Israel inaomba silaha!!

Nyani Ngabu

Platinum Member
Joined
May 15, 2006
Posts
97,150
Reaction score
137,125
Haya, wale wanazi wa Israel njooni muelezee hii ya wao kuomba silaha toka kwa Marekani. Si mnadaigi Israel ni super power....come and rationalize this one now!


Narudia tena, THE UNITED STATES OF AMERICA IS THE ONLY WORLD's SUPER POWER na kukilinganisha ki-Israel na Marekani ni sawa na kulinganisha kiroboto na tembo.
 

Kosa lipo wapi unapo muomba rafiki yako silaha. Mnazi mkubwa weee.
 
Halafu unakuta Bibi anakuja kifua mbele kwa Jaluo kutaka kumwonyesha yeye zaidi.
 
Kosa lipo wapi unapo muomba rafiki yako silaha. Mnazi mkubwa weee.

Hakuna kosa. Ila kuna watu humu bila hata soni eti wanasemaga Israel ni zaidi ya Marekani katika kila kitu ikiwamo uchumi, nguvu za kijeshi, influence, na kadhalika, kitu ambacho si cha kweli hata kidogo.
 
Chezeya Marekani uchanike msamba!
 
sasa wote ni marafiki, kama we Nyani ni mchizi wangu kwanini nisiombe unipe tafu!? Wote wale wanategemeana.
 
ni kweli Marekani ni taifa kubwa halina upinzani!? Lakini hebu jiulize kwanini wanapenda kuibeba Israel!

Hilo la wao kupenda kuibeba Israel sijui. Na hawaibebi Israel tu. Hata Taiwan wanaibeba na hata Uingereza wanaibeba kwa kiasi flani.

Lakini kwa yeyote mwenye akili timamu hawezi kamwe kuilinganisha Israel na Marekani. Marekani iko juu bana.

Netenyahu mwenyewe kaja kuomba silaha dhidi ya Ahmadinejad....chezeya Marekani wewe?
 
Sijui mimi. Nenda kawaulize wao.

sasa ulijuaje vya Israel vilikuwa made in Marekani, wakati kama sijakosea ile ndege iliyotumika kulipua zile ndege za waarabu pale egypt mwaka 1967 inasemekana ilikuwa ya Mrusi!
 
sasa ulijuaje vya Israel vilikuwa made in Marekani, wakati kama sijakosea ile ndege iliyotumika kulipua zile ndege za waarabu pale egypt mwaka 1967 inasemekana ilikuwa ya Mrusi!

Kumbe inasemekana hata haikuwa yao? Basi hawana lolote hao!
 
..hakuna vita ninayoitamani kama ya Israel vs Iran.

..hawa lazima watwangane ili tujue mbabe kati yao ni nani.

..yaani kitakachotafutwa hapo ni ushindi tu. hakuna masuala ya "winning the hearts and minds of ..." au ku-invoke geneva conventions etc etc.

..kwa sisi wapenda vita, za mataifa mengine of course, mpambao wa Israel vs Iran, ni sawa na mpambano wa Mayweather vs Paquia kwa wapenzi wa ndondi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…