Israel imeshambulia kwa bomu 'base' ya Urusi nchini Syria?

Israel imeshambulia kwa bomu 'base' ya Urusi nchini Syria?

ISRAEL ATTACKS RUSSIAN AIRBASE IN SYRIA - RUSSIA WARNS CITIZENS "LEAVE ISRAEL IMMEDIATELY; GET OUT BEFORE IT'S TOO LATE"​


Hal Turner World October 03, 2024
ISRAEL ATTACKS RUSSIAN AIRBASE IN SYRIA - RUSSIA WARNS CITIZENS "LEAVE ISRAEL IMMEDIATELY; GET OUT BEFORE IT'S TOO LATE"'S TOO LATE"


Last night, Israel attacked a Russian airbase in Syria with missiles. This morning the Russian Government is telling its citizens "Leave Israel immediately; get out before it's too late."

The initial story covering the then-ongoing air strikes is HERE.

More than 30 missiles were fired at the Russians by Israeli aircraft and naval vessels. Russia returned fire.

With this morning's warning telling the approximately 1.5 MILLION Russian citizens to "Leave Israel immediately, get out before it's too late" it appears Russia is going to smash Israel with military strikes.

When Russia hits back - as is their right under common sense, and under International Law -- the U.S. may move to defend Israel, or to respond by attacking Russia. We all know how that ends.
Hakuna kitu hapo labda wawape Hizbula silaha ila sio wao kuyawasha Moja kwa moja.

Hata hiyo ya Myahudi.kupiga kambi ya Russia ilikuwa ni kuzuia silaha kwenda Kwa Hizb.
 
Anasapotiwa na USA na Western wote.

Juzi tuu hapo aliponyeshewa makombora na Iran ndege za USA na Uingereza zilifanya kazi ya kuzuia makombora
Siyo ndege,nimifumo ya ulinzi yenye uwezo wa kutungua makombora ya adui,mifumo hiyo ipo kwenye manowari za kivita (carriers).
 
Siyo ndege,nimifumo ya ulinzi yenye uwezo wa kutungua makombora ya adui,mifumo hiyo ipo kwenye manowari za kivita (carriers).
Nilisoma kabisa kwamba Royal fighters zilitumika kwenye oparesheni ya kuzuia makombora ya Iran.

Hiyo mifumo ni makombora ya interceptor yanayoweza kurushwa kutoka vibebeo tofauti tofauti zikiwemo ndege vita.
 
Putin hawezi kujisahau kiasi cha kushambulis Tel Aviv.

Vita vya Ukraine bado hali ngumu, kuanzisha tena vingine ni kujimaliza.
Siku zote nawasisitizia kwamba si Biden,Putin,wala Netanyahu au Zelensky anayeamua to go to war, hapana.Nations are gathered by Satan for war.So because of this fact,anything is possible,inategemea agenda za Revelation 16:13-14 puts it into context.

Ufunuo wa Yohana 16:13
[13]Nikaona roho tatu za uchafu zilizofanana na vyura, zikitoka katika kinywa cha yule joka, na katika kinywa cha yule mnyama, na katika kinywa cha yule nabii wa uongo.
[14]Hizo ndizo roho za mashetani, zifanyazo ishara, zitokazo na kuwaendea wafalme wa ulimwengu wote kuwakusanya kwa vita ya siku ile kuu ya Mungu Mwenyezi.
 
Siku zote nawasisitizia kwamba si Biden,Putin,wala Netanyahu au Zelensky anayeamua to go to war, hapana.Nations are gathered by Satan for war.So because of this fact,anything is ossible.
Upo sahihi. Gogu wa Magogu lazima wakusanyike kabla ya siku ile kuu. Mungu atusaidiekwani yajayo hayafurahishi.
 
Hal Turner World October 03, 2024

Last night, Israel attacked a Russian airbase in Syria with missiles. This morning the Russian Government is telling its citizens "Leave Israel immediately; get out before it's too late."

The initial story covering the then-ongoing air strikes is HERE.

More than 30 missiles were fired at the Russians by Israeli aircraft and naval vessels. Russia returned fire.

With this morning's warning telling the approximately 1.5 MILLION Russian citizens to "Leave Israel immediately, get out before it's too late" it appears Russia is going to smash Israel with military strikes.

When Russia hits back - as is their right under common sense, and under International Law -- the U.S. may move to defend Israel, or to respond by attacking Russia. We all know how that ends.

=============

Usiku wa Oktoba 2 hadi 3, ndege zisizo na rubani za Israel zilishambulia ghala la silaha karibu na Kambi ya Anga ya Khmeimim ya Urusi iliyoko katika Mkoa wa Latakia, Syria. Wakati huo huo, mashambulizi hayo hayakulenga moja kwa moja kambi ya anga ya Urusi, kulingana na ripoti ya Taasisi ya Utafiti wa Vita (ISW).

