Isome barua hii ya kushangaza, kuhuzunisha huenda ni ya kwako uliidondosha

Mtunzi, stori inahusu hii. Lakini naomba nijitetee, tulikubaliana tumalize shule kwanza, watoto tusingeweza kulea. Kuhusu Bernard, hako kagonjwa kakucheat sijui nani kakuambukiza ,usikate tamaa sio mwisho wa dunia, tuanze dawa...

P.S- Pls, happily ever after ending, nxt tym,eenh!!
 
''Hakika hujakosea maana nilikuwa Malaya katika chumba chako, chumba ulichonifanya utakavyo tena kila siku''

Hii inasisimua sana
 
''Hakika hujakosea maana nilikuwa Malaya katika chumba chako, chumba ulichonifanya utakavyo tena kila siku''

Hii inasisimua sana

Hapo ndipo unapoamini kuwa ni namna gani baadhi ya wadada wanapenda wanapenda wanaume kupitiliza. Halafu sisi wanaume tunaponzwa na tamaa za kijinga.
JAMANI TUBADILIKE.
 
Hili liwe fundisho kwa kina dada, kwani huwa wajisahau sana wakiwa kwenye mahisiano. Wanatakiwa waangalie mbali zaidi.
 
Hayo mengine yote nakubali lakini hilo la mati kua makubwa na ndala sio mimi..na yule binti nilitumia zana..
 
fundisho kwetu wadada ni kwamba hata uumpe nini mwanaume , lazima aende nje na mwisho wa siku anakuona una thamani tena.
 

A SAD LOVE LETTER

Najua hautamani kusikia lolote kutoka kwangu kwa kuwa sina thamani tena kwako, thamani niliyokuwanayo kabla hujanipatia ujauzito mara mbili zote ukanisihi nitoe. Kwa sababu ninakupenda nilifanya yote unayotaka. Ulipodai kuwa ukitumia kondom hujisikii raha sikuogopa kuibeba mimba ya tatu nilikuambia fanya unavyotaka.
Nilifanya haya nikiamini kuwa nalinda penzi langu kwako!!!
Naumia sana leo unaponiita mkimi Malaya!!! Mjinga tena mshamba!! Hakika hujakosea maana nilikuwa Malaya katika chumba chako, chumba ulichonifanya utakavyo tena kila siku, huku jukumu la kukisafisha ukiniachia mimi, kweli nilikuwa mjinga sana kwa kukulilia hata pale ulipokuwa umenikosea waziwazi na nilikuwa mshamba kwa kuwa ni wewe uliyenifundisha kufanya mapenzi kwa kutumia kila kiungo cha mwili wangu.

Hapo kwenye RED, she is a stupiloto (yani too much stupidity)! Angemwambia akamuue mama yake hopeful angemuua!
Kwenye blue, nawasihi wadada sometimes ktk mapenzi msiwe WAJINGA JAMANI!Keshakutoa mimba mbili, unajua hauko safe, afu unamkubalia akunanihii kavu kavu eti kisa unampenda, haileti maana.
Yellow hapo ndo amenitisha kabisaaa huyo mwandishi, ina maana alikuwa anatumia mtandao wa express yourself pia! Si alifundishwa kutumia kila kiungo?

Wanawake msijisahau saaaana mnapokuwa kwenye mahusiano hadi kufikia mnafanya vitu vya hatari ktk maisha yenu. Mume/mpenzi ni mtu wako wa karibu, sawa ila kila siku hili liwe vichwani mwenu kuwa BINAADAMU YEYOTE ASILI YAKE NI KUBADILIKABADILIKA, HASA SIE MASCULINE! Mkilijua hilo BE READY FOR ANYTHING AT ANYTIME!SIMAANISHI KUWA MSIWAPENDE WAUME/WAPENZI WENU ILA KUWENI MAKINI KATIKA KUWAPENDA NA KATIKA KUWAPENDA HUKO MSIKUBALI KUUDHALILISHA UTU WENU!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom