USSR
JF-Expert Member
- Jul 15, 2015
- 12,222
- 28,939
Wamewaita askari wa akiba 3000 wengi wao wakiwa komdando wastafu kujiunga jipanga wakati ambao wanajeshi wa ardhini wakisogelea eneo la Gaza kwa kazi ya kutafuta makambi yote ya hamasi yaliyo ndani ya Gaza
Eneo la Lod ambalo ndio kitovu cha mashambulizi ndani ya Israel limetakiwa kuwaondoa raia wake ambao 89% ni waislamu kijificha kwenye mahandaki maalumu.
Komandoo wa zamani ambaye ni waziri mkuu wa Israel Benjamin Netenyah ameagiza mashambulizi makubwa full scale engage ndani ya Israel huku mpinzani wake wa kisiasa Gen Ben Gatz akionya serkal kushindwa kulinda raia wa Israel
Jamii ya waislamu waisrael imeonywa kutulia ambapo mkodo wa mapigamo unainuliwa .
Huenda kukawa na mauji makubwa kwani hamasi wanatumia raia kujificha na IDF imepanga kupambana mtu kwa mtu.
USSR
===
Israeli Defence Minister Benny Gantz ordered a "massive reinforcement" of security forces to help contain deadly internal unrest that has rocked mixed Jewish and Arab communities across the country.
"We are in an emergency situation due to the national violence and it is now necessary to have a massive reinforcement of forces on the ground, and they are to be sent immediately to enforce law and order," he said.
He specified the forces would be reservists from Israel's border police, a force that largely operates in the occupied West Bank.
The Barron's news department was not involved in the creation of the content above.