Karim Mussa
Member
- May 6, 2019
- 21
- 5
sawa yajayo yote yatakuwa kwa kiswahiliUngeweka kwa Kiswahili.
Mm ni wale shule tulikuwa tunauza Ubuyu wa Mwl
Asante kwa taarifa .... lakini kwa muujibu wa Dini yetu hii ya Uislamu Mtoto wa nje ya ndoa hana fungu wala harithi upande wa BABA, Because Any child bornout of wedlock is an illegal child. There is no mutual right of inheritance between him /her and the purported father.Yaa Kweli kabisa! Nakumbuka Mshua alifariki 2009 kutokea Arusha tukaenda kuzika Tanga Nipo mimi na mdogo wangu wa kike! Kipindi hcho tulkua under 16, Baba aliacha mali kadhaa Tulishkuru mungu Upande wa baba Walkua poa kabisa Mali ziligawanywa kwa sisi watoto tu(yani mimi na mdogo wangu wa kiki) Mgawanyo ulkua kwa asilmia...
Ya hyo naelewa kabisa! Ndo maana hpo Nmeleza kwa sasa tushakua watu wazìma Tunaweza tukatoa maamuzi aslong tunatambua mali ni zetu! Na tunaona Copy yetu ipo nje Syo mbaya kumpatia % kadhaa!.Na uzuri wao hawakuleta shida nyingi kipindi mirathi inagawanywa! Nadhan walitambua hyo sheria....Asante kwa taarifa .... lakini kwa muujibu wa Dini yetu hii ya Uislamu Mtoto wa nje ya ndoa hana fungu wala harithi upande wa BABA, Because Any child bornout of wedlock is an illegal child. There is no mutual right of inheritance between him /her and the purported father.
She / he can inherit from the mother and vice versa, hapo nazani utakuwa umepata nyongeza hio endapo Huyo dada enu ni Mtoto wa nje ya ndoa.
Anhaaa tuko Pamoja sanaYa hyo naelewa kabisa! Ndo maana hpo Nmeleza kwa sasa tushakua watu wazìma Tunaweza tukatoa maamuzi aslong tunatambua mali ni zetu! Na tunaona Copy yetu ipo nje Syo mbaya kumpatia % kadhaa!.Na uzuri wao hawakuleta shida nyingi kipindi mirathi inagawanywa! Nadhan walitambua hyo sheria....
Yaa Kweli kabisa! Nakumbuka Mshua alifariki 2009 kutokea Arusha tukaenda kuzika Tanga Nipo mimi na mdogo wangu wa kike! Kipindi hcho tulkua under 16, Baba aliacha mali kadhaa Tulishkuru mungu Upande wa baba Walkua poa kabisa Mali ziligawanywa kwa sisi watoto tu(yani mimi na mdogo wangu wa kiki) Mgawanyo ulkua kwa asilmia!
Ya hyo naelewa kabisa! Ndo maana hpo Nmeleza kwa sasa tushakua watu wazìma Tunaweza tukatoa maamuzi aslong tunatambua mali ni zetu! Na tunaona Copy yetu ipo nje Syo mbaya kumpatia % kadhaa!.Na uzuri wao hawakuleta shida nyingi kipindi mirathi inagawanywa! Nadhan walitambua hyo sheria....
habari,je kuvunjika kwa ndoa ya kiislamu mkeanahaki ya kugawan mali ikiwa yeye ni mama wa nyumbani na mme ni mtumishi wa serikali na mfano nyumba imejengwa kwa mkopo wa benki dhana ikiwa ni mshahara wa mme....naomba majibu
habari....,Swali;
Mwanaume ameishi na Mwanamke wa kwanza akazaa nae watoto wawili wa kwanza wa kiume, wa pili wa kike, wakaachana.(Hakumuoa)...
Aiseehabari....,
watoto wa nje ya ndoa na mwanamke wa nje ya ndoa (hawala) hawana haki yoyote katika mirathi kwa muujibu wa kiislamu kwa muujibu wa hadithi sahihi ya Mtume (s.a.w)...