Kile tulichokuwa tunakiongea humu kimedhihirika sasa ambapo Netanyahu yuko huko US kuongea na Republican wameunge mkono. Democratic wamejiweka pembeni. Wamegoma kuingizwa kwenye vurugu. Kumbuka chama dola kwa sasa ni Democratic, hivyo kwa kujua ujinga wa hawa wapenda vita wameamua kuwapotezea.
Chanzo BBC Dira ya Dunia
Chanzo BBC Dira ya Dunia