EINSTEIN112
JF-Expert Member
- Oct 26, 2018
- 21,713
- 35,518
- Thread starter
- #41
Najua kwanini unataka Aljazeera ni kwakua chombo cha kiarabu na kinakupa unachotaka kuaminiAljazeera ni chombo cha habari chenye kutoa habari za uhakika km ulikua haujui hata BBC hawaingii ndani maana BBC walipoteza sifa hiyo mwaka huu kwa kutuhumiwa kutoa habari za uongo za kimataifa mwezi wa tatu.
HALAFU ARCHIEVE HAIDANGANYI NI VIDEO ZA MATUKIO YALIYOPITA KAKA.
ARCHIEVE HUWEZI KUICHAKACHUA HATA KIDOCHO.
NENDA ANGALIA.
Ni sawa na tuirekodi birthday yako kesha tuje kuionesha miaka kumi ijayo halafu ije article inayoelezea kuhusu birthday yako.
Kati ya hiyo article na video kuhusu birthday yako ipi itakua reliable source??????
Wacha nikurudishe shule kijana.
Katika source of history information archieve ni most reliable kuliko oral traditions pamoja na articles ama written documents ALJAZEERA NI CHOMBO CHA HABARI KINACHOTAZAMWA ULIMWENGU MZIMA.
NAKUULIZA USHAHIDI WA VIDEO NA WA MAANDISHI UPI UNAFANA ZAIDI???????
USIUKIMBIE UKWELI.
halafu niletee article inayozungumzia vita nzima usiniletee article nusu.