Israeli haijawahi kuwa zaidi ya Marekani ila Waisraeli kihistoria ni zaidi ya Wamarekani maana Waisraeli ni component ya Marekani ila sio kinyume,hivi divyo ilivyo.
Kanatingisha dunia ya waarabu kwa sababu kanabebwa na Marekani...the world's only real super power. Ukibebwa na Marekani hakuana atakayekuweza. Ona Taiwan inavyoipasua kichwa China...bila Marekani Taiwan ingekuwa chini ya China sasa hivi.
what I know Israel and US ni mutual friends!
Yaani kuna vitu US anategemea toka Israel vivyo hivyo na Israel kuna vitu anategemea toka kwa m-US! ndio maana bajeti ya US ya kila mwaka ina fungu maalumu kwa ajili ya wayahudi na kama wakipanga kidogo mwaka husika wayahudi huwa wananuna sana lakinipia ikumbukwe pia siku zote US huwa hawawezi au wanakwepa kuwakasilisha wayahudi kwa lolote.
Sasa amua mwenyewe nani mkali achilia mbali usuperpower!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
Israeli kuitumia USA kwa maslahi yake nadhani kuna hoja.....ila Kuhusu uweza wa yoote, naona umetia chumvi mzee na Mungu ni Muweza wa nini? Ila ninavyojua kuna watu kwa imani yao wanaamini kuwa wayahudi ni taifa la mungu....limebarikiwa na mungu baraka maalumu na alibarikie taifa hili atabarikiwa, alilaanie taifa hili nae atalaaniwa!...wanaamini hivyo na wanatoa mifano hai jinsi wanaoiapiza nchi hiyo ya wayahudi wanavyopata taabu!! n.k
Ni sawasawa tu na wanaoamini kuwa Saudi arabia ni nchi tukufu, na Makureshi ni kabila bora kabisa kati ya wanadamu!!!!!
Sasa ukianza kuingiliana na imani za watu...naamini na wewe una imani yako tena hizihizi za kurithi (kulazimishwa)toka ng'ambo! utajisikiaje mtu akianza kukataa na kugoma kabisa kuwa unaamini ndicho sicho?
kwani wamarekani ni wepi!? Na ili mtu uitwe mmarekani uwe na vigezo vipi!? Kwasababu mi ninavyojua watu kabisa wa asili wa Marekani ni Red Indians na kwa sasa sidhani kama bado wapo! Na America ni united states, au kwanini Marekani asiibebe Comoro au Zanzibar!? Ukiona sehemu Marekani anadeal nayo ujue basi ana maslahi nayo pale kwa jews zile ni human resources, lakini uarabuni ujue ni Mafuta. Sijabisha kwamba Marekani ni super power, ni kweli Marekani ni super power na hakuna taifa linaloifikia, ila tunajaribu kuangalia je wawezeshaji ni kina nani? Tokea zile enzi za Hiroshima na Nagasaki, je Albert Einstein asingekuwepo ingekuwaje?
Swali la nani ni Mmarekani ni swali la kijinga. Kama kweli hujui piga simu State Department au Department of Justice uulize na watakuambia Mmarekani ni nani.
Itafute hapo U.S. Department of State
Mkuu nyani ngabu nakuheshimu siku zote . Ila kwa hapa umepotoka flat out .
kama ni taifa dogo kwa nini obama aliwaomba msamaha wafanyabiashara wa kiyahudi juu ya comments zake juu ya kuundwa kwa taifa la israel! alifyata! na urais angeusikia kwa kikwetet tu! utake ustake uchumi wa marekani wameshika wao! wanatoa mfuko wa kulia wanaweka kushoto!
Ndugu yangu Nyani Ngabu hakuna bingwa ajuaye siasa na uswahiba wa marekani na israel, hawa tuwaache hivyo hivyo usiumize kichwa kutaka kujua kati ya marekani na israel nani zaidi ila unachotakiwa kujua ni kuwa marekani na israel ni kama marafiki waliochanjiana damu na siri au manufaa ya urafiki wao wanajua wenyewe na kamwe hawatagombana, ukienda marekani utaona watu wa jamii ya kiyahudi ndio wenye makampuni makubwa na ndio wameshika njia kuu za uchumi za marekani, na vilevile huwezi kushinda urais marekani kama hujapata support kubwa ya jewish community, jiulize why? Israel huwa wanakiuka resolutions nyingi za UN lakini huwa hawachukuliwi hatua na hata ukisikia mmarekani anakemea israel inakuwa ni mkwara wa kuzuga ulimwengu actually inakuwa not serious, kwa kifupi israel inaipelekesha marekani, jaribu kufananisha boss na bouncer wake nani zaidi! boss harushi ngumi akishambuliwa inakuwa ni kazi ya bouncer kum protect, for that case israel=boss na marekani=bouncer.
Hao Waisrael wameenda kuchukua ma-Engineer wao na si kingine,
wale watu wanauwezo wa Kuifuta IRAN hata ndani ya Wiki 1.
Vita si kitu cha mchezo na Lazima nchi ijipange sawasawa wakati wa Vita na Baada ya Vita. Kitu kikubwa ni msaada kutoka kwa mataifa mengine. Kwa Asilimia kubwa ISRAEL ana Marefa wengi sanaaaaaa