Israel ex-top spy reveals Mossad operations against Iran

Israel ex-top spy reveals Mossad operations against Iran

Israel haijawahi kushindwa na hao waarabu acha uongo wako. Mwaka 1973 ndio Israel waliteka Sinai na hawakuirejasha kwa Misri hadi Camp David Accord ilipofanyika na Misri kuitambua serikali ya Israel.

Baada ya waarabu kukubali kwamba hawawezi kuishinda Israel kwenye uwanja wa vita sasa karibu wote wamekubali kuitambua serikali ya Israel na kukubali yaishe.
[emoji1756][emoji1756][emoji1756][emoji1756][emoji41][emoji851]
 
hizo story si za kuziamini sana. inanikumbusha obama alikuwa akiangalia mauaji ya osama sebuleni live kumbe uongo. wanatengeza fear tu watu wawasifu na kuwaogopa kama comments zinavyowasifia hapa
 
The outgoing head of the Israeli spy agency Mossad has given a revelatory interview about the country's operations against Iran

Yossi Cohen gave details about the theft of Iran's nuclear archive.

The warehouse raid in 2018 ferried tens of thousands of documents out of the country to Israel.

He also hinted at Israeli involvement in the destruction of Iran's nuclear facility at Natanz, and the assassination of a nuclear scientist.

The most revelatory moments in the interview were about the theft of Iran's nuclear archive.

Mr Netanyahu revealed the stolen files at a press conference in 2018, which he said proved Iran once covertly tried to make nuclear weapons and had secretly retained the know-how - an allegation Iran denied.

Mr Cohen said in the interview that it took two years to plan the operation. In total 20 Mossad agents were involved on the ground - none of whom were Israeli citizens, the journalist Ilana Dayan said.

The spy chief watched the operation from a command centre in Tel Aviv. Agents broke into a warehouse and had to crack more than 30 safes, he said. As images of the trove appeared on screen, "there was incredible excitement for us all," he said, as quoted by The Times of Israel.

All operatives survived the raid and are well, he added, although some had to be extracted from Iran.

Like something from the pages of a thriller, Cohen describes how agents cracked safes before lifting tonnes of Iranian nuclear documents and getting them out the country while being chased.

Elsewhere, he comes closer than ever to admitting Israel sabotaged an underground Iranian nuclear site.

It also serves as a reminder to Israel's foes that the Mossad is willing to act deep behind what it considers to be enemy lines.

Israel has spoken openly about taking those tens of thousands of documents. But Mr Cohen also hinted at Mossad involvement in other operations long rumoured to have been the work of Israeli agents.

Early in the interview Mr Cohen spoke about the Iranian nuclear facility at Natanz.

Iran said that sabotage caused a fire at the uranium enrichment site in July 2020. A day after revealing new equipment in April this year, officials again said it had been sabotaged and had suffered major damage. Iran accused Israel of "nuclear terrorism" over the incident.

Mr Cohen told Ms Dayan that he knew the site well, and that he could take her to the cellar "where the spinning centrifuges are located". He then added: "Those that used to spin. Nowadays, the cellar doesn't look like it used to."

And he also spoke about Mohsen Fakhrizadeh. Iran's top nuclear scientist was assassinated on a road outside Tehran last November - an attack Iran publicly blamed on Israel.

'Machine-gun with AI' used to kill Iran scientist

Why was a top Iranian scientist assassinated?

The ex-Mossad chief did not confirm or deny involvement in the death. But he said the scientist was a target "for many years", adding that his scientific knowledge concerned the agency.

"If the man constitutes a capability that endangers the citizens of Israel, he must stop existing," he was quoted as saying, but added that someone could be spared "if he is prepared to change profession and not harm us any longer".

Jamaa wanajua viunga vyote vya vinu vya Iran.

Tunaposema Iran ni sawa na paka wa dukani muwe mnatuelewagaView attachment 1815992View attachment 1815993View attachment 1815994
Daaah safi
 
hizo story si za kuziamini sana. inanikumbusha obama alikuwa akiangalia mauaji ya osama sebuleni live kumbe uongo. wanatengeza fear tu watu wawasifu na kuwaogopa kama comments zinavyowasifia hapa
So Osama hakufa??? Wenzako wapo mbali saaana na kwa taarifa yako kila ndege vita jet fighter ina camera so rubani alitumwa mission wakuu wanamuona kama ume-hit target

Hulazimishwi kuamini
Screenshot_20210613-230339_Google.jpg
 
So Osama hakufa??? Wenzako wapo mbali saaana na kwa taarifa yako kila ndege vita jet fighter ina camera so rubani alitumwa mission wakuu wanamuona kama ume-hit target

Hulazimishwi kuaminiView attachment 1817887
mi sijasema ka osma hajafa. hata hivyo walimtangaza mara ngapi kama amekufa alafu wanakanusha kama kafa. hawa wanakuaga na propaganda za kutosha sana hata kuliko sisi. si kila kitu tuwaamini. wana msemo wao unasema, IF YOU CANNOT MAKE IT, FAKE IT.
 
