Hehehehe haw jamaa noma. Lakini ndio vita. Ulifikiri kuna kuimba mapambio hapo.
Hao wanaouliwa ni traitors na enemies wa isis. Ndio vita hio sasa sijui cha ajabu nini?
Hao wamarekani na brits kwasababu wanaua kwa mabomu ya drones basi hio haiwashtui.
Mmarekani akiua yeye sio katili bali anataka kuwakomboa, ila muarabu akiua basi ni shetani kabisa!
What hypocrasy (sp)!!
Nirahisi na kicheko kwa jirani kuuwawa au kuuliwa. Omba yasikukute katika jamii au familia yako.
usaliti, makafil, vibaraka nk. Lakini fahamu wote hao niwatu wa mungu. Kwanini tusipendane tuishi kwa amani?
Kwani kiama kikifika mola atahukumu, na sote tunaamini Jahanam ipo.........sasa ipo kwa ajiri yanani?