Israel hawafi? Wana roho ya paka?

Israel hawafi? Wana roho ya paka?

Mkuu wale ni maroboti kwahiyo hata wakikatika shingo inajiunga upya hahha!!

Tukiachana na propaganda za kuficha vifo na kubania media ndani ya Israel ila wamejitahidi kuwekeza kwenye mahandaki kwahiyo missile ikiwa njiani taarifa inatoka dakika hata 5 kabla ya impact so ukichelewa umekula kwako ila ukiwahi inapunguza madhara.
 
Kwa hivyo 5 tu? Majeshi 3? Dah? Kumbe wanapukutika sana tu
Unatumia chanzo gani cha habari? Mpaka sasa ni zaidi ya Waizraeli 20 wametangulia kwa baba yao Izraeli mtoa roho za watu! Na hapa ni nje ya majeruhi lukuki walio kwenye hali tofauti tofauti.
 
Back
Top Bottom