Video iliyotolewa Oktoba 3 inaonesha moto na milipuko ya pili usiku, ambayo huenda ilitokea karibu na Kambi ya Anga ya Khmeimim.

Shirika la Haki za Binadamu la Syria liliripoti mnamo Oktoba 3 kwamba mashambulizi ya ndege zisizojulikana yaliharibu ghala la silaha lililokuwa karibu na kambi hiyo karibu na mji wa Jableh. Shirika hilo lilidai kuwa mashambulizi ya ndege hizo yalifanyika wakati ambapo ndege za kijeshi za Israel zilikuwa eneo hilo, na kwamba mifumo ya ulinzi wa anga ya Syria na Urusi ilijaribu kukabiliana na makombora ya Israel kwa muda wa takriban dakika 40.

Mwanablogu mashuhuri wa kijeshi wa Urusi aliye na uhusiano na Kremlin alibainisha kuwa mifumo ya ulinzi wa anga ya Urusi iliwashwa. Alisema kuwa vikosi vya Iran na Syria vilikuwa vinatumia ghala hilo la silaha, na kwamba mashambulizi ya Israel hayakulenga Kambi ya Khmeimim.

ISW ilisema kuwa haikuweza kuthibitisha ni nani hasa aliyefanya shambulio hilo la Oktoba 3 huko Latakia.
Kazi ndio imeanza rasmi. Ila israel nyoko sana kwa kweli. Hivi kuna nchi inaweza muattack RUSSIA direct ukimuondoa israel na Us tu..?
 
Au ni kupe link mbalimbali zilizoreport?
Siyo kila link ina habari za ukweli. Media za Magharibi kama CNN,BBC,The Guardian,Sky News,DW hazikuripoti hilo tukio!
Jerusalem Post,The Times of Israel hayakuripoti.
RT haikuripoti,Press TV,Xhuan,havikuripoti.
Israel siyo Wajinga,wanaijua Russia vizuri hawawezi kufanya tukio kama hilo.
 
Dunia ilichorewa Russia kwenye karatasi akiionesha Russia ni kuubwa, na yeye Russia akajiona mkuubwa kiasi cha kutangaza kumaliza kazi ndani ya Ukraine kwa siku tatu tu kwa jinsi alivyojiangalia kwenye kioo na kujiona mkubwa.
Akaemda mbali zaidi akasema yeyite atakayemsaidia Ukraine hata kwa kujificha atakipata sawa na atakachopewa Ukraine.
Kutoka siku 3, sasa tunaelekea Mwaka wa tatu wanagombea mpaka na Ukraine baada ya majeshi yake yote na msafara wa km 64 aliyoyaingiza kibabe Kiev kufyekwa.

Hata haieleweki vita itaisha lini maana Ukraine maye kafanikiwa kuingia Russia na kuteka eneo
Hivi aliyesema Russia ataipiga Ukrain kwa siku 3 alikua Russia au USA? Hakuna siku hata 1 ambayo media, dola, KGB or serikali or any other senior officials wa Russia aliye tamka idadi ya siku kuimaliza Ukrain, nenda kafanye marejeo upya ya taarifa zako.
Kwa mtazamo wangu hadi sasa; I think kwasasa hapa duniani tunao wababe 2 tu, Russia na Israeli, wanapigana na zaidi ya nchi 1 na still uchumi wao upo stable; kibaya sasa these 2 wanataka kuingia vitani, finali haitanoga. Though hadi sasa bado siamini kama wawili hawa wanaweza zichapa, sio kwamba wanaogopana bali muda wao BADO wa kufanya hivo
 
Dunia ilichorewa Russia kwenye karatasi akiionesha Russia ni kuubwa, na yeye Russia akajiona mkuubwa kiasi cha kutangaza kumaliza kazi ndani ya Ukraine kwa siku tatu tu kwa jinsi alivyojiangalia kwenye kioo na kujiona mkubwa.
Akaemda mbali zaidi akasema yeyite atakayemsaidia Ukraine hata kwa kujificha atakipata sawa na atakachopewa Ukraine.
Kutoka siku 3, sasa tunaelekea Mwaka wa tatu wanagombea mpaka na Ukraine baada ya majeshi yake yote na msafara wa km 64 aliyoyaingiza kibabe Kiev kufyekwa.

Hata haieleweki vita itaisha lini maana Ukraine maye kafanikiwa kuingia Russia na kuteka eneo
Leta ushahidi wa aliyetamka siku tatu la sivyo utakuwa ni kasuku.
 
Back
Top Bottom