We elewa tu kama Irani anachezewa saaaana kila sehemu
 
Walisema hivyo hivyo kwa inchi ya lebanon kwamba mji mkuu wa lebanon ni sebureni mwisho wasiku walipewa kichapo cha kufa mtu na kundi dogo la hezbullah ha ha ha ha nasema tena levo yao ni hamas huko kwengine hawapawez
Acha habar za kahawa wap na lini Lebanon kaipiga Israel? Au ndo au ndo mapenzi yakizidi chongo inaitwa kengeza [emoji1787]
 
Acha habar za kahawa wap na lini Lebanon kaipiga Israel? Au ndo au ndo mapenzi yakizidi chongo inaitwa kengeza [emoji1787]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] achana na hawa.......
 
hizo story si za kuziamini sana. inanikumbusha obama alikuwa akiangalia mauaji ya osama sebuleni live kumbe uongo. wanatengeza fear tu watu wawasifu na kuwaogopa kama comments zinavyowasifia hapa
Hapo ushashiba ugali wako na hina(mlenda)unajiongelea tu uongo wala huogopi[emoji15]na kitecno chako k7
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mkuu we jamaa muongo balaa ngoja nikupe facts

Baada ya kugaragazwa saana hadi wajaomba poo [emoji846][emoji846]waarabu walirudishiwa ardhi kwa mapatano sio vita

Sima hiyooooo halafu ukibisha uje na ushahidi sio mawazo yako
[emoji1313][emoji1313][emoji1313][emoji1313][emoji1313][emoji1313]

Israel’s victory came at the cost of heavy casualties, and Israelis criticized the government’s lack of preparedness. In April 1974, the nation’s prime minister, Golda Meir (1898-1978), stepped down

Although Egypt had again suffered military defeat at the hands of its Jewish neighbor, the initial Egyptian successes greatly enhanced Sadat’s prestige in the Middle East and gave him an opportunity to seek peace.

In 1974, the first of two Egyptian-Israeli disengagement agreements providing for the return of portions of the Sinai to Egypt were signed, and in 1979 Sadat and Israeli Prime Minister Menachem Begin (1913-92) signed the first peace agreement between Israel and one of its Arab neighbors. In 1982, Israel fulfilled the 1979 peace treaty by returning the last segment of the Sinai Peninsula to Egypt

(Baada ya kichapo hiki ndio maana humsikii kamwe Egypt akiingilia ugomvi wa Israel )

For Syria, the Yom Kippur War was a disaster. The unexpected Egyptian-Israeli cease-fire exposed Syria to military defeat, and Israel seized even more territory in the Golan Heights. In 1979, Syria voted with other Arab states to expel Egypt from the Arab League.
HAHAHHAHAHAHBABABA USINILETEE DÒCUMENT ZA UONGO ZA GOOGLE.
NENDA ALJAZEERA ANDIKA WAR OF OCTOBER UTALETEWA ARCHIEVE AMBAYO INAONESHA VITA ILOPIGANWA MWAKA 1973 NA KUISHA 1974 WEWE SI UNALETA ARTICLE MIE NAKUPA LIVE STREAM ALJAZEERA KAANGALIE.
NA WAZIRI MKUU ALIKUA ANAITWA GOLDA MEIR.
AYA VIPI KUHUSU HIZO VITA ZINGINE MBONA HAUJAZIDADISI???
UMEAMUA KUCHOMOKEA HAPO KWA MUISRAELI???
KAMA HAUJUI WATU WASHASTUKIA HISTORIA INAPOTOSHWA NDIO MAANA SIKU HZ WANALETA ARCHIEVES ZIANGALIWE.
NENDA ALJAZEERA ANDIKA WAR OF OCTOBER UTAONA VITA NZIMA ILIPOPIGANWA
 
Kwanini ALJAZEERA???
🙂 🙂 🙂 🙂 🙂 We jamaa wa ajabu sana google na Ajazeera ipi ina facts??
 
Kwanini ALJAZEERA???
Aljazeera ni chombo cha habari chenye kutoa habari za uhakika km ulikua haujui hata BBC hawaingii ndani maana BBC walipoteza sifa hiyo mwaka huu kwa kutuhumiwa kutoa habari za uongo za kimataifa mwezi wa tatu.
HALAFU ARCHIEVE HAIDANGANYI NI VIDEO ZA MATUKIO YALIYOPITA KAKA.
ARCHIEVE HUWEZI KUICHAKACHUA HATA KIDOCHO.
NENDA ANGALIA.
Ni sawa na tuirekodi birthday yako kesha tuje kuionesha miaka kumi ijayo halafu ije article inayoelezea kuhusu birthday yako.
Kati ya hiyo article na video kuhusu birthday yako ipi itakua reliable source??????
Wacha nikurudishe shule kijana.
Katika source of history information archieve ni most reliable kuliko oral traditions pamoja na articles ama written documents ALJAZEERA NI CHOMBO CHA HABARI KINACHOTAZAMWA ULIMWENGU MZIMA.
NAKUULIZA USHAHIDI WA VIDEO NA WA MAANDISHI UPI UNAFANA ZAIDI???????
USIUKIMBIE UKWELI.
halafu niletee article inayozungumzia vita nzima usiniletee article nusu.

🙂 🙂 🙂 🙂 🙂 We jamaa wa ajabu sana google na Ajazeera ipi ina facts??
 
Back
Top Bottom