ISIS yachagua kiongozi mpya

Tabia ya marekani wamemtumia sasa wanaona hawana kazi naye,wamemtosa,,tena katika mda ambao Trump alihitaji diversion kutoka katika sakata lake la impeachement,marekani wamekuwa wakijua baghdad alipo tangu day one
 
Hii ya USA kuwa finance AL Qaeda hata hillary clinton aliwai kulikubali kwenye moja ya interview zake they created osama ili kuivuruga Russia na walifanikiwa
 
Marekani ndio vinara kwa ugaidi.
 
Kwahiyo ni USA anayefadhili hao magaidi?!

Mbona Iran inafadhili Hezbollah, Hamas,Houthi?!

Kila nchi inafanya kila liwezekanalo kulinda maslahi yake ikibidi hata kuvamia nchi nyingine.

Kuna ushahidi wowote usio na shaka ukionyesha wazi USA inasaidia Al Qaeda au ndo yaleyale ya Radio Tehran

La mwisho Mkuu Duniani hamna usawa,Vita ni biashara kubwa. Unadhani Dunia ikiwa shwari/tulivu hizo silaha nani atanunua wakati kila uchwao watu wanawekeza mabilioni ya Dola kuunda silaha mpya na hatari zaidi.
 
Hii ya USA kuwa finance AL Qaeda hata hillary clinton aliwai kulikubali kwenye moja ya interview zake they created osama ili kuivuruga Russia na walifanikiwa
Kwa mwenye akili tayari atajifunza kitu hapo. USA ndio wanatengeza tatizo. Mfano mpya ni wajuzi tu, kamwacha solemba mkurdi.

UGAIDI kautengeza Bush kwa lengo la kuivamia IRAQ (wakati wanajua kuwa hao "Magaidi" ni kutoka saudia) akidai kuwa Saddam ana silaha kubwa za maangamizi, wamevuruga nchi, wamekalia visima vya mafuta na wamekiri kuwa hakuwa na hizo silaha.

Huyu Bghdad sijui afe mara ngapi sasa!
 
Hiv unajus kuna tofauti kati ya neno kuliwa na kujiua.? Trump mwenyewe anasema jamaa kajiua wewe unasema kauliwa kati yako wewe na trump nani tumuamini.?
 
Hiv unajus kuna tofauti kati ya neno kuliwa na kujiua.? Trump mwenyewe anasema jamaa kajiua wewe unasema kauliwa kati yako wewe na trump nani tumuamini.?
Hivi nimesema kauliwa wanajeshi au kauawa katika operation iliyoongozwa na Marekani?!

Soma kwa makini
 
Kwahiyo ni USA anayefadhili hao magaidi?!
Ndio USA anafadhili magaidi na Waasi - Kwake yeye anatafuta kuweka kibaraka na kuuza silaha, na kama una mafuta basi ndio anayakimbilia. nakwambia, juzi tu Magari ya USA yamevuka boda Syria kuelekea kulinda VISIMA VYA MAFUTA (yana umuhimu kuliko wakurdi waliowamaliza ISIS).

Mbona Iran inafadhili Hezbollah, Hamas,Houthi?!
Kwani nimekataa kama wao wanafadhili Hizbollah? Ushawahi kusikia Iran inapigana na Hizbollah? Ushawahi kuiona iran ikifanya acting kwamba inapigana na magaidi huku wakiwapa silaha? 😀 Did you get the point?

Kila nchi inafanya kila liwezekanalo kulinda maslahi yake ikibidi hata kuvamia nchi nyingine.
Kila nchi hufanya ivo, ila ikiwa Kenya inavamia Somalia kwa kisingizio cha ugaidi wakati nyuma ya pazia kumbe wao ndio wanawafadhili wale magaidi kusudi wapate sababu ya kuivamia hio nchi, then wewe ukaambiwa wanapigana vita na ugaidi wakati kuna ukweli ambao unajulikana lakini ukaufumbia macho, basi wewe ni mjinga tu.

Kuna ushahidi wowote usio na shaka ukionyesha wazi USA inasaidia Al Qaeda au ndo yaleyale ya Radio Tehran
Kweli wewe kumbe unalishwa habari ila huzitafuti. Yaani leo hii unauliza kama suala la Osama ni Radio tehran? Inabidi kwenye miaka hii hujui kama USA alimfadhili Osama apigane na mrusi ili mrusi asijekuimeza Afghanistan? DUH!

