ISIS yatanganza Vita kali dhidi ya Hamas

YES WASHIA SIO WAISLAM ILA WAMEKUJA KAMA WAISLAM NA WANAMTUKANA MKE WA MTUME MUHAMMAD s.a.w BI AISHA NA BABA YAKE NA MARAFIKI WA MTUME MUHHAMAD s.a.w je hao watakuwaje waislam

Ok! sasa hao tunawaitaje? Na Waislamu ni wepi hasa! Sunni, Ahmadiya, Bohora au wepi?
 
Hii dini Inazidi kuniacha hoi kabisa..
Yaan wao kwa wao wanaanza kuuana.. Huyo mtume wao mohammad sijui aliwafundisha hivyo.?
Ni kichaa pekee atakayeweza kuiamini hii dini
 
[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] Kaa mbali na dini za watu kijana
 
ISIS WAKO SMATTER SANA KIUKWELI, WANAJUA MWISHO WAO UNGETIMIA WANGEMGUSA ISRAEL, HAMAS WATAJUTA KUWAJUA HAWA WATU. IRAN NAYO IJIANDAE, FOMULA NI ILE MOJA, MWACHE ADUI WA ADUI YAKO AISHI UTAISHI KWA AMANI
 
Waislamu bana?! Yaani wanatushangaza sana, tumekuna vichwa mpaka vipara sasa, hatupati majibu ya mienendo yao...
 
  • Thanks
Reactions: PNC
Hii dini Inazidi kuniacha hoi kabisa..
Yaan wao kwa wao wanaanza kuuana.. Huyo mtume wao mohammad sijui aliwafundisha hivyo.?
Ni kichaa pekee atakayeweza kuiamini hii dini
Dini ya haki hii mkuu.
 
Hv Hawa Isis wanatoa wap pesa ya kuendesha vita???
 
YES WASHIA SIO WAISLAM ILA WAMEKUJA KAMA WAISLAM NA WANAMTUKANA MKE WA MTUME MUHAMMAD s.a.w BI AISHA NA BABA YAKE NA MARAFIKI WA MTUME MUHHAMAD s.a.w je hao watakuwaje waislam
Duuh.
 
ISIS ni kikundi cha watu wahuni watu waovu wanaocheresha uislam vibaya sana lakini watu wasiwasikilize wala kuwafuata nyenendo zao

Maana wao sio watu wa Dini ni genge la Ugaidi watu ambao wajinga hawana msomi wa Dini anao ungana nao wala kukubaliana na vitendo vyao !!!

Mnanichanganya kabisaaaa

Hata sielewi tena.
YES WASHIA SIO WAISLAM ILA WAMEKUJA KAMA WAISLAM NA WANAMTUKANA MKE WA MTUME MUHAMMAD s.a.w BI AISHA NA BABA YAKE NA MARAFIKI WA MTUME MUHHAMAD s.a.w je hao watakuwaje waislam
 
ISIS WAKO SMATTER SANA KIUKWELI, WANAJUA MWISHO WAO UNGETIMIA WANGEMGUSA ISRAEL, HAMAS WATAJUTA KUWAJUA HAWA WATU. IRAN NAYO IJIANDAE, FOMULA NI ILE MOJA, MWACHE ADUI WA ADUI YAKO AISHI UTAISHI KWA AMANI
unaambiwa ISIS wanalindwa na Marekani na Israel sasa watamgeukaje anaowafadhili!
 
YES WASHIA SIO WAISLAM ILA WAMEKUJA KAMA WAISLAM NA WANAMTUKANA MKE WA MTUME MUHAMMAD s.a.w BI AISHA NA BABA YAKE NA MARAFIKI WA MTUME MUHHAMAD s.a.w je hao watakuwaje waislam
Wanamtukanaje bi Aisha? kwamba alikua nungayembe au? aliwakosea nn mpaka wamchambe? fafanua
 
Back
Top Bottom