Mara nyingi majina yote yanataja yaleyale. Lakini kuna mifano kadhaa ambako kuna tofauti. Mfano mtoto halelewi na mama basi lugha yake ya kwanza si ya mama. Au Baba na Mama hutumia lugha tofauti mara nyingi mtoto anakua kuwa na lugha mbili za kwanza. Lakini kama mazingira yote inatumia lugha ya baba (yaani mama ni mgeni katika mazingira familia inapoishi) basi lugha ya baba itakuwa lugha ya kwanza.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.