Israel bila Marekani na sawa na M23 bila Rwanda

6 Pack

JF-Expert Member
Joined
Apr 17, 2022
Posts
3,749
Reaction score
8,215
Niaje waungwana

Ukiangalia vita anazopigana Muisrael pale Mashariki ya kati, utakubaliana na mimi kwamba anazopigana zina mkono mkubwa wa Marekani.

Kuanzia silaha, bajeti ya jeshi, madawa ya kutibu majeruhi wa kivita, vyote vinatoka vinatoka Marekani. Inawezekana hata hao wanajeshi wanaopigana na kuendesha ndege za kivita za Israel ni wamarekani wanaojificha kwenye uisrael ili kuihadaa dunia isitambua kwamba ni Marekani ndio inayopigana kwa ajili ya Israel.

Ilishangaza wengi pale Netanyahu alipoanza kutoautiana na Biden kisa aliweka zuio la kuitumia Israel baadhi ya silaha ili ipambane na Hamas. Hivi kweli nchi yenye nguvu za kweli za kijeshi mfano wa China, au Russia inaweza kutoka hadharani kulalamikia nchi nyingine hadi kupelekea kutoelewana vizuri na kiongozi wa nchi hiyo eti kwa sababu ya kunyimwa silaha za kupambana na kikundi cha wanamgambo wasiozidi elf 20, tena wanaotumia rocket na bunduki za kawaida. Hawana ndege za kivita, nyambizi za jeshi, vifaru, mitambo ya kuzuia makombora wala jeshi lenye wanajeshi zaidi ya laki 2.

Sasa hii operation yao walioanzisha juzi imeshaanza kuwatokea puani. Wanaanza kuomba tena Marekani na washirika wengine waingilie kati kuwasaidia. Hivi ukiona bondia kama Mayweather anawaita kina Lenox Lewis, na Mike Tyson waingie ulingoni kumsaidia kupambana na Tyson Fury bado utaendelea kukaa unaangalia pambano na kudai mbele ya watu tena bila aibu kwamba Mayweather ni bondia mzuri na wakati kila anapoingia ulingoni huomba usaidizi wa kupigana na adui yake?

Hii vita ya sasa ndio imefanya watu wengi waone kuwa Israel haina tofauti na M23 ambayo haiwezi kushinda vita bila backup kubwa ya Rwanda kijeshi na kisilaha.

Now Netanyahu ashaanza kuzitumia Uingereza, Ufaransa na Ujerumani kisiri siri ili zimuite muiran, kumtaka wajadiliane kuhusu swala la nyuklia, pengine itasaidia Iran kupunguza au kuacha kabisa kuwapa kichapo ambacho hawakuwahi kukutana nacho tangu kuumbwa kwa dunia hii.

Ile mikwara ya sijui Israel imeshatawala anga la Iran na kwamba utawala wa Iran unaenda kuisha usiku mmoja hazina tena nguvu. Badala yake tunaona ni iran kutawala anga la Israel kwa kuchagua pa kujipigia kila siku bila kizuizi chochote, saa yoyote na mkoa wowote.
 
Mods unganisheni huu uzi na ule wa updates
 
Israel anaomba warabu wa Gulf states wampe pesa anawambia Iran ni adui yao wote wawili na wao ndio wamemsababisha aingie vita hahaha. Analia eti kwa siku anapoteza 400 Million US $

Sidhani kama Kuwait na Oman watampa pesa labda hao UAE, Qatar, Saud Arabia na Baharain
 
Kalale sasa sio kila kinacho kujia kichwani unaandika tu, utafikiri tupo kwenye vijiwe vya wavuta bangi bana!! Ebooo!!
 
Wa Iran kama wajaluao wa kenya wao kila siku kuandamana.
 
Ujinga mwingine bhana!

wabongo ni watu wabishi kwa mambo ya kipumbavu sana
 
Niaje waungwana

Ukiangalia vita anazopigana Muisrael pale Mashariki ya kati, utakubaliana na mimi kwamba anazopigana zina mkono mkubwa wa Marekani.

Kuanzia silaha, bajeti ya jeshi, madawa ya kutibu majeruhi wa kivita, vyote vinatoka vinatoka Marekani. Inawezekana hata hao wanajeshi wanaopigana na kuendesha ndege za kivita za Israel ni wamarekani wanaojificha kwenye uisrael ili kuihadaa dunia isitambua kwamba ni Marekani ndio inayopigana kwa ajili ya Israel.

Ilishangaza wengi pale Netanyahu alipoanza kutoautiana na Biden kisa aliweka zuio la kuitumia Israel baadhi ya silaha ili ipambane na Hamas. Hivi kweli nchi yenye nguvu za kweli za kijeshi mfano wa China, au Russia inaweza kutoka hadharani kulalamikia nchi nyingine hadi kupelekea kutoelewana vizuri na kiongozi wa nchi hiyo eti kwa sababu ya kunyimwa silaha za kupambana na kikundi cha wanamgambo wasiozidi elf 20, tena wanaotumia rocket na bunduki za kawaida. Hawana ndege za kivita, nyambizi za jeshi, vifaru, mitambo ya kuzuia makombora wala jeshi lenye wanajeshi zaidi ya laki 2.

