Je nilini sisi watanzania tutafika hapa?Rais kama akivunja sheria za nchi atashitakiwa akiwa madaraka.? Ndio maana vyeo vingine visihusishwe kwa kuchaguliwa na Raisi. Ili kuipa makali sheria.Sheria zetu ni butu, ndio maana watawala wana tuburuta watakavyo.
========
Waziri mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu anahojiwa na polisi kwa tuhuma za ruswa zinazomkabili.
Netanyahu amekana kuhusika katika jambo hilo, huku akisema malalamiko yanayotolewa kwa yeye kupokea zawadi kutoka kwa wafanyabiashara mbalimbali ni uongo.
Televisheni imewekwa nyumbani kwake kuonyesha wapelelezi hao wakimuhoji.
Tekelezo hilo ni kwa amri ya mwanasheria mkuu wa Israel
Netanyahu na mke wake Sara wamehusishwa katika kashfa mbalimbali kipindi cha nyuma, ikiwemo tuhuma za matumizi mabaya ya fedha za serikali.
Chanzo: BBC Swahili