Israel imewaita wanajeshi wa akiba

Israel imewaita wanajeshi wa akiba

Status
Not open for further replies.
Wewe ndio mjinga kama unadhani Israel kuwauwa watu wasio na hatia ndio vita, Israel ameingia vita hii kudai Hamas kauwa watu wake watatu wakati police wa Israel wamekanusha kama hao watu walisha kufa zamani tena kwa accident ya gari. Ujinga wako wewe unadhani nchi inayo bomoa majumba, na kuwauwa wanawake na watoto wachanga na wenye miaka 5 ndio kashinda vita. Ujinga wako wewe unadhani kurusha maboom na kuvunja power station za umeme na kuvunja Tv stations ndio kashinda vita. Ujinga wako wewe unadhani Israel ameshinda vita kwa kuwauwa watu wanao endesha magari ya ambulance ndio kashinda vita. Hamasi anatuonyesha anavyo wauwa wanajeshi wa Israel na Tv za Israel zinakubaliana na Hamas kuwa Hamas kaitilisha aibu Israel, wewe unakuja dai Israel kashinda vita. Mjinga kama wewe ndio anaweza kusema Israel ameshinda vita hii. Weka akilini Israel kasema anaingia vita kuzimaliza rocket za Hamas na Tunnel na hakuna hata rocket luncher moja kaweza kuionyesha kabomoa zaid ya kuonyesha vihandaka vilivyo kwenye mpaka wa gaza. We mjinga weka akilini sio Israel wala sio USA wanauwezo wakuziteketeza silaha za Hamas na Hamas wameisha sema Israel aote kama atashinda avita hii au kuzibomoa silaha zao hio kuwauwa watu wasio na hatia haita mpa ushindi Israel kama wanavyo sema Hamas, jeshi kama la kuku ndio wanakimbia kuuwa watoto wachanga na wanawake wanawakwepa wanaume kwenye uwanja wa vita.
Kijana unawajua washabiki maandazi kwenye mpira.. Basi wewe ni shabiki andanzi., ni mpuuzi kama wewe ambaye sijui habar zako za kahawa unaleta jf hapa.. Yani i24 news, aljazeera, bbc, sky, hamas television, France news waongo ..acha uongo kijana, usitumie mihemko ya kidini kutetea upuuzi. Tuombee Vita iishe la sivyo hamas au wana kaani wataisha
 
Wewe ndio mjinga kama unadhani Israel kuwauwa watu wasio na hatia ndio vita, Israel ameingia vita hii kudai Hamas kauwa watu wake watatu wakati police wa Israel wamekanusha kama hao watu walisha kufa zamani tena kwa accident ya gari. Ujinga wako wewe unadhani nchi inayo bomoa majumba, na kuwauwa wanawake na watoto wachanga na wenye miaka 5 ndio kashinda vita. Ujinga wako wewe unadhani kurusha maboom na kuvunja power station za umeme na kuvunja Tv stations ndio kashinda vita. Ujinga wako wewe unadhani Israel ameshinda vita kwa kuwauwa watu wanao endesha magari ya ambulance ndio kashinda vita. Hamasi anatuonyesha anavyo wauwa wanajeshi wa Israel na Tv za Israel zinakubaliana na Hamas kuwa Hamas kaitilisha aibu Israel, wewe unakuja dai Israel kashinda vita. Mjinga kama wewe ndio anaweza kusema Israel ameshinda vita hii. Weka akilini Israel kasema anaingia vita kuzimaliza rocket za Hamas na Tunnel na hakuna hata rocket luncher moja kaweza kuionyesha kabomoa zaid ya kuonyesha vihandaka vilivyo kwenye mpaka wa gaza. We mjinga weka akilini sio Israel wala sio USA wanauwezo wakuziteketeza silaha za Hamas na Hamas wameisha sema Israel aote kama atashinda avita hii au kuzibomoa silaha zao hio kuwauwa watu wasio na hatia haita mpa ushindi Israel kama wanavyo sema Hamas, jeshi kama la kuku ndio wanakimbia kuuwa watoto wachanga na wanawake wanawakwepa wanaume kwenye uwanja wa vita.