La mwisho Mkuu Duniani hamna usawa,Vita ni biashara kubwa. Unadhani Dunia ikiwa shwari/tulivu hizo silaha nani atanunua wakati kila uchwao watu wanawekeza mabilioni ya Dola kuunda silaha mpya na hatari zaidi.
Sasa kwa mfano wewe unajua kuwa kumbe wanafanya biashara ya Silaha. Sasa unaposapoti USA kumuuzia silaha "gaidi" ili achafue nchi yake kwa lengo la USA apate sababu ya kuivamia nchi hio na kuchota mafuta, unaona ni sawa?
 
Hivyo visima vya mafuta vitakua chini ya uangalizi wa Marekani pamoja na hao wakurdi labda kama hukusoma hicho chanzo chako vizuri.

Kwahiyo tatizo lako ni Marekani kupigana na ugaidi?! Je una hakika kama USA ndie anawapa silaha Daesh,una ushahidi wowote kuthibitisha madai yako?! Unaweza kutuwekea hapa jukwaani kila mtu aone

Kumbe unaelewa kama kila nchi inafanya liwezekanalo kulinda maslahi yake,kama utalifumbia macho hilo,basi wewe ni mjinga tu.
Yani Kenya ifadhili Al shabab ambao kila uchwao wanafanya mashambulizi na kuua mamia ya watu ndani Kenya,hivi inakuingia akilini kweli?! Unaweza kutuletea evidence kuthibitisha madai yako?!

Hakuna mahali kwenye post yangu nimemmention Osama,bali Al Qaeda!
USA ilimtumia Osama kuidhofisha Soviet ili ishindwe vita kule Afghanistan. Bado tunarudi palepale kwamba ni maslahi tu hata China ilitumiwa na Marekani kuidhofisha USSR lakini leo hii China na Russia ya sasa ni marafiki wakati leo ni maadui kwa Marekani.

Marekani ipo pale kwa ajili ya interest zake na wananchi wake na wapo tayari kufanya lolote kuzilinda. Kama huyo gaidi angekua huru kwenye nchi husika(Taifa lake) unadhani angedanganyika na Marekani apigane na serikali yake?!

Hili suala la ugaidi ni pana Sana na inategemea unaliangalia kwa sura gani
 
hujui unachoongea,hivi umewahi sikia raia wa urusi katekwa na magaidi? au kauwawa na magaidi,warusi ni hatari kuliko magaidi wenyewe...nchi za ulaya zinatambua hilo..
Unakumbuka ni mara ngapi magaidi wameshambulia Russia ikiwemo Moscow Metro na pia wale watoto waliyouliwa na magaidi wa Kichechnia, labda ulikuwa bado mdogo.
 
Unakumbuka ni mara ngapi magaidi wameshambulia Russia ikiwemo Moscow Metro na pia wale watoto waliyouliwa na magaidi wa Kichechnia, labda ulikuwa bado mdogo.
Na kuna kipindi walishapanga shambulizi pale St Petersburg kama sikosei, Russia walikua hawana habari mpaka wakaja kushtuliwa na CIA
 
Kichwa chako wewe unaleta habari za udaku udaku unafikiria watu hawasomi,punguza mahaba ya kipuuzi,huyo kamanda kajiua hajauwawa na kima yeyote yule. Hata trump analijua hilo.
 
Kichwa chako wewe unaleta habari za udaku udaku unafikiria watu hawasomi,punguza mahaba ya kipuuzi,huyo kamanda kajiua hajauwawa na kima yeyote yule. Hata trump analijua hilo.View attachment 1247070
Mkuu mbona unataka tubishane kitoto

Hivi huyo gaidi si kajiua kukwepa kuuawa ama kutiwa mikononi mwa Marekani?!

Unadhani bila hiyo operation kufanywa angejiua?!
 
Kichwa chako wewe unaleta habari za udaku udaku unafikiria watu hawasomi,punguza mahaba ya kipuuzi,huyo kamanda kajiua hajauwawa na kima yeyote yule. Hata trump analijua hilo.View attachment 1247070
Embu rudia tena kusoma hiyo screenshot uliyotuma,jamaa alikua anakimbia kukwepa kutiwa mbaroni..baada ya kufika mwishoni mwa handaki kaona hakuna namna akaamua ajitangulize mbele za haki.

Sasa swali je,bila hiyo operation angejiua?!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…