Yusomwasha
JF-Expert Member
- Dec 5, 2014
- 2,092
- 844
Kamanda wa isis abubakar albaghdad yupo israel kwa matibabu
vyombo vya habari vya iraq vimeripoti kuwa kamanda huyo alijeruhiwa wakati mashambulizi yaanga yalivyolenga msafara wake ambapo baadae alipelekwa golan ambapo alipewa matibabu ktk hospitali ya wazayuni ambapo baadae alipelekwa tel-aviV kwa matibabu zaidi
hii inaonyesha waziwazi kuwa israel inawaunga mkono magaidi kote mashariki ya kati
jee israel ina maslah gani kwa magaidi?lengo lake ni kuvuruga amani mashariki ya kati ili nchi ili nchi za kiarabu ziwe bize na kupambana na wapiganaji huku israel ikipata nafasi ya kupora aridhi za waarab
pia ni kudhoofisha nchi za kiarabu na kuzifanya zishinmdwe kusaidia na kutetea palestina