du isee kuna watu wazalendo... unaongea as if uko gazza... inakuwaje Mtanzania unakuwa shabiki wa hamasi/ Israel kiasi hicho. ok lets say hamasi/israel ameshinda... wewe mbogo wa tandale unapata faida gani. inachopaswa ni kuwaombea hawa wenzetu waache kuuwana, awe Palestinian or Jewish amekufa ni binadamu huyo na hastahili kuuwawa kwa sababu yeyote
 
Sasa ikiwa kuua huku kwa wiki 3 tayari anaomba msaada ww silaha na ammunitions..na hapa anapigana mgambo tu...sio jeshi lililo funzwa kisawa sawa ...
Ina maana wayahudi wameangusha tons kwa tons ya mabimu huko gaza.
Na bado hawajafanikiwa.
Wameita askar wa akiba na sasa wana askari 100,000
Kupambana na mgambo 3000 !
Ndii maana walipopambana na hizbolah wwlikimbilia suluhu haraka..
 
Nani aliwateua....???? mnawapa bichwa tu ili wawaue watu wasio na hatua.

Sio kuwapa bichwa, kiukweli wale wayahudi wanauwezo mkubwa sana wa kila kitu, hao magaidi wa hamas wacha wapigwe tu.
 
wateule hawawezi kuwa wauwaji labda wateule kwa shetani
 
Sasa ikiwa kuua huku kwa wiki 3 tayari anaomba msaada ww silaha na ammunitions..na hapa anapigana mgambo tu...sio jeshi lililo funzwa kisawa sawa ...
Ina maana wayahudi wameangusha tons kwa tons ya mabimu huko gaza.
Na bado hawajafanikiwa.
Wameita askar wa akiba na sasa wana askari 100,000
Kupambana na mgambo 3000 !
Ndii maana walipopambana na hizbolah wwlikimbilia suluhu haraka..
Wameisha changanyikiwa wanaomba USA aingilie kusimamisha vita afu wanategemea wa Palestin wamini kama vita imesimamishwa, ili waende sokoni au kuwasearch ndugu zao wanawau, sa hawa watu wanashangaza sana. Mimi naona bora kuwe hakuna kusimamisha vita mpaa pale Israel atatangaza jamani nimeisha shindwa vita. Tatizo la Israel anajidai mwamba na uwamba hana, wange kuwa wamba wasinge uliwa na wanajeshi wa Hamasi wanne kikundi kizima kina control RADAR cha askari 10.
 
Wapigwe tu, kama Hamas wanaweza mziki wa Israel nao wavae sale kama za IDF uone mziki wakr
 
Vidume waliipita security ya israel wakamnyofoa mjeshi kutoka ndani ya kifaru wakaua wawili waka tokomea nae kwenye tunnels.
Hasira vunja hospitals
Vunja nyumba
Vunja schools
Ua watoto
Ua wanawake
Labda hapa wayshudi waue gaza yote lakini stori yao kwishne.
Hamas every second wanaimarika.
Thy will emerge more stting with support mpaka west bank
Wataita jeshi lote
Watakuja nato
Watakuja usa wenyewe but hamas are there to stay mpaka udhindi.
Kwao kufa kupigania haki yao ni jihad hivyo hakuna woga.
Unapigana na faith based army.
Jifunze taliban ilipigwa na nchi ngapi ?
Usa
England
Canada
Germany
Japan
Spain
Italy
Holland
Wwzungu wote dunia nzima kuliko Hitler alivo changiwa .leo jiulize nini wamepata ?
Jeee aftr 12 years huko afghanistsn taliban wamepotea?
In fact wame imarika zaidi juu ya hayo majeshi ya kikatili kuua watoto na wanawake.
Leo taliban ipo na hayo mataifa yapo katika tope zito hawatoki .
Hali ndio same na hamas wapo wataendelea kuwapo na wanazidi kupata nguvu..
.Inshaalahh wapate nguvu za ajab kuwashinda maadui wa Allah mayahudi walolaaniwa in generation Ameen
 
View attachment 174675
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom