ISIS yatanganza Vita kali dhidi ya Hamas

ISIS yatanganza Vita kali dhidi ya Hamas

Hii dini Inazidi kuniacha hoi kabisa..
Yaan wao kwa wao wanaanza kuuana.. Huyo mtume wao mohammad sijui aliwafundisha hivyo.?
Ni kichaa pekee atakayeweza kuiamini hii dini
Kama walivyo vichaa waumini wa ile dini inayohamasisha ushoga, ukatili, dharau, kujiona na viongozi wao kuwalawiti waumini wao vijana...
Hapa Tanzania wanaongoza kwa kujisifu wamesoma, ukiwauliza taifa limefaidika mini kwa kusoma kwao hawana jibu..

Wamejazana serekalini kazi kubwa waliyofanya kwa miaka 50 ni ufisadi tuu
 
Waislamu bana?! Yaani wanatushangaza sana, tumekuna vichwa mpaka vipara sasa, hatupati majibu ya mienendo yao...
Hii ni dini ya haki.. Mashetani wa kibinadamu na kijini wanapambana sana kuiangusha lakini wameshindwa. Shetani hawezi hangaika na dini zingine kwani tayari hao ni wake
 
Kwa hiyo Israel ni Waislamu zaidi kuliko HAMAS??? Hizi siasa hizi. Mungu atuongoze kwa kweli maana hii dunia kuna watu wanapenda sana kumwaga damu za watu kwa maslahi binafsi.
 
160420175729-isis-in-libya-1-large-169-jpg.694730

Hawa wahuni wanapataje vifaa, kama haya magari na vinginevyo?
 
160420175729-isis-in-libya-1-large-169-jpg.694730

Hawa wahuni wanapataje vifaa, kama haya magari na vinginevyo?
Mi huwa najiuliza kitu. Hivi huyu mungu wao ni mpenda vita na mchukia amani? Yaani maisha yao ya dini yapo kama kaini na Abel. Sasa sijui kuwa mfano mtu anakuja anataka ubadili dini inayoitwa ya HAKI halafu ukishabadili dini anakwambia shika silaha, pambana na waumini wenzako wenye mrengo wa kutofautiana kidogo tu na wewe, hapo ndo utastaajabu. Kwamba umekuja kumuomba mungu au umeletwa vitani?

Ndo maana yumkini mtu mwenye akili zake anaambiwa kuwa kiongoz wa dini KAOA WAKE 11,WEWE UNAAMBIWA OA MWISHO WAKE 4,KWA NINI USIHOJI KULIKONI? tena yeye ndo mleta dini na eti kashushiwa kitabu kitakatifu?

Poleni sana kwa imani hii ya haki. Mi najua isingekuwepo hii dini, dunia ingeishi bila vita. Hapa hakuna dini bali ni vita tu. Sasa ona wanadharauliana wenyewe kwa wenyewe.
 
Mi huwa najiuliza kitu. Hivi huyu mungu wao ni mpenda vita na mchukia amani? Yaani maisha yao ya dini yapo kama kaini na Abel. Sasa sijui kuwa mfano mtu anakuja anataka ubadili dini inayoitwa ya HAKI halafu ukishabadili dini anakwambia shika silaha, pambana na waumini wenzako wenye mrengo wa kutofautiana kidogo tu na wewe, hapo ndo utastaajabu. Kwamba umekuja kumuomba mungu au umeletwa vitani?
Fred,
Hakuna kitu kibaya kama kuwa extremist, Violence ndio unaona solution ya kutekeleza kile unachokiamini, Mimi najiuliza mambo yafuatayo
1. kwani lazima Dunia yote iwe dini moja
2.Mungu tunayemwani hana nguvu mpaka apiganiwe?
3.Unawezaje kwenda mbinguni kwa kuua wengine, au wewe kujilipua?
4.Ukimuua mtu mwenye imani tofauti na yako wewe unapata nini?
All in all Imani ikzidi inaleta kitu kibaya, angalia kule Myanmar na ubaguzi wa waislamu wa Rohingya, Inaleta huzuni sana.
Kichaka cha imani kali kisiwe chuki kwa wengine, ukiamini wewe inatosha.
 
Back
Top Bottom