Ha ha ha,obama aliposema wanataka kucontain,kwamaana ya kuwafanya wawe managed alikua anajua anaongea nini,you just cant defeat an idea with bombs.
Pamoja na marekani kuwatumia kwa manufaa yao bado hao jamaa wanawahate sana wamarekani kwa vitendo vyao wanavyofanya mashariki ya kati,kwahiyo hata wawatumia vipi bado hawa muslim hadline wanarudi kuwafanyia mashambulizi hao wamarekani na group lake,hata wakiwashambulia na kuwaua wle wanaobaki na wanazaliwa wanakuja kuendeleza .
Katika waislamu bilion 1.7duniani kote,kunakadiliwa uwepo wa mahadliner milion 100,
hata kama unaua 1000 kwasiku ambayo rekodi hiyo haijafikiwa,bado itakuchukua miaka karibu 250 kuwamaliza,hao milion 100,
haiwezekani,
ndo maana marekani wanaongelea swala la kuwacontain na si kuwafyekelea mbali kwani haitawezekana