Isome tu utapata funzo katika maisha yako ya kimahusiano

Imekaa ya kufikirika zaidi , ungeiedit kidogo ivae taswira ya uhalisia.
Kuna kaajali nilipata Mwenyezi Mungu akaaniokoa kwa kufunga mkanda na airbag hivyo nikatoka na majeraha kidogo. Nashukuru sana Mwenzi wangu alikuwa bega kwa bega na mimi Mara tu alipopata hizo taarifa za ajali yangu.
Kujaliana kwenye shida na matatizo ni jambo la msingi sana kwenye mahusiano.

Mkuu nimeicopy mahali jinsi ilivyo, sikuweza kuedit maana sijajua chanzo chake whether ni story ya kweli ama ya kufikirika ili kufikisha ujumbe flan. All in all kuna funzo kubwa katika hii story
 
Ni kweli kuna makumbusho na mafundisho.
 
Maandiko yana tuasa kuwalea hawa wanawake kwa umakini mkubwa....kwa kuwa ni viumbe dhaifu
 
Wewe kila siku unataka watu wakufafanulie hii jambo, kuna mtu umewekeza kwake nini???????????

Hapana ndio nataka kuwekeza mkuu,thats y nimeomba ufafanuzi...si unajua bora nusu shari kuliko shari kamili?
 
Mkuu nimeicopy mahali jinsi ilivyo, sikuweza kuedit maana sijajua chanzo chake whether ni story ya kweli ama ya kufikirika ili kufikisha ujumbe flan. All in all kuna funzo kubwa katika hii story

Kama niyakweli unahisi huyo mwanamke atakuwa wa wapi?
 
Hapana ndio nataka kuwekeza mkuu,thats y nimeomba ufafanuzi...si unajua bora nusu shari kuliko shari kamili?

Wekeza tu mkuu kwani nini?? hasara roho pesa makaratasi tu.
Inategemea roho ya mtu, usiache kumsaidia mtu kwakusikiliza ya watu.
 
Wanawake bhana

CC Heaven Sent
Wanawake tumefanyaje? Hakuna wanawake wanaotendwa na waume au wapenzi wao? Ni wanawake wangapi wamehangaika na wanaume zao wakati wote wakiwa Hawana Mbele wala Nyuma, but once wanaume zao wakifanikiwa wanavyoanza kuwadharau wale wake/ wachumba zao walioawavumilia wakati wanahustle?
Just omba tu yasikukute
 
Huyo ni mmoja tu kati ya wanaume wengi sana wanaoteseka kimya kimya. Ila nadhani wanaume do not love for a reason. They simply fall in the pit for (some) status.I for one am not spared.
 
Wanawake tumefanyaje? Hakuna wanawake wanaotendwa na waume au wapenzi wao? Ni wanawake wangapi wamehangaika na wanaume zao wakati wote wakiwa Hawana Mbele wala Nyuma, but once wanaume zao wakifanikiwa wanavyoanza kuwadharau wale wake/ wachumba zao walioawavumilia wakati wanahustle?
Just omba tu yasikukute

You are my success
 
Back
Top Bottom