Sasa hii operation yao walioanzisha juzi imeshaanza kuwatokea puani. Wanaanza kuomba tena Marekani na washirika wengine waingilie kati kuwasaidia. Hivi ukiona bondia kama Mayweather anawaita kina Lenox Lewis, na Mike Tyson waingie ulingoni kumsaidia kupambana na Tyson Fury bado utaendelea kukaa unaangalia pambano na kudai mbele ya watu tena bila aibu kwamba Mayweather ni bondia mzuri na wakati kila anapoingia ulingoni huomba usaidizi wa kupigana na adui yake?

Hii vita ya sasa ndio imefanya watu wengi waone kuwa Israel haina tofauti na M23 ambayo haiwezi kushinda vita bila backup kubwa ya Rwanda kijeshi na kisilaha.

Now Netanyahu ashaanza kuzitumia Uingereza, Ufaransa na Ujerumani kisiri siri ili zimuite muiran, kumtaka wajadiliane kuhusu swala la nyuklia, pengine itasaidia Iran kupunguza au kuacha kabisa kuwapa kichapo ambacho hawakuwahi kukutana nacho tangu kuumbwa kwa dunia hii.

Ile mikwara ya sijui Israel imeshatawala anga la Iran na kwamba utawala wa Iran unaenda kuisha usiku mmoja hazina tena nguvu. Badala yake tunaona ni iran kutawala anga la Israel kwa kuchagua pa kujipigia kila siku bila kizuizi chochote, saa yoyote na mkoa wowote.
Mkuu jiandae,kuna yahudi wa jf humu,watakushambulia kwa maneno,nakushauri tu wavumilie wakianza mashambulizi, maana ni kawaida yao,
 
Ni kujichosha akili tu kutaka/kuombea/kutamani USA isiwe kitu kimoja na Israel.Matumizi mabovu ya matamanio.
 
Niaje waungwana

Ukiangalia vita anazopigana Muisrael pale Mashariki ya kati, utakubaliana na mimi kwamba anazopigana zina mkono mkubwa wa Marekani.

Kuanzia silaha, bajeti ya jeshi, madawa ya kutibu majeruhi wa kivita, vyote vinatoka vinatoka Marekani. Inawezekana hata hao wanajeshi wanaopigana na kuendesha ndege za kivita za Israel ni wamarekani wanaojificha kwenye uisrael ili kuihadaa dunia isitambua kwamba ni Marekani ndio inayopigana kwa ajili ya Israel.

Ilishangaza wengi pale Netanyahu alipoanza kutoautiana na Biden kisa aliweka zuio la kuitumia Israel baadhi ya silaha ili ipambane na Hamas. Hivi kweli nchi yenye nguvu za kweli za kijeshi mfano wa China, au Russia inaweza kutoka hadharani kulalamikia nchi nyingine hadi kupelekea kutoelewana vizuri na kiongozi wa nchi hiyo eti kwa sababu ya kunyimwa silaha za kupambana na kikundi cha wanamgambo wasiozidi elf 20, tena wanaotumia rocket na bunduki za kawaida. Hawana ndege za kivita, nyambizi za jeshi, vifaru, mitambo ya kuzuia makombora wala jeshi lenye wanajeshi zaidi ya laki 2.

Sasa hii operation yao walioanzisha juzi imeshaanza kuwatokea puani. Wanaanza kuomba tena Marekani na washirika wengine waingilie kati kuwasaidia. Hivi ukiona bondia kama Mayweather anawaita kina Lenox Lewis, na Mike Tyson waingie ulingoni kumsaidia kupambana na Tyson Fury bado utaendelea kukaa unaangalia pambano na kudai mbele ya watu tena bila aibu kwamba Mayweather ni bondia mzuri na wakati kila anapoingia ulingoni huomba usaidizi wa kupigana na adui yake?

Hii vita ya sasa ndio imefanya watu wengi waone kuwa Israel haina tofauti na M23 ambayo haiwezi kushinda vita bila backup kubwa ya Rwanda kijeshi na kisilaha.

Now Netanyahu ashaanza kuzitumia Uingereza, Ufaransa na Ujerumani kisiri siri ili zimuite muiran, kumtaka wajadiliane kuhusu swala la nyuklia, pengine itasaidia Iran kupunguza au kuacha kabisa kuwapa kichapo ambacho hawakuwahi kukutana nacho tangu kuumbwa kwa dunia hii.

Ile mikwara ya sijui Israel imeshatawala anga la Iran na kwamba utawala wa Iran unaenda kuisha usiku mmoja hazina tena nguvu. Badala yake tunaona ni iran kutawala anga la Israel kwa kuchagua pa kujipigia kila siku bila kizuizi chochote, saa yoyote na mkoa wowote.
nilicheka sana swala la hawa mafala kusema wametawala anga la muajemi,israeli na USA viazi sana
 
Back
Top Bottom