani..even Syria ilikwa Ni continuation of research on it..

Uongo mwingine huyu anaamini katika effectiveness ya iron dome 100% but kiukweli Ni kwamba hamna effective system hasa inapotokea too effective pilot of foe side. ..
Nawasilisha .

Sent using Jamii Forums mobile app
 
sema watu wanaaminishwa na maneno madogomadogo,lkn israeli na iran hawatapigana kamwe,,,,na sababau za kupigana zipo lkn hawawezi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ha ha ha ha ha mleta uzi Ni too pro Israel+USA..
Uliwahi kusikia wap Israel wanna f 22? Kwa msaada Ni kwamba Israel ana f35 pia kutoka USA..
F22 Ni advanced weapon ambayo marekani wanetunga Sera ya kutomuuzia hata close allies wake wa NATO Kama France na UK.

Pia anajaribu kutuaminisha kwamba Irani wanna Russian Su 57 ..Ni uongo mkubwa coz su 57 iko katika majaribio na haijawahi tumika kokote duniani vitani..even Syria ilikwa Ni continuation of research on it..

Uongo mwingine huyu anaamini katika effectiveness ya iron dome 100% but kiukweli Ni kwamba hamna effective system hasa inapotokea too effective pilot of foe side. ..
Nawasilisha .

Sent using Jamii Forums mobile app
hata useme hili wala ile israel bado bigwa kijeshi, iran ambao yaonekana wewe ni moja wa wale mullahs wa iran,na waja nikujuze mkuu, kumbuka vita ya 6 days wars 1967? hebu enda soma vile mambo yalikuwa, ISRAEL WILL NEVER EVER BE WIPED OUT, its mullahs who will die soon
 
Write your reply...iron dome ni kwa ajili ya kudungua maroketi,sio kushambulia,marekani wananunua kwa sababu walianza kushambuliwa iraq kwa maroket na wanamgambo wa PMU na hezbiraq,roket ni shortrange,marekani hawakuaga na sababu kabla ya kuunda short range air defence ndo maana hawana,sio kwamba hawana technology
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom