PreGE2025 Isihaka Mchinjita: Watu wa UDART wamevunja simu na kulazimisha Waandishi wafute taarifa

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)

Roving Journalist

JF Roving Journalist
Joined
Apr 18, 2017
Posts
4,783
Reaction score
14,975
Makamu Mwenyekiti wa Chama cha ACT Wazalendo, Isihaka Mchinjita akielezea kilichotokea akakamatwa na Jeshi la Polisi, leo Mei 23, 2025 baada ya kuingia kwenye Kituo cha Mwendokasi cha Kimara Mwisho kwa lengo la kujionea na kukagua adha ya usafiri huo.

Pia soma ~ Makamu Mwenyekiti wa ACT, Isihaka Mchinjita akamatwa na Polisi kwa kutembelea na kukagua Kituo cha Mwendokasi Kimara Mwisho
 
Imekuwaje tena kuwa na Imani nao kushiriki Uchaguzi? nashindwa kuelewa faida ya DART inaendaga wapi maana kila siku mradi unaendelea kuwa mbovu!.
 
Makamu Mwenyekiti wa Chama cha ACT Wazalendo, Isihaka Mchinjita akielezea kilichotokea akakamatwa na Jeshi la Polisi, leo Mei 23, 2025 baada ya kuingia kwenye Kituo cha Mwendokasi cha Kimara Mwisho kwa lengo la kujionea na kukagua adha ya usafiri huo.

Eti alienda kukagua yeye ni kiongozi wa serikali? Au mbunge wa eneo au diwani? Au kiongozi wa chama tawala kinachoenda kuangalia utekelezaji wa Ilani?

Mwehu huyo eti kabeba hadi waandishi wa habari akague
 
Nini kinafichwa?
 
Nini kinafichwa?
Kumficha nani ? Labda ? Swala ni protocol pale ni ofisini watu wako kazini busy huwezi ingia tu kama chooni ohh nimekuja kukagua .Lazima uwe na appointment

Huo ni uvamizi kwenye eneo la kazi halali la BRT .Huwezi kwenda eneo la kazi la taasisi kihivyo.Mjinga huyo mchinjita
Ashukuru polisi hawajamtwanga marungu kwa kuvamia eneo la kazi la watu

Saa hii angekuwa na ngeu.Jeshi la polisi huko kimara lina huruma sana
 
Ndiyo siri imemwagwa hadharani sasa mbwa nyie. Kazi kutesa wapiga kura tu
 
Ndio wajifunze hawa watakupa jimbo kama ubwabwa kwenye sahani🤣🤣🤣🤣twendeni na No reform No Election msijifanye mnajua siasa halafu mnakuja kutoa milio hata uchaguzi haujaanza

hivi CHADEMA kwanini munalazimisha munachokiamini nyinyi kila mtu akifuate?
 
Mbona alisema wanabikia kwenye ushirikiano kupambana imekuwaje sasa anaanza kutupigia makelele
 
hivi CHADEMA kwanini munalazimisha munachokiamini nyinyi kila mtu akifuate?
Hatulazimishi ila tunaangalia mustakabali wa Taifa lenye ustawi hata sisiemu wakishinda pasi tuwapongeze na tujipange kwa uhalali ila sio kushinda kwa hila na mbinu chafu sisiemu kama mnakubalika kama mnavyosema basi nyie ndio mtanufaika na reforms mbona hamtaki sasa?
 
kwahiyo nyinyi peke yenu ndio wenye fikra bora za mustakbali wa Taifa?
 
Miaka 63 tunaongelea mambo yale yale sasa hapo kuna akili gani tena mtaalamu? Reform faida ni kwa anaekubalika sasa nyie sisiemu mnasema mnakubalika kwanini hamtaki mabadiliko ya msingi kabisa tuepushe migogoro isiyo na lazima sasa kila kukicha nikujificha na kichaka cha Amani? Nani mwenye mapenzi mema na nchi yake anaekuambia tufanye mabadiliko kuondoa utatanishi au anaekataa mabadiliko aendelee kubaki madarakani? Nani ana akili hapo
 
Ndio wajifunze hawa watakupa jimbo kama ubwabwa kwenye sahani🤣🤣🤣🤣twendeni na No reform No Election msijifanye mnajua siasa halafu mnakuja kutoa milio hata uchaguzi haujaanza
Hao mafala kama watasoma hii comment watajifunza kitu
 
Tume mliotaka tayari sasa hivi inaitwa "TUME HURU YA UCHAGUZI" tatizo nini sasa? 😀 😀
Ningekuwepo ningemuongezea marungu...
 
Makamu Mwenyekiti wa Chama cha ACT Wazalendo, Isihaka Mchinjita akielezea kilichotokea akakamatwa na Jeshi la Polisi, leo Mei 23, 2025 baada ya kuingia kwenye Kituo cha Mwendokasi cha Kimara Mwisho kwa lengo la kujionea na kukagua adha ya usafiri huo.

Mabasi 90 mabovu yanahitaji billion mbili kuyatengeneza. Bei ya V8 nne. Wanashindwa. Watu wanakata ticketi wanangojea mabasi zaidi ya masaa mawili.

Huu muda ambao watu wanapoteza kwenda na kurudi kazini, unaathiri uchumi kiasi gani? Na hizi nauli za mwendokasi zinatumika wapi?
 
Back
Top Bottom